jay

A jay is a member of a number of species of medium-sized, usually colorful and noisy, passerine birds in the crow family, Corvidae. The evolutionary relationships between the jays and the magpies are rather complex. For example, the Eurasian magpie seems more closely related to the Eurasian jay than to the East Asian blue and green magpies, whereas the blue jay is not closely related to either. The Eurasian jay distributes oak acorns, contributing to the growth of oak woodlands over time.

View More On Wikipedia.org
  1. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Hevy weight Mc Professor Jay with "Machozi, jasho na damu album

    ALBUM YA PROFESOR JAY "MACHOZI ,JASHO NA DAMU https://www.facebook.com/100064569174258/posts/pfbid0Eksw2k3qTSg3kzXd5H6BtXzEYYNiNtGTXA6K24WvMf2U6zETpBsMxgtCTF6L1u2yl/?app=fbl "Machozi Jasho na Damu.. ni jina la kutaja albamu ya kwanza kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Kitanzania...
  2. Marco Polo

    JamiiForums Tanzania Msanii Jay Combat ni Jiwe la thamani lisiloonekana

    Nilikuwa kwenye daladala jioni moja kutoka kwenye pirika zangu mara ndani ya gari Kuna wimbo ukawa unapigwa nakumbuka kiitikio tu " Wivu mama" ulinivutia sana ule wimbo hasa sauti ya mwimbaji na mashairi yake na ukizingatia ulikuwa ni wimbo wa singeli ikabidi niingie YouTube kutafuta ni msanii...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Msanii Q Jay ameokoka siku hizi

    Mnamkumbuka msanii wa Bongofleva Q Jay kutokea kundi la Wakali Kwanza? Siku hizi ameokoka na kumrudia Mungu. Inasemekana kipindi cha nyuma alipitia wakati mgumu wa uraibu wa pombe na madawa. Hivyo hii ni habari njema sana!! Mungu ni mwema kila wakati!!
  4. W

    JamiiForums Tanzania Joto Hasira- Lady Jaydee ft Prof Jay

    Chorus: Hili joto hasira, ambaa Upepo hakuna Ambaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaa. Foleni njia nzima, ambaa Na pesa hakuna Ambaa, naruka mwenyewe Yelela, yelela, ambaa VERSE 1: siku nimenuna Kwanini tunagombana Tena tunakosoana, kama tumechanganyikiwa Na sioni hata maana Ya si...
  5. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Jay Melody (Jay once again) Vs Marioo(Toto bad)

    Ngoma za wasanii hawa wawili zinapishana katika playlist yangu muda huu, nashindwa kuamua nani ni mkali kwani ngoma zote ni za moto. Mdau wa muziki wa kizazi kipya, kwa sikio na jicho lako, yupi ni mkali wa maandishi, melody, sauti na performance ?
Back
Top Bottom