jay

A jay is a member of a number of species of medium-sized, usually colorful and noisy, passerine birds in the crow family, Corvidae. The evolutionary relationships between the jays and the magpies are rather complex. For example, the Eurasian magpie seems more closely related to the Eurasian jay than to the East Asian blue and green magpies, whereas the blue jay is not closely related to either. The Eurasian jay distributes oak acorns, contributing to the growth of oak woodlands over time.

View More On Wikipedia.org
  1. Marashaaa95

    Master Jay akubali P Funk majani ni bora kuliko yeye

    Katika pita pita zangu huko jamii ya watu wa Facebook nimekutana na hii comment kutoka katika Page rasmi ya MASTER JAY
  2. NGAYANIMO

    The Heavy Weight "MC" Lyrics by Professor Jay

    PROFESSOR JAY. MAGEREZA yanawaka moto Wafungwa ndani ya msoto/ Wanaume wanavyocheza Baba na mama kama watoto/ Ni ukweli usiofichika mfungwa hachagui gereza/ Wote wana haki sawa sio tu mnawatelekeza/ Nikipatwa na hatia sio kwamba nipate mateso/ Magereza ni chuo cha nidhamu mtu ajifunze ya kesho/...
  3. NGAYANIMO

    Mashairi ya Wimbo “Jukumu Letu” wa Professor Jay na Mwana FA

    MWANA FT. PROFESSOR JAY. SONG. JUKUMU LETU. VERSE. 1.( MWANA FA & PROFESOR JAY) Professor jay: Kilio la mgambo limelia kote nchini kwa wote Yaani mjini na vijijini/ Tanzania 🇹🇿 imegubikwa na wimbi la Umasikini /.. Mwana Fa: Jukumu la kila mmoja kuchangia tufanye nini..? Professor jay...
  4. Pakome

    Kwa miaka mingi sana Walimwengu tulimweshimu sana Nicki Minaj lakini hatukujua kama ni mwehu, shutuma za kumwita Jay Z mchawi zitamgharimu

    Nicki Minaj anaonekana kama ana ajitambua lakini bado ana tatizo kubwa sana la kukosa akili Hivi majuzi amemuita Jay Z mchawi na hii ni kwasababu ya utajiri alio nao Jay Z Watu wasiokuwa na uelewa kila wanapowaona matajiri huwa wanawatupia kashafa chafu hakuna siku watawapongeza wala kuwasifia...
  5. REJESHO HURU

    Machozi jasho na damu by prof Jay

    Ukisikiliza mashairi ya wimbo huu ulioimbwa miaka 24 iliyopita utasema kauandika jana maana aliyotasema yote ndio yanatokea sasa nawaza kipindi kile prof Jay hakuitwa mhaini na wimbo ulipigwa bila shida je ingekuwa leo hii ingekuwaje Ebu pitia you tube usikilize
  6. GENTAMYCINE

    Nilimheshimu sana Juma Nature ila kwa kitendo hiki nimemtoa thamani

    Nilimheshimu sana Juma Nature ila kwa Kumdharau Mtu aliyemtoa Producer Master Jay kuanzia leo nimemtoa Thamani kwani Kakosea mno
  7. Chibike

    Bilionea Jay Rutty Yani uzi mkali hivi halafu mseme ni WA mechi za Pre Season?

    Jezi Kali halafu mseme ya mechi za pre season..hayo matusi aise...tunaomba jezi ya kucheza ligi kuu inayokuja basi inatakiwa iwe kali zaidi ya hizi tena mara Saba ama zaidi tofaut na hapo zikiwa hazieleweki mtazirudisha hizi hizi sokoni watu wanunue.. Jezi zinauliziwa kila Kona ya nchi, wekeni...
  8. ngara23

    Wanasimba wenzangu tujikumbushe ahadi za Jay Rutty, muda wa utekelezaji ndo huu

    Kampuni ya Jay Rutty ndo ilishinda zabuni ya kutengeneza na kuuza jezi za Simba na kuwa waliweka mezani zaidi ya billion 38, Hilinlilikuwa jambo tamu masikioni mwa wanasimba Mbali na mapesa hayo Jay Rutty aliahidi ahadi kedekede 1. Kujenga uwanja Bunju wa Mashabiki zaidi ya 10,000 Hadi Leo...
  9. REJESHO HURU

    PreGE2025 Ukisikia yaliyomo kwenye ilani ya mpya ya CCM 2025 to 2030 ni kama wimbo wa profesa Jay ndio mzee

    1. Dar es salaam kujengwa tren ya chini ya aridhi kupunguza foreni hii ni sawa na mabomba kutoa maziwa nchi nzima, kwani mwendo kasi tu tunaona unavyopumulia pua je hiyo treni. 2. Kujengwa viwanda kila mkoa na kila mtaa haaa haaa hii sawa na ile wanafunzi wa vyuo vikuu kufanya practical...
  10. Mhaya

    Manara kapigilia pale pale kwenye Msumari wa Master Jay kuwa Alikiba ni mbana pua

    Toka miezi kadhaa tangu alikiba kuambiwa ni mbana pua na Master Jay, voice note zilizovuja zimeonesha Manara akigongelea msumari kuwa Alikiba ni mbana pua tu. Inaonekana Alikiba ana maadui wengi sana, ni kama vile kipindi kile Diamond alivyokuwa na maadui wengi. Utofauti wa Alikiba na Diamond...
  11. Now and then

    Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake amemchorea ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!.

    Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake ameshamchorea Ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!. Kumbuka Jay Z katoka familia za kimasikini Sana , aliwahi hadi kuuza drugs , n.k Alichokifanya ni kuamua kuukataa umasikini kwa kuhakikisha...
  12. Knock life

    Ukiwa na miaka 31 tafuta mwanamke wa miaka 18 hao mashangazi wataondoa focus jifunze kwa Jay Z na Beyonce

    Vijana tumieni akili Mwanamke akiwa na umri mkubwa akili yake inashuka sana na uwezo wa kufikiri unakuwa duni Sana SoTafuta mwanamke wa umri wa 18 kama umefika 30 achana na oldest women
  13. Waufukweni

    Prof Jay: Rais Samia alikuwa kama Mama yangu, alipata uchungu wa Mama

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule maarufu Prof Jay amesema Rais Samia alikuwa kama Mama yake wakati akimshukuru kwa jitihada zake za kumtibia.
  14. Mwanadiplomasia Mahiri

    Hatimae dada mkuu, Lady Jay Dee ni mjamzito

    Mungu ni mwema kila wakati. Hakika usimkatie mtu tamaa. Inasemekana dada mkubwa, binti komando, ni mjamzito. Ikumbukwe ni muda sasa anatafuta mtoto, hatimae mungu amesikia kilio chake. Dada mkubwa anajiandaa kupata mtoto wakati wowotr kuanzia sasa!! Kila hatua dua. Kila la heri kwako.
  15. Jaya_lchemist

    Serikali ya Wezi, Taifa la Waliodanganywa by Jay Alchemist

    Serikali ya Wezi, Taifa la Waliodanganywa S01 Episodi 01 ********* Ni Alfajiri hapa Mwiki,Kasarani jijini Nairobi. Alfajiri hii ni kama zile alfajiri nyingine nyingi za mwaka. Alfajiri hii haifanani na zile alfajiri za mwezi Julai. Julai, mwezi ule kila mtu analalamika kuwa baridi kawa baridi...
  16. Smile Digital Stationery

    NYIMBO ZINAZOISHI (LIVING SONGS) ZA PROFESSOR JAY.

    Habari wana JF; Leo nikasema ngoja nisikilize kidogo nyimbo za zamani kuanzia 2010 kurudi nyuma, nikaingia mtandaoni kuzipakua hasa zile nilizokuwa nazipenda... Sikuacha za Professor Jay, nikachukua kadhaa zikiwemo NDIO MZEE, KIKAO CHA DHARURA na NANG'ATUKA... Asee jamaa yale aloyaimba mule ndio...
  17. beatboi

    Kumbukumbu kutoka kwa Professor Jay kwenye uzinduzi wa Albumya pili ya Mapinduzi halisi

    The Unforgetable THROW BACK 🔥🔥🔥 Ilikuwa mwaka 2003 takribani Miaka 22 iliyopita nikiwa naingia kwenye ukumbi wa DIAMOND JUBILEE - UPANGA kwa kusukuma Mkokoteni 'KiZALI LA MENTALI' feat Sirnature kwenye uzinduzi wa Album yangu ya pili ya MAPINDUZI HALISI ambayo baadae ilikuja kutangazwa na...
  18. ukwaju_wa_ kitambo

    Prof. Jay ft Black Rhino, Complex, AY and Adili Chapakazi - Nawakilisha

    PROFESSOR JAY FT. ADILI CHAPA KAZI , COMPLEX, AY & BLACK RHINO - NAWAKILISHA ( STUDIO BONGO RECORD) Chorus ( Professor Jay) Nawakilisha...!!! Ofisini na masela ndani ya gheto Nawakilisha ...!!! Kwa ma ding vijana mpaka watoto Nawakilisha...!!! Kenya , Uganda 🇺🇬 na Tanzania 🇹🇿 Huu ni hosia...
  19. X

    Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

    Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party. Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter...
  20. ukwaju_wa_ kitambo

    Profesa Jay machozi jasho na damu

    PROFESSOR JAY -MACHOZI,JASHO NA DAMU VERSE..1 Nashukuru Macho yangu mawili hayana upofu/ na mdomo upo wazi kukemea mambo maovu/ siku inapofika naona Heri ya jana/ maisha ya wabongo yanakuwa kama ya wanyama/ hiki ninachosema kila jicho linaona/ nina futa chozi la mnyonge kilio cha kila kona/...
Back
Top Bottom