Tuendelee na sehemu ya pili na ya mwisho.
Kupanda kwa Prince Fumimaro Konoe kuelekea kilele cha mamlaka hakukuwa matokeo ya mapinduzi, bali mwendelezo wa urithi wa kifalme uliovaa suti ya siasa. Sasa mwezi Juni 1937, kwa mapendekezo na maneno mazuri kutoka kwa mlezi wake Saionji Kinmochi, Konoe...
Vitabu vya historia vinatuambia kuwa kabla ya Hiroshima pamoja na Nagasaki kupigwa na pigo basi walikuwa wameshachapika vya kutosha, yaani kabla ya zile bomu mbili kushushwa kulikuwa na hali mbaya sana ndani ya Japani.
Raia wengi walifahamu kuwa Japani pamoja na Mfalme Hirohito hawatoboi mbele...
Tarehe 6 Agosti 1945, Tsutomu Yamaguchi alikuwa Hiroshima kwa kazi wakati bomu la atomiki lililipuliwa. Alijeruhiwa vibaya (hasa masikio na mwili kuungua), lakini aliweza kupona kiasi na kuondoka mjini.
Baada ya siku tatu, tarehe 9 Agosti 1945, aliporudi nyumbani kwake Nagasaki, bomu la pili la...
Katika historia ya uhalifu wa kisasa nchini Japani, jina la Kenichi Shinoda linatajwa kwa heshima ya kutisha na hofu isiyoelezeka. Huyu ndiyo kiongozi mkuu wa kundi kubwa la kihalifu la Yamaguchi-gumi ambalo ni mojawapo ya makundi makubwa zaidi ya Yakuza duniani. Maisha ya Shinoda yamejaa utata...
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatatu, Julai 7, ameahidi kutoza ushuru wa forodha wa angalau asilimia 25 kwa nchi kadhaa, zikiwemo Japani na Korea Kusini, washirika wawili wakuu wa Asia. Kwa Washington, hii inakusudiwa kuhimiza washirika wake wengine kutia saini mikataba ya biashara...
Kwema wanajamii forum, Moja kwa moja kwenye mada kwanini hizi gari zinatoka japan nyingi kama sio zote zinakuja na ile screen inakuwa na ramani za miji na navigations za japan kwa huku Bongo watu wengi hawazitumii na zinakuwepo tu kama pambo au kwa hapa bongo hakuna fundi wa kuwepa shapefiles za...
Katika mambo ambayo nataka twende kwenye mada kuhusu Wajapani na mataifa ambayo yanaweza kuwa kama japani.
Wajapani wakitaka kukuheshimu kuna mambo mengi ila cha kwanza kikubwa.
Heshimu maisha yako na watu:
Japan ni bora mtu kujiua kama kashindwa kuheshimu maisha yake au watu wake kuliko...
Nina ishi Japani
Nataka kuleta baadhi ya mizigo Tanzania (haifiki kontena).
Nahitaji kampuni itakayo nisafirishia na ku clear mizigo yangu bandarini.
Kama kuna mtu mwenye kampuni yupo humu
Au unaijua kampuni
Naomba tuwasiliane.
Kama kuna mwenye uzoefu pia naomba share nami.
NB: Nahitaji...
Japani kwa mara ya kwanza imetoa mipango ya kuwahamisha zaidi ya raia 100,000 kutoka baadhi ya visiwa vyake vya mbali karibu na Taiwan iwapo kutatokea mzozo katika eneo hilo, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya Beijing na Taipei.
Chini ya dharura hiyo, meli na ndege zitahamasishwa...
Japani kuna fursa nyingi za ajira (zisizo rasmi) ila zenye kipato kikubwa ukilinganisha na Tanzania.
Maisha ya Japani hayana gharama kubwa ukilinganisha na nchi nyingine zilizo endelea
Japani hali ya ubaguzi kwa
Waafrika sio kubwa ukilinganisha na mataifa mwngine.
Visa ya Kufika Japani ni...
Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Yen za Japan bilioni 1.527 sawa na shilingi bilioni 27.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya nchini.
Mkataba huo umesainiwa katika Ofisi za Hazina Ndogo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Wizara...
Ubalozi wa Japan ulifanya hafla ya utiaji saini Mradi wa Ujenzi wa Kitalu cha Darasa la Kiwango cha Juu katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Sakura iliyopo Wilaya ya Arusha, Mkoa wa Arusha.
Serikali ya Japani ilikubali kuongeza msaada wa ruzuku hadi kufikia Dola za Marekani 140,103 kwa...
Japani ilipitwa na China 2010 na kutoleqa nafasi ya pili, kumbuka Japani imekaa nafasi ya pili kwa miaka 40.
Sasa mwakani tena inatolewa nafasi ya 3 hivyo kuangukia nafasi ya 4 ambayo nayo huenda ikaja kuotelewa tena.
Ninacho kiona Japani ni kufuata mkumbo wa USA, mfano India kwa sasa anapata...
Wakenya katika mitandao ya kijamii wamechangamkia sana wimbo wa Stella Wangu wa mwanamziki mashuhuri wa humu nchini Freshley Mwamburi.
Wamechangamkia wimbo huo wakikumbuka leo hii ni tarehe 17 mwezi wa tano mwaka wa 1992 mpenzi wake wa Kenya, Stella, aliposhuka kutoka kwa ndege na mchumba wake...
Japani ni nchi ambayo iko kwenye eneo lenye shughuli nyingi za kijiolojia. Kijiolojia, Japani iko katika eneo linaloitwa "Pasifiki ya Moto" au "Mzunguko wa Moto wa Pasifiki". Hii ni mstari wa shughuli za volkeno na tetemeko la ardhi ambao unaenea karibu na Bahari ya Pasifiki. Kanda hii...
Japan ilitumbukia katika mdororo wa kiuchumi bila kutarajiwa mwishoni mwa mwaka jana, na kupoteza yake kama taifa la tatu kwa uchumi duniani kwa Ujerumani na kuzua mashaka kuhusu ni lini benki kuu itaanza kujiondoa katika matumizi yake ya fedha ya muongo mmoja wa kulegeza sera ya fedha.
Baadhi...
ChartGPT anasema hivi
Ushindi wa Marekani dhidi ya Japani katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia unaweza kuonekana kuwa maarufu zaidi kutokana na sababu kadhaa:
1. Mabomu ya Atomiki: Shambulio la Marekani kwa kutumia mabomu ya atomiki juu ya Hiroshima na Nagasaki lilikuwa tukio la kipekee katika...
Wanadiplomasia kutoka ofisi za ubalozi zaidi ya 12 wanaowakilisha nchi zao huko Japani wameonyesha kuunga mkono jamii ya watu wanaopendelea mapenzi ya jinsia moja ama wanaopenda kifukana nyuma wakiongozwa na USA na mabadiliko ya jinsia wanaojulikana kwa jina la ‘LGBTQ’, kabla ya mkutano wa...
Inatimia miaka saba leo Jumapili tangu tetemeko kubwa la pili la ardhi kuutikisa mkoa wa Kumamoto unaopatikana kusini magharibi mwa Japani.
Tetemeko hilo lililokuwa lenye kiwango kikubwa zaidi cha saba kwenye kipimo cha matetemeko nchini Japani lilitokea katika mji wa Mashiki Aprili 16 mnamo...
Wakati mwaka 1944 ukiwa unaelekea tamati, hii ni baada ya miaka zaidi ya saba ya vita, mambo yalikuwa yanaiendea kombo Japan.
Uchumi wake ulikuwa umeharibika vibaya, jeshi lake lilikuwa limetapakaa karibia kila kona ya Asia bila kuwa na mfumo thabiti wa kimawasiliano na mipaka iliyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.