Duniani hakuishi vituko
Japani watu wanalipwa madola kibao kwa kufanya mtu alie machozi kuondoa stress wanaamini mtu akilia stress zinaondoka.Wasanii Muwezao kuliza watu mpo? Asipolia hulipwi
Jionee video mwenyewe
Habari,
Kama nilivyotanguliza kichwa cha habari hapo juu nilikuwa na mpango wa kwenda uingereza kukusanya vitu used vya majumbani na viwandani mfano mashine ndogo ndogo na kubwa kwa makubaliana na mwenye nacho na pia vifaa vya majumbani na madukani kwa wale wanaosafisha stoo na wengineo.
Sasa...
Kama kichwa kinavyosema,
Sijui kampuni ya kimagharibi hata moja, Uchina anajitahidi kuja juu na Hisense lakini bado Japan itadumu na kudumu sana. Kampuni gani ambayo haijaanzia Japan? Na ni kwanini Japan na sio mabeberu? Ina mana hawa jamaa wana akili sana kuliko wazungu?
MSAADA : Habari wana jamvi la biashara; Nina rafiki yangu yupo japani anauza magari kwenye kampuni moja hivi, sasa ameniambia nitafute wateja atanilipa kwa commision, uwezo wa kutafuta wateja ninao coz nimefanya masoko kwenye makampuni mbalimbali lakini sijawahi kufanya biashara ya magari...
Mimi leo nitaongelea kamapuni moja tu inaitwa NIKKYO ambayo imenipa huduma nzuri mimi na marafiki zangu. Nimesha agizia marafiki zangu watatu kwa kupitia kampuni hii ya Kijapani ijulikanayo kama NIKKYO
www.nikkyocars.com
Hii kampuni haina jina kubwa Tanzania ila nilipata recommendation kwa...
Miaka Mia iliyopita Japan walikuwa na Aina fulani ya polisi ambayo uanzishwaji wake ulikuwa na lengo zuri kuweka oda katika taifa lakini wakaja kutumika vibaya na ufalme wa Japan.
Hawa polisi walifanya Mambo ya kichimvi Sana kule Japan kazi Yao ilikuwa hii hii Kama ya Hawa tanpol yetu kudhibiti...
Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza.
Meli hiyo imetia nanga kwenye gati jipya la kisasa lililoboreshwa ambalo ni sehemu ya maboresho yanayoendelea Bandarini.
Heshima kwenu wabobezi wa mambo haya.
Naomba ushauri wenu kwenye kumiliki kati ya hizi gari mbili....ipi ni nzuri na nitaimudu?
Binafsi nafanya kazi kwenye migodi, hivo ningelipenda kuwa na usafiri ambao ntadumu nao kwa muda mrefu unless mtu afike bei na kunivua.
Land Rover RangeRover Evoque...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.