Habari
Pasipob kupoteza muda naomba niende kwenye mada Moja kwa Moja
Nimeandaa Uzi huu Kwa lengo la kuposti magari used Toka Japan na Bei zake yakiwa bila Kodi lkn pia yakiwa yamejumuishwa Kodi na ni Kodi zipi na mtu anapaswa kulipa Kwa awamu ngapi na kutakuwa na full details za kila GARI...