japan

  1. M

    Uzi maalumu wa kuagiza magari toka Japan na mikopo yake

    Habari Baada ya kuiona changamoto ambayo watu WENGI huipata wakiwa na uhitaji wa kuagiza magari nje ya nchi mbali mbali kama vile Japan China na marekani hususani kuhusu Bei za magari Kodi zake za tra na gharama zingine, nimeamua kuandaa Uzi huu makusud ili kuweza kusaidia wale wote WENYE...
  2. M

    Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan?

    Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan? Msaada kwa hizo websites tafadhali
  3. S

    Website nzuri ya kuverify ubora wa magari used japan kwa kutumia chassis au vin number

    Habari wanaJF kwa mwenye uzoefu aliyewahi verify ubora wa gari used japan wakati anaagiza kwa kutumia chassis au vin number naomba anijuze website aliyotumia. Najua Chatgpt inaweza toa majibu kwa kiasi fulani but napenda nipate uzoefu direct wa mwanaJF maana naamini kuna mengi ya kunisaidia...
  4. Dalali wa Mjini

    Uzi maalumu wa kuuza magari na kununua hapa used Tanzania na Used Japan

    Habari wakuu nitakuwa napost magari katika huu uzi ukipenda Gari nichek direct kwenye simu au meseji WhatsApp. Kama unauza Gari yako nichek direct. 📱0754693556
  5. Mad Max

    Vita vya Mini Van (MPV) kutoka Japan: Ipi ni chaguo lako?

    Kuna wapenzi wa mini vans kwa matumizi ya familia, biashara (private/special hire) au misele mjini. Hizi nyingi zina seat 7 kwa configuration ya 2 + 3 + 2, na milango mitano. Ni spacious, kwa abiria na zina boot kubwa kwa mizigo. Pia zinakua na nguvu ya kutosha kabisa kuhandle uzito wa abiria...
  6. Morning Joy Motors

    Agiza aina yeyote ya gari sasa kutoka kampuni ya chaguo lako popote duniani kupitia Morning Joy Motors kwa mkopo wa hata miezi 361

    ‎UTANGULIZI ‎ ‎Je, kuna gari umeiona na unataka kununua toka nje ya nchi kwa sababu hapa Tanzania kwa namna moja ama nyingine gharama ziko juu? ‎ ‎Je, Gari uipendayo umekuta gharama iko juu kuliko bajeti uliyotenga kwa sasa ? ‎Kama jibu ni NDIYO, basi huduma yetu sisi @morning_joy_motors...
  7. Yoyo Zhou

    Kauli ya Japan kuwa na silaha za nyuklia yatishia usalama wa dunia

    Afisa mwandamizi wa Ofisi ya Waziri Mkuu ya Japan hivi karibuni alisema hadharani kwamba, kutokana na mazingira magumu ya usalama yanayoizunguka Japani, nchi hiyo inapaswa kumiliki silaha za nyuklia. Baada ya hapo, Waziri wa Ulinzi wa Japan Shinjiro Koizumi alisema hakuna chaguo linaloweza...
  8. A

    DOKEZO Mtandao wa kifamilia ulivyoteka sekta ya uingizaji wa magari Japan - Tanzania

    Katika hali inayoashiria mtandao wa fedha haramu, familia moja yenye uhusiano wa karibu na vigogo nchini Tanzania inadaiwa kuteka mfumo mzima wa uagizaji wa magari ya mtumba kutoka Japan, na kuelekeza mabilioni ya fedha za Serikali katika mifuko yao, huku kukiwa na mgongano mkubwa wa kimaslahi...
  9. Mafyangula

    Ubalozi wa Japan unatangaza ufadhili wa masomo na tafiti nchini Japan

    FURSA MBALIMBALI ZA UFADHILI WA MASOMO NA TAFITI ZILIZOPO NCHINI JAPAN (SCHOLARSHIPS FOR INTERNATIONAL STUDENTS IN JAPAN) Ubalozi unapenda kutoa taarifa kuhusu uwepo wa fursa mbalimbali za ufadhili wa masomo na tafiti nchini Japan, zinazotolewa na Serikali ya Japan na wadau wengine wa...
  10. darautobroker

    Car4Sale Toyota IST AKA Karibu Japan iko sokoni

    Bei/Price TSH 12.5M Call +255 747 999 927 TOYOTA IST Year: 2004 Engine: 1,490Cc Mileage: 95,608Km Transmission: AUTO Fog Lights Sport Rims Android Radio Clean Interior In Good Condition Swap Deals Allowed
  11. DuaZaMama

    Waziri Mkuu wa Japan, Shigeru Ishiba, ajiuzulu wiki chache baada ya kushindwa vibaya katika uchaguzi

    Waziri Mkuu wa Japan, Shigeru Ishiba, ameamuwa kujiuzulu baada ya chama chake cha Liberal Democratic Party, (LDP) kupoteza wingi wa viti kufuatia uchaguzi wa baraza la juu. Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa Ishiba, mwenye umri wa miaka 68, anataka kuepusha mgawanyiko wa chama, huku...
  12. Traxtion

    Japan kujenga miji minne kwa ajili ya Waafrika kutoka nchi nne kwenda kuishi: Tanzania ikiwemo

    📸Tokyo, Japan NB: Mada hii imekuwa direct translated from English to Swahili kwa kutumia ChatGPT 4 Chini ya mradi ujulikanao kama JICA Africa Hometown Initiative, Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japan (JICA) limeweka miji ifuatayo nchini Japan kuwa "miji ya nyumbani" kwa raia wa baadhi...
  13. Bueno

    Mara ya kwanza nilipotembelea Kumamoto, Japan

    Ndipo nikashuka uwanja wa Aso Kumamoto Airport, nilienjoy sana. Karibu Japan. KONNICHIWA.
  14. Just Pray

    Tanzania miongoni mwa nchi nne za Afrika zitakazonufaika na ajira, ujuzi kupitia mpango wa Japan wa thamani ya dola bilioni 5.5

    Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi nne za Afrika zitakazonufaika na mpango mpya wa Japan uitwao “Hometown Initiative”, mpango unaolenga kuimarisha uhusiano na Afrika huku pia ukishughulikia changamoto za idadi ya watu nchini Japan. Kupitia mpango huo, Jiji la Nagai katika Prefecture ya...
  15. Ojuolegbha

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania na Japan waahidi kukuza ushirikiano

    MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA TANZANIA NA JAPAN WAAHIDI KUKUZA USHIRIKIANO Tanzania na Japan zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta za biashara, uwekezaji, uendelezaji rasilimali watu, miradi mikubwa ya maendeleo na miradi ya msingi (Grassroots projects), na kilimo ikiwemo ukuzaji wa...
  16. ELI COHEN

    Kuna kijiji kinaandaliwa huko Japan kwa ajili ya wafanyakazi wahamiaji kutoka Tanzania

    Nchi inakosa nguvu kazi kwa baadhi ya mambo hadi kupelekea kutayarishia wahamiaji mazingira
  17. Ojuolegbha

    Waziri Kombo awasili jijini Yokohama (Japan) kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa ticad 9

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili jijini Yokohama, Japan kumwakilisha Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo ya Afrika (Tokyo...
  18. Mjomba Fujo

    Je wajua? Tanzania ndio nchi pekee ya Africa inayo import kwa asilimia kubwa kutoka JAPAN

    Kulingana na report mbalimbali, Nchi ya Tanzaia ndio nchi pekee africa inayoshikilia record ya kuingiza bidhaa kwa wingi kutoka Japan, na hapo tunazungumzia used cars. Nitaweka viambatinisho kadhaa, kwa hivyo msione JICA wanajitutumua na misaada yao, wanajua pia sisi Tz ni wateja wao wazuri...
  19. Huihui2

    Nchini Japan, unaweza kulipa ili kupotea bila kuacha alama, ni halali kwa 100%

    Yonige-ya ni Biashara za Japani zinazosaidia watu kutoweka kutoka kwa maisha yao ya sasa, mara nyingi ili kuepuka hali ngumu kama madeni, mhusiano mabaya, au shinikizo la kijamii. Wanaitwa "wahamishaji wa usiku" kwa sababu wanahamisha watu kwa siri, mara nyingi usiku, ili kuepuka kugunduliwa na...
  20. Ricky Blair

    Angalia Japan ilivyokuwaga Katili

    Hebu cheki Japan ilivyokuwaga katili dhidi ya China na mataifa mengine ya Asia. Ilikuwa katili km Ujerumani na iliua wachina milioni 26; ila watu bado wanaiomea huruma kupigwa mabomu ya nuclear ambayo yote yaliua watu km 200k tu when wao wameua mamilioni
Back
Top Bottom