january

January is the first month of the year in the Julian and Gregorian calendars and the first of seven months to have a length of 31 days. The first day of the month is known as New Year's Day. It is, on average, the coldest month of the year within most of the Northern Hemisphere (where it is the second month of winter) and the warmest month of the year within most of the Southern Hemisphere (where it is the second month of summer). In the Southern hemisphere, January is the seasonal equivalent of July in the Northern hemisphere and vice versa.
Ancient Roman observances during this month include Cervula and Juvenalia, celebrated January 1, as well as one of three Agonalia, celebrated January 9, and Carmentalia, celebrated January 11. These dates do not correspond to the modern Gregorian calendar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizungumza katika Africa Head of State Energy Summit (mission 300), January 28th, 2025

    https://www.youtube.com/live/NFDVUW-lXwg Rais Samia: Utegemezi wa kuni na mkaa ni 90%, kufikia 2034 tunatarajia matumizi ya nishati safi yafikie 80% Akizungumza katika uzinduzi wa mpango wa Kitaifa kuhusu Nishati akiwa kwenye Mkutano Nishati wa wakuu wa Nchi za Afrika, Rais wa Jamhuri ya...
  2. JamiiForums Tanzania Wadau wote wa Nishati Vyuo Vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K Tuungane Kutazama Mkutano wa Nishati Afrika 27-28 January 2025

    Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030. Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali: January 27,28 watumishi wafanyie kazi nyumbani

    Kufuatia Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati utakaofanyika Januari 27 na 28 hapa nchini, Serikali imeelekeza watumishi wa umma katika Mkoa wa Dar es Salaam wafanyie kazi nyumbani isipokuwa watumishi ambao mazingira ya kazi yanawataka kuwepo katika vituo vya...
  4. JamiiForums Tanzania John Mrema kuunguruma tarehe 25 January

    Keshokutwa MwenyeziMungu akinijalia nitasema kwa kinywa kipana sana ! Taasisi ni muhimu sana! Matusi na kejeli havijengi! Kuishi Ughaibuni havijengi!!
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba mipango yako ya urais Samia kaivuruga leo, jipange vizuri pamoja na timu yako 2030

    Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
  6. JamiiForums Tanzania Je, Xiaohongshu[RedNote] utakuwa mtandao mbadala wa TikTok endapo utafungiwa January 19 ?

    Huu mtandao wa kichina Xiaohongshu kwa jina la kiingereza RedNote utaweza kuwa mbadala wa TikTok marekani kama utaweza kukufungiwa Januari 19 au ni nguvu ya soda tu kwa sasa. Xiaohongshu, also known as RedNote, has hit #1 on the US App Store following news of a possible TikTok ban on January...
  7. JamiiForums Tanzania Gaming pc naiuza kwa bei ya Januari

    sold
  8. JamiiForums Tanzania OFA YA JANUARY : Nauza Shuka za kudarizi kwa bei ya elfu Thelathini ( 30,000/=) Tu.

    Jipatie shuka za kudarizi pamoja na foronya mbili kwa bei ya elfu Thelathini (30,000/=) Tu. Size ni 6×6. Delivery ni Bure kwa wakazi wa dar. Usikubali kupitwa na ofa hii ya January , hivyo nitafute kupitia 0628 160058 / 0658 843438. Karibuni sanaa.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Sayari 4 Kuonekana Mwezi huu, kuanzia leo January 10, 2025

    Sayarai za Jupiter, Saturn, Mars na Venus zitaonekana angani katika maeneno mbali mbali mwezi huu kuanzia leo Tazama magharibi baada ya machweo kwa ajili ya kuona sayari ya Venus na Saturn. Sayari ya Mars itaonekana mashariki wakati Jua linazama. Unaweza kuona sayari za Venus, Mars na Jupiter...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba akanusha kupeleka Madrafti Bumbuli

    Salaam Wakuu, Kufuatia video fupi ya Wananchi wa Bumbuli kulalamika kupelekewa drafti na Makamba badala ya maendeleo Soma hapa: - Kuelekea 2025 - Bumbuli: Wananchi wamlalamikia January Makamba kuwapelekea Madrafti huku mambo mengine ya kimaendeleo yakisimama Kupitia ukurasa wake wa X...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoisibu SAUT Mwanza

    To: President, Bishop Wolfgang Pisa, OFM Tanzania Episcopal Conference (TEC) Kurasini Centre P.O Box 2133 Dar es Salaam. 7 January 2025 Mhashamu Baba Askofu Pisa, YAH: MAMBO YANAYOISIBU SAUT MWANZA. Tumsifu Yesu Kristo. Kwanza nikupe hongera kwa kuchaguliwa kwako kuwa Rais wa TEC...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Duru: Kuanzia tarehe 10 Januari upande wa Lissu utaanza kuachia tape za ushahidi wa umafia wa Mbowe

    "...unadhani Lissu ameingia kichwa kichwa kugombea! Jamaa walijipanga muda sana baada ya kutoridhishwa na mambo yasiyo ya upinzani wa KWELI wa Mbowe. La mno hasa ni baada ya kila dalili kuonyesha Mbowe yupo upande wa Serikali." "...kuanzia tarehe 10 na KUENDELEA, jamaa wataanza kwa ushahidi...
  13. JamiiForums Tanzania Wadau mnishauri hivi January hii naweza kupiga lenta

    Nimepata vijisenti vya kuniwezesha kufunga lenta sasa naona hali ya hewa imekunja sana mvua zimeanza vipi nikifunga itakuwa poa? maana kukaa na pesa nako ni kipaji
  14. JamiiForums Tanzania Madhara ya uchaguzi wa Chadema January 2025 na Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2025.

    Katika hali ya kisiasa nchini Tanzania, chama cha Chadema kinakabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kosa la kiufundi lililofanywa na uongozi wake. Chama hiki kimeamua kuitisha uchaguzi wa ndani wa chama katika mwaka ambao kuna uchaguzi mkuu wa kitaifa, ambao unahusisha uchaguzi wa Rais...
  15. JamiiForums Tanzania Januari yamoto sana, kuna mgeni amekuja kwangu nilitaka nimuagizie soda amegoma amesema nimpe tu hiyo 600. Nimebaki na mshangao sasa

    Na nyie wenzangu mmeshawahi kukutana na jambo kama hili, yaani mgeni anazua mia sita kweli jamaani yaani ameona soda ni anasa kabisa kitu cha mia sita. Nimeshangaa sana. Halafu mwenye hana presha wala wasiwasi with confidence kabisa. Iseee huu mwaka 2025 umeanza kiajabu kabisa.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Dunia inautulivu fulani kabla mfalme wake mpya kuingia madarakani mnamo Januari 20, 2025

    Binadamu ni kiumbe anaeishi Kwa Sheria na moja wapo ya Sheria zake ni pamoja na kuwa na kiongozi, popote penye mkuasnyiko wa binadamu lazima wapate kiongozi wao Hata kusanyiko dogo zaidi la watu wawili lazima mmoja awe anamwongoza au kumzidi angalau kidogo mwenzie hapo ndo kusanyiko litadumu...
  17. JamiiForums Tanzania Karibu tufanye countdown kuelekea Tarehe 1, January 2025.

    Tukiwa tunasubiri kuufikia mwaka mpya (2025), karibu hapa tupige story!
  18. JamiiForums Tanzania "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa

    Ehhh wakuu, Kuna hatari inakuja, kuna mapinduzi yanakuja. Kwa ambao hamjui maana ya falsafa ya Yanga maarufu kama gusa achia twende kwao ni kwamba, Mchezaji hatakiwi kukaa na mpira zaidi ya sekunde kumi, yaani ukipewa pasi unatoa pasi unayempa pasi naye anatoa pasi, hakuna ruksa kuleta mbwe...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CDM January 2025 ni kuchagua kukinusuru au kukiua kabisa chama.

    Uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa hasa Mwenyekiti ni kwenda kusaini hati ya kifo au uhai wa chama. Kumchagua FAM kutaleta anguko kubwa sana la chama. Tatizo kubwa ni kwamba, FAM hajali chochote iwe chama kufa au kupona kwake si hoja ya msingi bali kubaki madarakani ndo hoja ya msingi kwake...
  20. JamiiForums Tanzania Umejiandaaje na ugumu wa January?

    January au Njaanwary haipo mbali, Leo ni ijumaa ya mwisho wa mwaka 2024 We safiri, chezea pesa, kesha bar ila mgeni katili anakuja soon 1. Ada ya shule ni January 2.Kodi za frem January 3. Kodi ya TRA January 4. Mchepuko upo Moshi unahitaji nauli kurudi town 5. Bidhaa zinapanda bei January...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…