WaTanganyika waliowengi si wana siasa ccm au vyama vingine, sio wapigania nchi wala wananchi ila huwatumia wananchi kufika wanapopataka,malengo. Ndio ukaona hawana uwezo wa kuwahamasisha wananchi, kwani wananchi hawachelewi kuwashtukia .
Watanganyika hakuna wanasiasa wa kweli wengi wao ni waganga njaa tu, hawana siasa za kumfanya raia akubali kuwa wanaipigania nchi yao kuwaondowa wachache walioiteka nchi kwa kutumia chama cha siasa.
Ikiwa wabunge wao walishindwa kususia bunge na wakarudi bungeni ikawa mshike mshike, mnasemaje ndivyo walivyo ni vigumu wananchi kuwaamini, vipi mtakubalika kuwatia wananchi barabarani wakati mnatokeza vichwa kwenye roof ya gari, mgambo wenzenu wamezingira gari, wakawashusha. vipi mnngelianza na mkutano mkubwa kisha kutoka hapo mkaamua la kuamua.
Zanzibar walipopambana 2001 huku upande wa pili mliufyata leo mnategemea vyombo vya habari viwatetee ?
Sasa hivi dunia kila mtu na lake na imechafuka kila mtu anatibu yaliyo ndani ya nchi yake, leo kishanuka Kashmiri tayari India pakistani wameelekezeana mizinga.
Hamuwezi kuvaa nguo za mgambo kisha mkajiita wapinzani itakuwa mnatudanganya wananchi.