january

January is the first month of the year in the Julian and Gregorian calendars and the first of seven months to have a length of 31 days. The first day of the month is known as New Year's Day. It is, on average, the coldest month of the year within most of the Northern Hemisphere (where it is the second month of winter) and the warmest month of the year within most of the Southern Hemisphere (where it is the second month of summer). In the Southern hemisphere, January is the seasonal equivalent of July in the Northern hemisphere and vice versa.
Ancient Roman observances during this month include Cervula and Juvenalia, celebrated January 1, as well as one of three Agonalia, celebrated January 9, and Carmentalia, celebrated January 11. These dates do not correspond to the modern Gregorian calendar.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mkuki kwa nguruwe.....Laana ya January 2001 inawarudia

    WaTanganyika waliowengi si wana siasa ccm au vyama vingine, sio wapigania nchi wala wananchi ila huwatumia wananchi kufika wanapopataka,malengo. Ndio ukaona hawana uwezo wa kuwahamasisha wananchi, kwani wananchi hawachelewi kuwashtukia . Watanganyika hakuna wanasiasa wa kweli wengi wao ni...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwanini mwaka mpya huwa ni tarehe 1 january na siku ya wajinga ni tarehe 1 Aprili?

    Kabla ya mwaka 1582, jamii nyingi zilikuwa zinaadhimisha mwaka mpya tarehee 1 Aprili. Kumbuka karne hiyo papa alikuwa na nguvu kubwa ya kuamua chochote. Mnamo mwaka 1582, papa Gregory XIII akaamua kubadilisha kwamba mwaka mpya utasheherekewa inapofika tarehe 1 Januari. Kuna watu hawakukubaliana...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa kijiji cha Manga, Bumbuli wamemshukuru mbunge january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji

    Wananchi wa kijiji cha manga kata ya funta halmashauri wilaya ya bumbuli wamemshukuru mbunge wa jimbo hilo january Makamba kwa kutatua changamoto ya maji iliyokuwa ikiwakabili Hayo yamejiri wakati wa zihara ya mbunge wa jimbo hilo ambapo wananchi wamesema walikuwa wakifuata maji umbali mrefu...
  4. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania ivi hii telegram ndo imekufa mbona hai respond tangu january?

    Jamuhuri ya telegram Kila nikifungua inaandika updating na haijawai kumaliza
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamba: Sisi CCM kwenye urais tumeshamaliza kazi, mgombea wetu ni Rais Samia

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema chama chao kimeshafanya uamuzi kuhusu kiti cha urais kwa kumteua Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea. Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025 “Sisi CCM...
  6. M

    JamiiForums Tanzania MANYONI: Bei elekezi ya Korosho mwezi January 2025

    Leo Tarehe 30 Jan 25 umefanyika mnada wa kwanza wa zao la Korosho kwenye Ghala la Kuhifadhia Korosho na bei kutangazwa ni Tsh 3,167/= kwa kilo Moja. Tunaendelea kuupiga mwingi.
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizungumza katika Africa Head of State Energy Summit (mission 300), January 28th, 2025

    https://www.youtube.com/live/NFDVUW-lXwg Rais Samia: Utegemezi wa kuni na mkaa ni 90%, kufikia 2034 tunatarajia matumizi ya nishati safi yafikie 80% Akizungumza katika uzinduzi wa mpango wa Kitaifa kuhusu Nishati akiwa kwenye Mkutano Nishati wa wakuu wa Nchi za Afrika, Rais wa Jamhuri ya...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wadau wote wa Nishati Vyuo Vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K Tuungane Kutazama Mkutano wa Nishati Afrika 27-28 January 2025

    Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030. Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
  9. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Serikali: January 27,28 watumishi wafanyie kazi nyumbani

    Kufuatia Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati utakaofanyika Januari 27 na 28 hapa nchini, Serikali imeelekeza watumishi wa umma katika Mkoa wa Dar es Salaam wafanyie kazi nyumbani isipokuwa watumishi ambao mazingira ya kazi yanawataka kuwepo katika vituo vya...
  10. Inside10

    JamiiForums Tanzania John Mrema kuunguruma tarehe 25 January

    Keshokutwa MwenyeziMungu akinijalia nitasema kwa kinywa kipana sana ! Taasisi ni muhimu sana! Matusi na kejeli havijengi! Kuishi Ughaibuni havijengi!!
  11. Gabeji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba mipango yako ya urais Samia kaivuruga leo, jipange vizuri pamoja na timu yako 2030

    Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
  12. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Je, Xiaohongshu[RedNote] utakuwa mtandao mbadala wa TikTok endapo utafungiwa January 19 ?

    Huu mtandao wa kichina Xiaohongshu kwa jina la kiingereza RedNote utaweza kuwa mbadala wa TikTok marekani kama utaweza kukufungiwa Januari 19 au ni nguvu ya soda tu kwa sasa. Xiaohongshu, also known as RedNote, has hit #1 on the US App Store following news of a possible TikTok ban on January...
  13. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Gaming pc naiuza kwa bei ya Januari

    sold
  14. Shanily

    JamiiForums Tanzania OFA YA JANUARY : Nauza Shuka za kudarizi kwa bei ya elfu Thelathini ( 30,000/=) Tu.

    Jipatie shuka za kudarizi pamoja na foronya mbili kwa bei ya elfu Thelathini (30,000/=) Tu. Size ni 6×6. Delivery ni Bure kwa wakazi wa dar. Usikubali kupitwa na ofa hii ya January , hivyo nitafute kupitia 0628 160058 / 0658 843438. Karibuni sanaa.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Sayari 4 Kuonekana Mwezi huu, kuanzia leo January 10, 2025

    Sayarai za Jupiter, Saturn, Mars na Venus zitaonekana angani katika maeneno mbali mbali mwezi huu kuanzia leo Tazama magharibi baada ya machweo kwa ajili ya kuona sayari ya Venus na Saturn. Sayari ya Mars itaonekana mashariki wakati Jua linazama. Unaweza kuona sayari za Venus, Mars na Jupiter...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba akanusha kupeleka Madrafti Bumbuli

    Salaam Wakuu, Kufuatia video fupi ya Wananchi wa Bumbuli kulalamika kupelekewa drafti na Makamba badala ya maendeleo Soma hapa: - Kuelekea 2025 - Bumbuli: Wananchi wamlalamikia January Makamba kuwapelekea Madrafti huku mambo mengine ya kimaendeleo yakisimama Kupitia ukurasa wake wa X...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoisibu SAUT Mwanza

    To: President, Bishop Wolfgang Pisa, OFM Tanzania Episcopal Conference (TEC) Kurasini Centre P.O Box 2133 Dar es Salaam. 7 January 2025 Mhashamu Baba Askofu Pisa, YAH: MAMBO YANAYOISIBU SAUT MWANZA. Tumsifu Yesu Kristo. Kwanza nikupe hongera kwa kuchaguliwa kwako kuwa Rais wa TEC...
  18. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Duru: Kuanzia tarehe 10 Januari upande wa Lissu utaanza kuachia tape za ushahidi wa umafia wa Mbowe

    "...unadhani Lissu ameingia kichwa kichwa kugombea! Jamaa walijipanga muda sana baada ya kutoridhishwa na mambo yasiyo ya upinzani wa KWELI wa Mbowe. La mno hasa ni baada ya kila dalili kuonyesha Mbowe yupo upande wa Serikali." "...kuanzia tarehe 10 na KUENDELEA, jamaa wataanza kwa ushahidi...
  19. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Wadau mnishauri hivi January hii naweza kupiga lenta

    Nimepata vijisenti vya kuniwezesha kufunga lenta sasa naona hali ya hewa imekunja sana mvua zimeanza vipi nikifunga itakuwa poa? maana kukaa na pesa nako ni kipaji
  20. milele amina

    JamiiForums Tanzania Madhara ya uchaguzi wa Chadema January 2025 na Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2025.

    Katika hali ya kisiasa nchini Tanzania, chama cha Chadema kinakabiliwa na changamoto kubwa kutokana na kosa la kiufundi lililofanywa na uongozi wake. Chama hiki kimeamua kuitisha uchaguzi wa ndani wa chama katika mwaka ambao kuna uchaguzi mkuu wa kitaifa, ambao unahusisha uchaguzi wa Rais...
Back
Top Bottom