WaTanganyika waliowengi si wana siasa ccm au vyama vingine, sio wapigania nchi wala wananchi ila huwatumia wananchi kufika wanapopataka,malengo. Ndio ukaona hawana uwezo wa kuwahamasisha wananchi, kwani wananchi hawachelewi kuwashtukia .
Watanganyika hakuna wanasiasa wa kweli wengi wao ni...