Kuna watu huku ni member wanaogopa kusema na kushare ambitious zao wanajua wakifanya hivyo watakutana na ukosoaji mkubwa sana matokeo yake tuna kizazi cha watu waoga kupita maelezo 👉👉nashukuru mimi nimeshavuka natamani na wengine wavuke
Yafuatayo ñi majibu kifupi ila maelezo zaidi yapo kwenye...
Nimeshangaa kijana anachanganyikiwa kisa ametongozwa na mwanamke, mwingine anashangaa kuombwa sex na mwanamke. Hii inaonesha wengi wanamuonekano wa vishoia, si ajabu wanani attack.
Sasa mimi wanawake wananitongoza hadi ilikua kero mpaka sasa nimezoea. Kuhusu sex, sio tu wanataka tusex, bali...
+255613784064
+255610186092
Naomba Jeshi la polisi mzifatilie hizo namba wanadai wapo mbeya .
Wakiona MTU anatafuta ajira wanachukua namba wanampigia na kumwambia wana Kazi /ajira
Ila wanamwambia achangie hela ya Vitu vifutavyo
-Form elfu 40K
-Chumba elfu 20K
Ukiangalia watu Kama hawa...
Hakuna binadamu anaye chukua masaa,siku,mwezi na miaka bado tukaweza kusema majibu rahisi.
Na hii imeshakuwa desturi ambayo majibu mepesi utolewa wakati wapendwa wao mpaka leo wajawahi kupata hatma yao.
Kuna kawaida hapa JF ikitokea mtu kafariki au kupandisha hadhi inajulika.
Swali la kwanza...
Muktadha wa Uzi wangu unajieleza. Nafafanua;
Kuna watu wasiopenda wajulikane milele na kwanamna yoyote Ile kwamba walikuwa kwenye social media flani na mawazo haya ndio waliyoyatoa kwenye social media wakiwa hai au wamekufa.
Swali langu je wewe ungependa uwe wazi na ujulikane kwenye social...
Ili kupata watumiaji wengi mitandao ya kijamii imekuwa ikivutia watu wengi kwa malipo ya maudhui na idadi ya wafuasi waliopo kwenye maudhui.
Kutokana na sisi kulala na yeye jamiiforum kuzidi kuchuma kwetu maudhui bila malipo kutungwe sheria ili kulipwa kwa wanaotoa maudhui.
Yeye anafaidika na...
Mwanasiasa na balozi polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele ikiwa strong and firm je hii ajali ya wabunge imetoa majibu kwa utabiri wa polepole?
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua...
1. Nina elimu ya Masters.
2. Nimetembea ulaya na USA mostly italy na UK.
3. Nina watoto 3.
4. Mke mzuri.
5. Mpare kwa kabila.
6. Naipenda Israel na Urusi.
7. Najua kutumia silaha za moto.
8. Najua matumizi sahihi ya R na L.
9. Mkatoliki kanisa takatifu la Roma.
10. Mpenzi wa simba SC...
Shalom watu wa Mungu.
Baada ya kutambua kwamba JamiiForums ni jukwaa kubwa sana la lugha ya kiswahili afrika na dunia nzima.
Ninawahasa wasanii wote na watu maarufu wajiunge humu ili kupata maarifa mengi sana kutoka kwa wadau mbali mbali, So far ninazinjua account chache sana za viongozi na...
Shalom watu wa Mungu.
Moja kwa moja kwenye mada, wanasayansi na wana imani watatusaidia.
Je, Uhai wako ulianza tu pale ambapo mbegu moja ya mzee wako ilipokutana na yai la mama yako ?
Je ulikuwa unajitambua kwamba tayari mimi ni binadamu na ile miezi tisa wakati uko tumboni ulikuwa unahisi...
Salaam
Moja kwa moja kwenye mada, Mods na max naombeni mnilinde. Inawezekana watu wengi hawajui labda tuanze kuwekana wazi ili vijana wengine wabunifu wajifunze na waache kukopy idea za watu.
Hivi ni kweli haya matangazo matangazo ya makampuni ya simu mnayoyaweka kama sponsored ads ndio...
NASHUKURU SANA UONGOZI WA JAMIIFORUMS KWA KUNITAMBUA KAMA MOJA YA WANACHAMA WENYE MCHANGO KWA MWAKA 2024.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hii kwangu niite heshima ya pekee. Kutambulika na kutambuliwa ni jambo kubwa ambalo wanadamu wengi hulipenda na kulitafuta.
Mimi kama Taikon nimefurahi...
Nilipost biashara yangu ya Pub humu ambayo ipo kinyerezi mahakamani road inayoitwa Runway Pub.
Hakika muitikio ni mzuri sana tofauti na mitandao mingine kama insta.
Wana JF wengi humu wananisapoti vizuri sana . Watu kuacha 30,50 kawaida sana wengine mpaka laki huko hakika inanipa nguvu sana ...
Wakuu salama!
Ingawa hii forum ni ya kila mtu, lakini ni moja ya jukwaa kubwa sana la kiswahili Africa na Dunia kwa ujumla.
Ni forum ambayo kuna watu wa maana sana, kuna wasomi na watu wenye experience kubwa sana.
Kuna matajiri na watu wenye hekima kubwa sana, ni sehemu pekee unayoweza ku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.