Kwanza niwasalimie ,shikamooni
Wadogo zangu,marhaba.
Jamani ,nimewamiss Sana,Maria miye,nishaanza kuzoea huu mtandao, nilichogundua,huku ni wachache na ni rahisi watu kuchat kama familia,
Namiss kuitwa mwanaume 😂
Khaaa yaani mtu hakujui,anakwambia huu mwandiko ni wa kiume ,duh huwa mnaniacha...