Salaam wakuu,
Jamii Forum ina mambo mengi mazuri kuanzia mijadala ya siasa, makazi na ujenzi, hoja na habari, mahusiano, biashara nk nk.
Niweke wazi nimekua addicted na JF muda mwingi nipo JF hata wakati wa kutekeleza majukumu yangu najikuta nimechepuka niko JF, mke wangu ananilaumu muda wote...