jamii

  1. Seran

    Kuhusu DNA kupitia Ustawi wa Jamii

    Haiwezekani!
  2. Traxtion

    Kumbe Jamii Forums imeshafunguliwa 🤔

    Wakuu au ni mimi tu ndio nimechelewa kujua Mbona usiku huu ghafla nashangaa naipata Jamii Forums bila VPN Wameiachia huru lini aisee. Inawezekana nilikuwa najisumbua siku nyingi kufungua Jamii Forums kwa VPN kila muda
  3. A

    KERO Tuliosoma Chuo cha Taifa cha Utalii tuna changamoto ya upataji wa Ajira Serikalini kupitia Mfumo wa Ajira Portal

    Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisome katika...
  4. Traxtion

    Jamii ya Kitanzania iache kulazimishana kuongea na watu, kama mtu huyo hapendi

    Kwa nini Watanzania wanapenda kulazimishana kuongea na watu Unakuta mtu unapenda kukaa peke yako kimya bila kusumbua watu, unashangaa wanaanza kukuuliza mbona huongei na watu, na kuanza kukupangia kuwa unapaswa uanze kuongea na watu Kuna muda unawasikia wanakusema kimyakimya eti huongei na...
  5. Wakusolve

    Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii

    Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii 1.Kumshirikisha Mungu kwenye mipango yako, Unapomuweka Mungu wa kwanza kwenye kila mipango unayofanya unajipa nafasi ya kufanikiwa na kuwa imara, Mungu atakufanya ufanye maamuzi sahihi, atakupa watu sahihi na pia kupata...
  6. P

    Member gani hapa JamiiForums ana makombora mazito ya maneno (matusi) ili niwe na tahadhari ninapojibazana naye?

    Nataka nijue nani anamakombora mazito humu ili nichukue tahadhari nyingi kabla sijamquote. namfahamu mmoja tu ambaye ni GENTAMYCINE Natanguliza shukrani.
  7. ELI COHEN

    Kama kijana wa kisasa achana na haya mazoea ya kiduanzi ambayo yamekuwa ruba kwenye jamii zetu

    Unapoenda kutembelea mtu toa taarifa kwanza, usilalale zaidi ya siku mbili kupelekea kuleta usumbufu hadi unalala na watoto wadogo. Ni aibu katika karne hii bado una unahangaishwa na mambo ya kufikirika. Unashindwa kuchukua risk kisa unahofia upande ambao hauna hata hakika nayo ila unauheshimu...
  8. ERoni

    Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

    Heri ya Sabato, poleni na mfungo ndugu zetu waislam na wakristo mnaotimiza agizo hili la kiimani. Nimeamua kudandia treni ya wanaokataa mambo ya mahari kwa dunia ya sasa, hasa barani Afrika ambapo kwa asilimia kubwa ndipo haya mambo hufanyika Dunia ambayo mwanamke amekuwa huru sana, anaweza...
  9. N

    Kuzuia ‘Media’ ni kuziba macho ya jamii na kujenga pengo la taarifa linaloweza kujazwa na uvumi

    Katika Jamii ya Kidemokrasia, uwazi na uhuru wa Vyombo vya Habari ni nguzo muhimu za uwajibikaji. Hata hivyo, pale ambapo Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Inapoamua kuzuia Vyombo vya Habari kushuhudia ushuhuda wa...
  10. Idugunde

    Hata Bokoharamu walianza kwa mzaa mzaa kama TFF. Uonevu huleta chuki katika jamii

    Hawa wanaojiita Tff unaweza kuwadharau. Kumbe uonevu umezalisha chuki
  11. A

    KERO Changamoto zinazowakabili Wanafunzi SUA kipindi hiki cha Mitihani

    Katika kipindi hiki muhimu cha mitihani, wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wanakumbana na changamoto kadhaa za kiutendaji zinazohitaji uangalizi wa haraka. Kwanza, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu kutotoka kwa Examination Tickets kwa wakati. Wanafunzi wengi bado...
  12. mirindimo

    Polisi jamii agoma kumkamata mtuhumiwa wa wizi, kwa sababu akipelekwa polisi anatoka

    MIezi 3 imepita nilipigwa tukio nikafata taratibu zote nika report nikalazimika kufatilia mwenyewe na kufanya upelelezi aisee tulifanikiwa kupoint mwizi sasa kilichotokea Polisi Jamii waligoma kutoa ushirikiano wa mahali anapoishi ili polisi wakamkamate na sababu kubwa wanahofia maisha yao kwa...
  13. BARDIZBAH

    DOKEZO Mfuko wa hifadhi ya jamii Zanzibar (ZSSF) hauwalipi watu watokao Tanzania Bara katika mafao yao pindi wamalizapo mikataba au wanapopoteza kazi

    Huu ni baahi ya ushahidi wa malalamiko ya watu kutoka katika page ya ZSSF zanzibar. Watu watokao Bara tunafanyiwa ubabaishaji sana kwenye mfuko huu, raia wa kigeni wakitaka mafao yao wanayapata yote. Kwanini mtu atokae Tanganyika asipewe?? Mtu atoke mbeya, Mwanza, Mara afuate mafao Zanzibar...
  14. N

    JamiiAI: Mafanikio Katika Majaribio ya Awali ya Akili Mnemba "JamiiAi" niliyewaletea ili kuisaidia jamii ya kiswahili

    LOGO rasmi ya jamiiAi  Utangulizi Katika enzi ya maendeleo ya kasi ya teknolojia ya akili bandia, ujio wa akili mnemba inayojulikana kama Jamii AI umeleta matumaini mapya katika sekta ya kidijitali. Kupitia majaribio ya awali yaliyofanyika, Jamii AI imeonesha uwezo mkubwa wa kiufundi, kasi ya...
  15. ELI COHEN

    Level ya awareness ambayo inaendelelea kuwa katika jamii ya vijana wa kiafrika inatia moyo sana, it will take time although

    Kuna wakati watu weusi walijua sababu za tabu zao ni kwa maana wao ni kizazi cha laana na unyonyaji wa wazungu. Bado sehemu kubwa ya jamii ya kiafrika inajua dini ndio mkombozi wa uduni wao. Leo ndio vijana wanakuja kuelewa kuwa mzungu aliwatawala sio kwa sababu ya unyonge wao bali utengano na...
  16. R

    JF administration mbarikiwe, kwa nia njema tunapata pa kutolea mawazo kujenga jamii yetu

    Asnte sana Maxence Melo ubarikiwe. Tunajitahidi kuandika sense na si vinginevyo. Watawala wangelijua hilo, ingeliwasaidia sana kujua direction nzuri ni ipi. Lakini wao wanasema direction ya nini, tuna polisi na Jeshi na Machawa. No need ya direction!
  17. E

    Mradi wa Maji

    Wakuu kwema unaweza kufanya taratibu gani kuanzisha mradi wa kuuza maji katka jamii mfano ukauza island ila ukafunga kabisa na mifumo yote na mita utaratibu ukoje mpk ukamilishe kila ktu na faida yake inakuwa vipi msaada wakuu
  18. jamaikatz

    JamiiForums usipokuwa makini, utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako🤔

    JamiiForums usipokuwa makini utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako ni kuwa makini sana Sasa hivi wanawake unawatafuta kwa tochi hawapatikani kirahisi, now days JF wanaume ni wengi kuliko wanawake. Na kuna baadhi ya members wa kiume wanafungua ID fake wakijifanya ni wanawake Kuweni makini sana.
  19. mcTobby

    Kama sio roho mbaya na chuki za watawala, Jamii forum ingekuwa platform kubwa sana kusini mwa afrika

    Yeah, ni chuki tu za watawala wetu na Roho mbaya ,ila Jamii forum ingekuwa ipo mbali zaidi ya hapa . Ila ndio hivyo tuna watu kwenye viti vya mamlaka wana fantasize na ku wish jamiiforum isingekuwepo... Hii platform ingekuwa bidhaa ya watu karibia million 300 kwa nchi zote zinazoonhea...
  20. Minjingu Jingu

    KERO Waziri Wizara ya Elimu, Ustawi wa Jamii, Wizara ya Maendeleo Wanawake na Watoto, Katibu Mkuu, Necta, Nacte, Tie. OKOENI HAWA WATOTO TUTAWAPOTEZA

    https://harvardea.sc.tz/index.php Mimi ni mzazi mwenye mtoto ambaye anasoma shule moja ipo huko Tabata inafahamika kama HARVARD EAST AFRICA NURSERY AND PRIMARY SCHOOL. Hii shule imekuwa na maamuzi ya kibabe kwenye mambo muhimu yanayohusu mustakabali wa watoto wetu. Mwaka jana waliitisha kikao...
Back
Top Bottom