jamhuri

Jamhuri Day (Republic Day) is a national holiday in Kenya, celebrated on 12 December each year. Jamhuri is the Swahili word for "republic" and the holiday is meant to officially mark the date when Kenya became a republic on 12th December 1964. The country became a republic after gaining full self-governance from the United Kingdom, after gaining independence on 1st June 1963. Jamhuri Day is regarded as Kenya's most important day, marked by numerous festivities which celebrate the country's cultural heritage and looks back at her journey to independence and self-governance.The entire Kenyan

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari Jamhuri ya Kiislam ya Iran kuanguka

    Maandamano yanakuwa kwa kasi Wairan wanashusha bendera ya Jamhuri ya Kiislam na kupandisha bendera ya Jua na Simba. Kobazi wanajukumu gumu mbele yao, 1. Kuua watu kama Samia alivofanya 2. Kukubali kuaguka https://x.com/ShayanX0/status/2009024757883371597...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini gazeti la Jamhuri limesitisha uchapishwaji? Let us speculate intelligently

    To me, nahisi by 99% ni ile interview ya Warioba. Why? Manyerere aliyemhoji Warioba ni News reporter wa Jamhuri media. Ile interview ulikuwa mwiba mkali sana kwa serikali na matendo yake ya 29 October 2025, maana it was TRUTH TRUTH TRUTH DEEP IN THE BONES of which watawala hawataki kusikia...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri halionekani leo mitaani baada ya kuandika habari za Warioba, kulikoni?

    GAZETI la JAMHURI lililokuwa na mwendelezo wa Mahojiano maalum na Mzee wa Warioba yaliyofanywa na Mhariri Manyerere Jackton bahati mbaya leo nimelitafuta kwenye meza za magazeti sijafanikiwa kuliona kulikoni? au limezuiliwa kutoka leo? Je mwendelezo wa mahojiano na Mzee Warioba yaliyokuwa...
  6. Superbug

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikukuu ya Jamhuri Kenya; Je, William Ruto anasoma au anatoa kichwani hii hotuba?

    Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Lililotokea ni tukio la kutengenezwa, ni mradi wenye nia ovu kuangusha dola ya nchi yetu

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema matukio yaliyotokea kuanzia Oktoba 29, 2025 na kuendelea yalikuwa matukio ya kutengenezwa ambayo yalikuwa na lengo la kuangusha dola ya nchi yetu. Ameyasema hayo leo Disemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa...
  8. President of China

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limenifurahisha sana - Huu ni mwanzo mpya na maendeleo Kedekede

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Baraza jipya la Mawaziri ambalo limepokelewa kwa matumaini makubwa na wadau wengi, likionekana kama mwanzo mpya wenye ahadi ya maendeleo Kedekede. Rais alitangaza Wizara 27, Mawaziri 27, na Naibu Mawaziri 29 mnamo...
  9. President of China

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Asilimia 56.7 ya wabunge wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania ni wapya

    "Takwimu, zinaonesha kuwa wabunge 223 kati ya wabunge 393 sawa na asilimia 56.7 ni wabunge wapya kabisa. Aidha, asilimia 45 ya wabunge wote ni wanawake." - Rais Samia Suluhu akihutubia na kufungua Bungea la 13
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2

    Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mussa Azzan Zungu awa Spika wa Bunge la 13. Achaguliwa kwa kura 378 kati ya kura 380 halali

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limefanya uchaguzi wa kumchagua Spika wa Bunge la 13. Kikao hicho kinaendeshwa na Spika wa muda William Lukuvi, akisaidiwa na Katibu wa Bunge Baraka Leonard. Jumla ya Wabunge 383 wanapiga kura. Katika uchaguzi huu tutakumbuka kuwa Spika wa Bunge...
  12. Pakome

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake, uharibifu ambao unafanywa na Wananchi wenye asili ya uhalifu ndani yao Kauli za kwamba Serikali inaogopa maandamano kwasababu itashindwa sio za kweli Bali...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tazama muhtasari wa matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan kuanzia 03 - 09 Novemba 2025

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Samia akikamatwa kama asipomaliza ashtakiwe kwa kosa la kuihujumu Jamhuri ya Muungano ktk Mahakama ya Kijeshi

    Ukiwa kiongozi wa Nchi kosa kubwa zaidi unaloweza kulifanya ni kuingiza askari wa kigeni kuua raia wako. Kosa alilolifanya samia kuchukua askari wa Uganda kuua watanzania ili abaki madarakani ni kosa kubwa zaidi kuwahi kufanywa na kiongozi yeyote yule. Askari hao wa Uganda wanatumia facilities...
  15. B

    JamiiForums Tanzania JAMHURI YA PLATO — Tafsiri ya Mwisho ya Mwalimu Julius K. Nyerere

    18 October 2025 JAMHURI YA PLATO — Tafsiri ya Mwisho ya Mwalimu Julius K. Nyerere https://m.youtube.com/watch?v=fiC1cODelxU “Jamhuri ya Plato” ni kazi adhimu ya falsafa iliyoandikwa na Plato, na hii ni tafsiri yake ya Kiswahili iliyofanywa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Hii ndiyo kazi...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili wa Serikali: Upande wa Jamhuri umeshapeleka taarifa Mahakama Kuu

    "Upande wa Jamhuri umeshapeleka taarifa Mahakama Kuu, kwa maana ya kufaili taarifa, kwa mujibu wa kifungu cha 262(6), na taarifa hiyo imepokelewa na kusajiliwa kwa namba Criminal Session 19605/2025 ambayo ni shauri la Jamhuri dhidi ya Tundu Antipas Lissu.." amesema Wakili wa Serikali.
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awasili Nchini Belarus kwa ziara ya Kikazi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amewasili jijini Minsk, Belarus kwa ziara ya kikazi ya siku nne kuanzia tarehe 21 hadi 24 Julai 2024. Alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa nchi hiyo, Mhe. Waziri Mkuu alipokewa na Naibu Waziri Mkuu wa Belarus...
  18. Damaso

    JamiiForums Tanzania Msako mkali wa wahamiaji jamhuri ya Dominika: Mgogoro mpya Karibea

    Kwa miezi kadhaa sasa, picha na video kutoka Jamhuri ya Dominika zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, zikionesha maafisa usalama, polisi na wanajeshi wakiendesha misako ya barabarani, wakikamata watu wanaoshukiwa kuwa wahamiaji haramu – wengi wao wakiwa ni kutoka...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Yajue Malengo ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...IBARA YA 9. Anayetaka kuyanadilisha ni muhaini tu

    Kabla ya kukimbilia mitandaoni na kusema mithili ya kasuku inapaswa uisome katiba vizuri usije ukapotoshwa na waropokaji. Malengo yaliyowekwa kwenye katiba yetu bora na kongwe yapo wazi na yamegusa maeneo yote muhimu. Anayetaka kutudanganya eti katiba yetu ni mbovu basi huyu ni muhaini tu...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Muendelezo wa Kutisha wa Kuvunjwa kwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuambieni tu kuwa CCM wako juu ya Katiba tuelewe moja.

    Imefika kipindi tukubaliane jambo moja tu, kuwa nchi hii haiongozwi tena kwa Katiba na Sheria bali utashi wa watu binafsi. Kama si hivyo basi tukubaliane tu jambo moja kuwa wananchi wote wa Tanzania ni vigaragosi na mazwazwa kiasi kwamba Viongozi wanaweza jifanyia jambo lolote lile bila kuogopa...
Back
Top Bottom