jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. Maswali ya Papo kwa Papo Kwa Waziri Mkuu, Waziri Mkuu Aulizwe Maswali, Ajibu Maswali na Kama ni Ufafanuzi wa Jambo Lolote, Waziri Mkuu Huru Kufafanua

    Wanabodi, Tangu Bunge la Bajeti lianze, Alhamisi ya leo ndio kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu anautumia muda wa kujibu maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu. Sasa kwanza wenye access kualia Bunge live, angalieni maswali ya leo kwa Waziri Mkuu, kisha nitawaeleza kitu Karibuni UTANGULIZI...
  2. Kwa takwimu hizi za sensa ya 2022 maisha lazima kilio cha ugumu wa maisha ni jambo lisilo epukika

    Ukiziangalia takwimu za tume ya takwimu zinatotokana na sensa ya 2022 karibu watanzania 55M ama ni watoto, wako shule, wanatafuta kazi au wamepoteza uwezo wa kufanya kazi wakitegemea nguvu kazi ya 6M. Kwa kuzingatia ufanisi wetu wa uzalishaji uwiano huu matokeo yake ni ugumu wa maisha
  3. Nimefatilia maisha ya Jay Z, nimegundua kuoa sio jambo la haraka

    Nipo nasoma Biography ya Jay z nimeona kazaliwa 1969 na kaoa Mwaka 2008 na kapata mtoto wake wa kwanza na Beyonce Mwaka 2012 Na watoto wake mapacha kawapata Mwaka 2017 Maana yake Jay z kaoa akiwa na miaka 38 Nilichogundua Mambo ya kuoa yanahitaji kujipanga yaani kutafata Direction na sio speed...
  4. Kususa kuhamasisha mashabiki wenu kuja uwanjani kisa nyie sio mwenyeji ni ujinga

    Kuna hili jambo niliwahi kuambiwa ila sikulitilia maanani siku za nyuma ila wiki hii nalishuhudia tena. Pale timu mojawapo inapokuwa mwenyeji wa mechi hii ya "dabi", hiyo timu mwenyeji kwa kuwa inaenda kupata mapato yote ya mchezo ndiyo pekee inafanya hamasa. Timu ambayo ni mgeni "inauchuna"...
  5. Je, huu ni Ugonjwa mpya kwa Dada zetu au ni Jambo la Kawaida tu?

    Siku hizi kila ukikutana / ukiowaona Wanawake Watano njiani / barabarani ni lazima tu utawaona Watatu au Wanne Makalio yao yanatikisika mno halafu ukiyasogeza Macho yako (Kiuwizi) kuyatizama / kuyakodolea utayaona yamelegea sana na muda wowote yatakatika vipande vipande na Kuanguka. GENTAMYCINE...
  6. B

    Kwanini neno Ambulance kwenye gari la wagonjwa huwa linageuzwa?

    Kwa nini kwenye AMBULANCE maneno ya hapo mbele huwa yanagezwa?
  7. Lile Jambo linazidi kupingwa, ajenda kuu Misa ya Pasaka

    Ndio, nazungumzia lile Jambo, Limekuwa agenda kuu Misa ya Pasaka.. Wazazi wapaswa kuwajibika kulea maadili ya watoto wao. Hili jambo wengi tunalivamia lakini ukwel ni kwamba kwa Tanzania mkakati ulianza zamani sana.. Angalia hapa.. 1. Kabla ya mwaka 2005 kulikuwa na fursa Sawa kwa wote...
  8. Miaka miwili ya Rais Samia, Hakuna jambo la maana linaloonekana!

    Ni miaka miwili sasa imetimia tangu kiongozi wa awamu ya sita kuingia madarakani, Lakini utafiti unaonyesha na hata unapojaribu kuuliza, Je, kuna jambo lolote la msingi na la maana unaloweza kupoint out kwamba jambo hili limegusa maisha ya watanzania wa hali zote? Je, kuna nia ya dhati na...
  9. Si jambo rahisi kuzuia maovu

    Turejelee harakati za mitume wetu Yesu Kristo na Muhammad, mitume hawa walikuwa wakihangaika usiku na mchana kuondoa maovu ikiwemo wizi, ukahaba, ushoga na mengineyo. Leo hii tunashuhudia dunia ikitumbukia kwenye ushoga na usagaji na maovu mengine mengi, Je, unadhani mfupa uliomshinda fisi...
  10. Kuna Jambo Uongozi uliopo madarakani usipoangalia linaenda kutokea kama la 1992 kwa Jirani yetu

    Amani muswano. Tupo chungu cha tano leo ndugu zangu ni kasi ya ajabu sana hii. Nafuatilia siasa za jirani zetu hapo Kenya, kuna mambo yanafanyika siyo ya kistaarabu kwa kweli. Naona huyu mujamaa makamu wa Rais ndg Rigathi Gachagua hana furaha anapoona wakenya wana amani. Leo bana kuna...
  11. Je, kuna watu walizaliwa ili waje kutatuliwa matatizo yao na watu wengine?

    Ninapotazama majira ya leo kitu nashangaa ni maisha ya mtu mweusi, 90% lengo lake la kuzaliwa ni kuja kuujaza ulimwengu na sio kuendeleza Diunia. Yaani Maisha yetu watu weusi hayana maana! Yaani unasoma, unamaliza unaajiriwa au unajiajiri, unaoa au kuolewa, unajenga nyumba na kununua gari...
  12. I

    Kuna jambo linasahaulika kuhusu Rais Samia

    Mambo mengi yametajwa kuhusu mafanikio ya Mhe. Samia Suluhu Hassan katika miaka hii miwili, lakini kuna jambo kubwa sana ambalo bila kulisema hayo mengine yote ni bure na hayana maana. Ni kuhusu kujenga FAMILIA. 1. Rais ameunganisha familia- Watu wengi walikuwa magerezani, mahabusu...
  13. T

    Nani aliwadanganya CHADEMA wamponde Hayati Magufuli majukwaani!!? Hili jambo litawanyima kura miaka elfu

    Inawezekana kabisa kwamba magufuli alikuwa na madhaifu yake, na inaweza isiwe dhambi kumsema vibaya. Ila kwa watu wenye malengo ya kutafuta kura Kwa wananchi wa kawaida walipaswa kupotezea kabisa habari za magufuli. Kuna baadhi ya mambo ambayo hata Magufuli angekuwepo naamini asingebadili...
  14. T

    Nafarijika kuona wazee wakitumika kushauri. Liundwe Baraza Kuu la Ushauri likiusisha Marais wastaafu

    Nafarijika sana kuona wazee wakitumika kushauri masuala mbalimbali kwa sababu: i) Wazee wanatoa maamuzi yaliyotulia ii) Wazee hawakurupuki kwa sababu wanaongozwa na hekima iii) Wazee wana uzoefu wa kutosha hivyo wanatumia uzoefu wao kutoa ushauri bora. iv) Wazee hawana cha kupoteza kwamba...
  15. Serikali ifanye jambo soka la Mbeya

    Kwa ajili ya maendeleo ya soka la nchi hii na kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za kukuza soka la nchi hii Nashawishika kuamini kwamba serikali haitimizi wajibu wake Kwa soka la Mbeya. Pamoja na ishara zote kuonesha kwamba Mkoa wa Mbeya ndio mkoa namba moja kwa kuwa na wapenzi wengi wa soka...
  16. Wanawake mlioolewa kubalini jambo moja; mnaweza kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi lakini hamuwezi kukaa bila kuwa na mwanaume

    Dada zangu mlioolewa (hasa wenye kipato endelevu) ambao mpo kwenye umri kati ya miaka 25 na 40 naomba niwaambie hili jambo na msilisahau. Hii tabia ya kuamua kwenda kuomba talaka au kuamua kuachana na waume zenu kwasababu tu mnacho kipato inawatesa sana baada ya muda. Nimeumia sana kuona...
  17. Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana

    Kenya kukubali haki za mashoga ni jambo la aibu sana kwa vizazi vijavyo, labda wanaharakati wa mashoga ni wale wanaume ambao hawazai au hawatazaa, kwasababu kitendo cha kuona mtoto uliyemzaa anakuwa shoga ni kitendo cha aibu sana, inafikia mahali nchi hiyo mashoga wanafungua forum yao inayoitwa...
  18. Serikali iendelee kumsaidia mgonjwa wa ajali ya mwendokasi atakapopata ahueni

    Ni siku chache tangu hospitali ya Muhimbili Orthopedic Institute (MOI) kutoa habari njema juu ya mgonjwa aliyekuwa amelazwa hospitalini hapo baada ya kupatwa na ajali ya kugongwa na basi la Mwendokasi. Kiukweli ni jambo la kumshukuru Mungu kwa sababu ameendelea kumuweka hai na salama mpaka leo...
  19. Tukio au jambo gani lilifanya uzidi kuuchukia umaskini?

    .
  20. Kama ndoa na kuoa ni jambo zuri mbona mnapanic tuacheni na kauli mbiu yetu ya kukataa ndoa na kuoa

    Hello mambo!! Wahenga walisema kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza. Kwa muktadha huo tuishi uhuru wa kifikra, kimaamuzi, iwe haki na huru. Kama ndoa ni nzuri mbona mnatumia nguvu kubwata na hizo tantalila tantalila zenu. Dunia ndio hii hii ukioa au ukiolewa pambana na hali yako. Kataa ndoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…