jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. Hii Trend ya kukamatwa Wahamiaji Haramu kwenye V8 kuna jambo lichunguzwe

    Mtu hadi anapofikia kuitwa mmhamiaji haramu tena kwa wale wanavyoonekana hawana pesa ya kumlipa mtu awasafirishe kwa V8, Hii ni issue huenda ipo nyuma ya mtu fulani, either watu hawa wanapelekwa kufanya kazi mahala, kiwanda, shamba au chochote, coz hawa kujilipia huu usafiri mtu arisk gari na...
  2. Kila Jambo kwa Kiasi, lolote likitokea (Mke) akabadili maamuzi

    Sina Imani Sana, mke niliemuoa, Na kila jambo ninalofanya nafanya kwa Kiasi. More Expection, inaweza nifikisha pabaya, kweli nampenda mke wangu Ila nimejipa kiasi ili lolote likitokea niwe salama. Kuoa/ kuolewa ni kitendawili chenye fumbo kubwa sana. Naishi na mke wangu kwa Tahadhali ili...
  3. CHADEMA tafuteni hoja, bwawa kujaa maji ni jambo la kawaida duniani kote

    Kama ilivyo kawaida ya Chadema wazee wa matukio kwa sasa ajenda yao ni bwawa la Nyerere. Nachotaka kuwaambia chadema kujaa kwa bwawa sio udhaifu wa utaalam ila ni jambo linalotokea kwenye mabwawa yote nchini na duniani. Watanzania wanataka kujua pesa zao za join the chain na michango ya...
  4. Jambo gani ambalo uliwahi kulipania kwa hamu kubwa kulipata baadaye likakushinda?

    Natumaini hamjambo wana jukwaa na mnaendelea vyema Katika harakati za kimaisha kuna mambo mbalimbali ulipania kuyapata au kuyafanya ila baadae yakakushinda na ukaachana nalo kabisa ama ukapambana tu bila kukata tamaa lakini hola. Yapo mambo mengi kama vile, kupata ramani za kwenda abroad...
  5. Kupitia mimi nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hili jambo. Usioe mwanamke mwenye mtoto

    Kwanza kabisa namshukuru mh rais wetu. Anaupiga mwingi kinyama. Katika pita pita maishani nimezalisha wanake wa 4. Katika hao watatu hawa kila muda nikijisikia kutaka kulamba naomba napangiwa siku naenda nalamba. Na wote hao wameshaolewa tena. Wawili katika hao watatu wakinipangia ratiba...
  6. Laana ni jambo la ukweli au danganya Toto?

    Kumekuwa na tabia ya watu kutoa laana kwa watoto wao na hata kwa watu baki, je ni kweli laana inaweza kumkamata mtu aliekosea au ni imani tu?
  7. Wanaume tunaokwenda kujitambulisha ukweni hivi karibuni njooni tupeane mbinu za kurahisisha jambo

    Binafsi mwezi ujao naelekea Tanga maeneo ya Muheza kujitambulisha. Nimejipanga kwa haya yafuatayo. 1. Sitolala ukweni. 2. Ikitokea kula ukweni ntakula mlo mmoja tu. 3. Ntavaa simple sana( shati yangu ya mikono mirefu, suruali na balaghashehe kichwani) na kiatu changu cheusi 4. Nitaongea kwa...
  8. S

    Paccome, Aucho na Yao kukosekana ni jambo la bahati mbaya sana

    Kukosekana kwa hao wachezaji kunanipunguzia sana matumaini ya Yanga kufanyanya vizuri na ninaona kama Yanga wana bahati mbaya ingawa bado wanaweza kufanya vizuri kwa kikosi kilichotangazwa kuanza katika mechi ya leo. Nimekumbuka ile fainali ya kombe la CAF ya mwaka jana ambapo Aucho tena...
  9. 4

    Kwako Rais wa Zanzibar Mwinyi Jr, nipo na jambo langu na wewe

    Wakuu, andiko hili ni fupi sana na nimatumaini yangu Mungu anabariki popote mlipo. Leo nipo na ujumbe kwa Rais wa Zanzibar, na kabla ya ujumbe, kwanza nimpe pole kwa kuondokewa na baba mzazi, ambaye kwetu sisi Watanzania tunamtambua kama baba wa pili wa nchi hii. Pia, nimtakie mfungo mtukufu...
  10. M

    Pwani: Mashabiki wa Simba kutoka Mbeya, Wapata ajali Vigwaza!

    Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly. Ajali hii imetokea baada ya gari lao kigongana na roli Alfajiri ya Leo! Mungu wape wepesi ndugu zetu! Tutaendelea kupata taarifa kamili...
  11. Kadri unavyochelewa kuoa hili jambo linazidi kutokea kwako

    Nawaambia vijana. Unavyozidi kuchelewa kuoa ndo huyo atakayekuwa mkeo anazidi kuchakazwa. Watu watamtumia weeeeeeeh... Ukija sema. Sasa naoa. Amekwisha. Wamemgeuza geuza... Milango yote ipo wazi wadau ndio wanakuachia umalizie ngwe. Jioleee mapema utulie na mkeo angalau kupunguza wachakazi kuwa...
  12. Kwa mara nyingine leo hili jambo limenifanya nijisikie vibaya sana moyoni

    Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vyema. kwa wale wenye changamoto, ni maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu kwamba atufanyie wepesi hasa katika kipindi hiki tunapomalizia mfungo wa Kwaresma na tunapoendelea na Ramadhani wengine. Ni jambo nimelishuhudia kituo cha dala dala leo asubuh katika...
  13. Al Jazeera: Hivi ndivyo Wachina wanavyotuona sisi. Nimesikitika na kuumizwa sana na Jambo hili

    Miaka ya hivi karibuni tumekuwa upande sana wa China dhidi ya Wazungu. Kila sehemu tumesifia na kumtetea Mchina tukiwaponda Wazungu. But kumbe wao wanatuona sisi ni hamnazo? Hatuna kitu? Weupe kichwani? Ni ugonjwa wa kiakili? Si sawa. Miaka yote tunawaita wazungu makafir na wanaendelea...
  14. Mjadala: Ni jambo gani kwenye Maisha yako lilichelewa sana? Ila sasa unaona kawaida sana

    Wakuu, Kwenye haya maisha tuna mambo mengi sana ambayo ni matamanio, na kila mtu nafikiri wanayo. Sasa ni vitu gani ambavyo ulivitamani sana kuwa navyo, yaani ile tu unajiambia I wish, I wish... Ila sasa unavyo au unavifanya na unaona ni kawaida kabisa yani!! Kuna watu walitamani kuwa na...
  15. Tusifanye usambazaji wa konekshen za watu kuwa jambo la kawaida, tunaharibu maisha ya watu

    Naona tumefanya unyanyasaji wa mtandaoni uonekane kama kitu cha kawaida bila kujali kwa kufanya hivyo tunaweza kuharibu maisha ya watu wengi sana, kwasababu unyanyasaji au bullying kwa kimombo inaathiri sana afya za akili za watu. Siku hizi mambo mengi yapo hadharani na yanaelezewa kwa upana...
  16. Amemchoma Mke wake wa zamani ili afukuzwe kazi. Je, kakosea?

    Jamaa anadai huyu Jenifer ( siyo jina halisi) alikuwa mke wake wa ndoa, walipofunga ndoa jamaa alifanya janja janja ili angalau na mke wake apate sehemu ya kupata kipato chake Akiwa ndo wana mtoto mmoja jamaa aliandaa mazingira fulani akapata cheti na kufanikisha mke wake kuingia chuo na baada...
  17. Rais Eng. Hersi Said hili suala la kuweka kiingilio bure linaweza hujuma kubwa sana kwa Yanga. Vinginevyo jambo hili lifanyike

    Taarifa inasema kiingilio kwenye mechi yetu na Mamelody itakuwa bure Mzunguko. Sababu za uongozi zina mashiko pasi na shaka yoyote. Kwanza mechi itachezwa usiku sana halafu pili ni mwezi mtukufu wa Ramadhwani etc. But hatuoni kuwa Simba wanaweza kuingia pia uwanjani kwa wingi yakaja kuwa...
  18. Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

    Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka kushauri hili kufanyika na nimefurahi kujua kumbe pale TFF kuna watu wana uwezo wa kufikiria mambo...
  19. Kwanini wanawake wanaona shape ni jambo muhimu kwao wakati wanaume hawapendelei kuoa wa hivyo?

    Mara nyingi kwenye suala la kuoa wanaume tunaangalia tabia na mtazamo wa mwanamke na sio muonekano. Asilimia kubwa ya wanawake wenye maumbo ya kuvutia huwa tunawatamani lakini hatuwawazii sana kuwaoa na kuishi nao. Sasa ninashangaa ni kwanini mwanamke aende kujibadilisha umbo wakati hapo...
  20. Je, kissing (denda) ni jambo la asili au ni ubunifu wa kibinadamu?

    Kuna mambo ambayo yanachukuliwa kuwa ni ya asili(natural human behavior) kama kula, kulia, kucheka, sex nk nk. Yaani huitaji kufundishwa ndio uvifanye, vinakuja vyenyewe by instinct Lakini kuna mambo ambayo ni ubunifu tu wa binadamu, mambo hayo yanahitaji ujifunze ili uyajue, hayaji yenyewe by...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…