jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanapenda kunyenyekewa na kupewa heshima

    Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua shida ni uwezo wa kimaisha walio nao ndio unawatenga na kujihusisha na mahusiano au shida nini...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Bonde la Mto Msimbazi - Dar limeanza kuwa dampo, siyo jambo zuri kwa Afya ya Wakazi wa Vingunguti

    Katika pitapita za kila siku mtaani, hivi karibuni nilikatiza maeneo ya Vingunguti pembezoni mwa Bonde la Mto Msimbazi na kukutana na hali ya hatari kwa afya. Kiukweli mambo si shwari katika eneo hili, hasa usalama wa afya kwa wakazi waliozunguka eneo hilo. Kingo za mto huo zimegeuka kuwa...
  3. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbolea Feki tunayopewa Wakulima Tabora ni chanzo cha kifo cha zao la Tumbaku, Waziri wa Kilimo fanya jambo

    Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata hasara kubwa ya kukosa fedha za kigeni kutokana zao la Tumbaku kuanguka. Iko hivi, sisi wakulima...
  4. ommytk

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni kwanini wepesi kwa kuchangia pesa katika jambo je ni huruma yetu au

    Watanzania ni wepesi sana kutoa mchango au kuchangia pesa jambo kwenye shida yoyote au furaha pia je ni utamaduni wetu au Mila yetu au huruma yetu yaaani unaweza zua ata kitu cha uongo ukahitaji pesa na watu bila kuhoji kutaka kujua hela inaenda tumikaje basi waanachanga bila tatizo lolote Au...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo hutakiwi kuchelewa kwenye maisha kama tayari una mpango wa kufanya jambo husika

    MAMBO AMBAYO HUTAKIWI KUCHELEWA KWENYE MAISHA KAMA TAYARI UNAMPANGO WA KUFANYA JAMBO HUSIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Leo sitawachosha ndugu zangu. Nitashusha vitu kisha nitawaacha mkitatafakari kwenye weekend hii. Kwenye akili yako kuna mambo yanaendelea, kuna mambo unayawaza kuhusu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Nimepata huduma mbovu kutoka kwa Mfanyakazi wa NHIF - Dar, imebidi Kiongozi wake wa juu aingilie na kuniomba radhi

    Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika. Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa huduma? Hili suala nilishaliona sana NHIF lakini kwasababu sikuwa na pa kuongelea basi likawa linauma...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Utekaji na utesaji siyo suluhu ya kuzuia jambo lisitokee

    Hata wakati wa Mtume, mateso yalikuwa makubwa lkn uislam umeenea licha ya mateso. Mfano 1. Bilal bin Rabah (R.A) Aina ya Mateso: Kupigwa vibaya. Kulazwa kwenye mchanga wa moto wa jangwani huku jiwe kubwa likiwekwa kwenye kifua chake. Kupigwa mijeledi. Aliyemtesa: Umayyah bin Khalaf...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani unalotakiwa kulifanya pindi unapopitia wakati mgumu sana. Fedha na matatizo ya mara kwa mara kama vile kuuguza kwa muda mrefu

    Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia. Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa ila Ukubwa Huu una mafundisho mengi sana. Nimekaa nimewaza sana, nimepitia Changamoto nyingi sana...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mwajiriwa usisahau jambo hili

    Sina maneno mangi naomba niwakumbushe jambo waajiriwa. Nambari 1: Kama uliweza kuajiriwa ni vyema ukatambua kuwa unaweza kufukuzwa kazi pia. Nambari 2: Ukifa, ukistaafu, ukiacha kazi, ukihamishwa, ukipunguzwa kazini, ofisi unayofanyia kazi haitafungwa. Itaendelea kama kawaida na itastawi kama...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Naamini kuna jambo linakuumiza akili wakati huu

    Sijui nini unachopitia wakati huu lakini naamini una jambo linakuumiza akili na moyo ongea na Mungu wako akutue huo mzigo wa maumivu haustahili kuendelea kuteseka kama ni kujifunza tayari umeshahitimu, Nikutakie USIKU MWEMA.
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Diwani wa Wazo: Mtu yeyote anayefanya jambo lolote linalopelekea CCM kukosa kushika Dola, hafai kuwa Kiongozi

    Diwani wa Kata ya Wazo, Mhe. Wakili Leonard Tungaraza Manyama, ameonya kuwa mtu yeyote anayefanya vitendo vinavyoweza kuzuia ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hafai kushika nafasi za uongozi. Mhe. Manyama alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wazee na wanachama wa CCM katika Tawi la...
  12. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Naomba Usharuri Mimi ni kijana wa Mwaka wa Kwanza Computer Science Nina shauku ya kutoka na GPA kuanzia 4.5 mpaka 5 Je nizatie jambo gani na gani?

    Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
  13. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Video: Endeleeni kuutamani utajiri. Litawakuta jambo

    Ila kuliko kufa maskini, ni heri tu kuishi na kiumbe huyu ndani kwa kweli Umaskini ni mbaya sana, bora kufa kiume
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kwenye Usafi wa Mwili, Waislamu ni Wasafi Zaidi ya Wakristo?. Waislamu Hujiswafi kwa Maji, Wakristo Kwa Karatasi!, Huku Sio Kujipaka?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mimi kama mwandishi wa habari, ni muelimishaji umma, ukiona jambo zuri la jamii fulani, waelimishe na wengine wafuate. Hii ni mada ya swali jee wajua kuwa kwenye usafi binafsi wa mwili, kuna uwezekano Waislamu ni wasafi...
  15. Edsheraan

    JamiiForums Tanzania Hili jambo linanifikirisha sana

    Za asubuhi,, Hivi shetani yupo kweli au ni hadithi tu za wazungu ??? Mtu anaamua kufanya ubaya yeye mwenyewe anaanza shetani kanipitia yupo kweli??
  16. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini 2025. Tujifunze jambo kwa Wamarekani kukataa kuongozwa na mwanamke licha ya uwezo wake

    Wamarekani walionekana kumkubali sana mwanamama Kamala Haris. Ila lilipofika suala la kupiga kura ya urais, wakatafakari mara ya pili. Kuwa Mwanamke aongoze nchi? Inawezekana? Hapo ndipo wakatulia na kupata majibu,wakamtosa wakamchagua kaburu Trump. Watanzania tuwe na la kujifunza hasa...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la hekima sana kumweka wazi bajeti yako kwenye mtoko wa date lasvyo umempa tiketi ya kuagiza vinywaji ghali na kuleta marafiki zake, n.k.

    Hii ni muhimu zaidi kwetu wenye vipato vya kawaida. Sio jambo la aibu hata kidogo wala sio urijali wala ujanja kwenda date bila kumpanga mapema kuhusana na bajeti. Ukishindwa kujipanga jiandae kupata aibu, kuharibu bajeti yako, n.k. Kumjuza bajeti yako itakusaidia mapema kujua kama yupo nje ya...
  18. Richard

    JamiiForums Tanzania Independence Day and Project 2025 ni uhalisia au jambo la kufikirika?

    Indepencence Day na Project 2025 ndo itakuwa habari ya mjini ifikapo January 1, 2025. Ndege maalum ya kutoka angani au Spacecraft itatua katika ardhi ya nchi hii na iyakuwa imejaa abiria kadha wa kadha. Abiria wengi ni viumbe wa ajabu au Aliens na watakuwa ni hatari yaaani "vicious". Ni jukumu...
  19. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru majini jambo langu la msingi limefanikiwa

    🙏🙏🙏🙏Nasema Ahsante waziwazi. Msioamini kazi kwenu.
  20. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Je, akiomba mkopo Bodi ya Mikopo mwaka ujao anaweza kupata?

    Kuna jamaa yangu amemaliza Diploma ya IT 2012 huko Iringa, amehangaika na maisha huko mwaka huu ananiambia mwaka ujao anataka kuingia Bachelor ya kozi fulani nje ya IT pale Iringa University Je akiomba mkopo Bodi ya mikopo mwaka ujao anaweza kupata? Wazoefu njooni mtupe uzoefu afuatilie
Back
Top Bottom