jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume ashtakiwa baada ya kumtupa kwa nguvu mtoto wa Kiafghani chini

    Angekuwa mtu mweusi Kila maistream media ingeweka hii video. Ni Yale Yale mtu mwingine akiua watu kwa bunduki utaskia terrorist ila ngozi nyepe ataitwa a gunman who is mentally distorted. ================= Mwanaume mmoja amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kosa la kushambulia mtoto wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hata kama sikusomea upelelezi nilijua huyu jamaa mwongo

    Alikuwa anadai aliruka kwenye ndege.... Mara niliwaona hostess wanakufa mbele yangu!!! Eti kumbe hakuwemo kwenye ndege, lengo lake atrend kwenye mitandao, awe mtu maarufu.!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye sura za baba zao ni watamu zaidi

    Naomba nijielekeze kwenye mada husika. Tukatae tukubali, Kuna wanawake wanasura ngumu sana. Humu JF na vijiweni tumezoea kusema wana sura za baba au wajomba zao. Kundi hili la wanawake hawana fujo sana kwenye profile zao. Utakuta wameweka neutral profile ambazo hazina nasibu na sura zao kama...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa haya yanayoendelea Israel vs Iran na Ukrain Vs Russia nimejifunza mengi. Hawa jamaa hapa pichani hatupo nao tena Duniani. Nimelia sana

    Hawa jamaa hatunao tena hapa Duniyani. Wameenda akhera. Walikuwa wakionesha ukubwa wa irani na silaha za hatari. Wakati huo wapinzani wao wanawalia tu timing. Nikakumbuka na vita ya Ukraine na Russia. Ambayo Russia alisema 7 days atakuwa amemaliza hiyo operation na si vita. Na silaha za kisasa...
  5. JamiiForums Tanzania Mitaaa wanayotoka masikini ndo hutakuta kuna Madanguro, vilabu vya pombe, na wauzaji wa madawa hii ipo planned

    Binadamu ni Bidhaa ya mazingira yake . Wazungu walishamsoma MTU mweusi na kujua udhaifu wake kuwa ni ngono, pombe , na madawa bangi pombe na sigara. Unapozungumzia Anasa means is endless shit . So ukimjengea MTU danguro , vilabu vya pombe n.k usitegemee huyo MTU akafanikiwa kwa lolote He or...
  6. JamiiForums Tanzania Wachokonozi tv wana nondo sana

    Kwakua wakubwa hawataki watu wenye akili hawa jamaa wanaweza wakakutwa na kitu kizito.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Leo John Heche Anawadharau Watanzania waliopanga Nyumba?

    Ndugu zangu Watanzania, Nimesikitishwa sana ,kuchukizwa sana ,kushikwa na hasira kali sana na kumchukia sana Heche niliposikia akitoa kauli za dharau na kejeli kwa susan Kiwanga kwa sababu tu aliishi kwenye nyumba ya kupanga. Hii maana yake nini? Maana yake ni kuwa Heche na CHADEMA kwa ujumla...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wabongo bana! Hivi kwani kutahiri watoto wako lazima uwapeleke kwa Daktari Juma, Kariakoo? Ona kilichomkuta huyu jamaa

    Alikuwa amekaririshwa kwamba kutahiri watoto wake lazima aende kwa Dokta Juma Kariakoo. Anaishi Chanika na hana gari binafsi. Tukamshauri mpeleke pale nguvu kazi hospital tafuta Dokta anae fanya tohara msimamie am tahiri mwanao akasema lazima awapeleke kwa Dokta Juma. Picha Linaanza simu ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa hapa kijiwen kasema kama ulikuwa hauna unafuu kabla ya 2015, umebakia hivyo hivyo had hii sasa

    Kuna jamaa hapa kijiweni kasema kama ulikuwa hauna unafuu kabla ya 2015, umebakia hivyo hivyo had hii sasa yan unaishi kwa mishe to mishe zisizoeleweka
  10. JamiiForums Tanzania Hivi huyu jamaa huwa anatumia muda gani kuandika mistari yake sio kwa ufikirishi huu

    Heshima yenu wakuu, niende direct kwenye mada. Alizongwa na zimwi aliskika jirani akitoa hoja kwa kijiji, sababu ya kukosa elimu ya maambukizi walihisi kulogwa ndio tafsiri ya gonjwa la ukimwi. Huo ni ugonjwa jamani kama magonjwa mengine alisema mwalimu, Mwenyekiti alifoka na kumwambia kaa...
  11. JamiiForums Tanzania Wewe / Jamaa yako anafanya biashara / kazi ipi inayomuwezesha kumudu maisha?

    Huenda ukawa ni wewe, ama ukawa hutaki kuwa wewe, let say jamaa yako (kwa ME) ama shosti wako (kwa KE), anafanya biashara gani inayomuwezesha kumudu familia? How such business is running? Changamoto je? Mtaji? Tusaidizane mawazo kwa kuwa sisi sote tu watoto wa Mama mmoja, Mama yetu mpendwa...
  12. JamiiForums Tanzania We member Marry Diana kama unataka msaada wa kipesa,kimawqzo,mtaji au mume mtafute tajiri wa kusini jamaa ni very gentleman

    Nimesikitika baada ya kusoma thread ya member humu anayeitwa Marry Diana jinsi anavyoilalamikia jamii forum na member wake kwamba watu wengi humu ni wabaya kusema ukweli nimeumia sana hivi unakuaje mwwnamke mzuri na brain woman wanamkosea hivyo? Ila ninachomuambia huyu member Marry Diana ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kauli ya GL kuhusu Jamaa ilinipelekea kuzama vyanzo vyangu nikajua ndo basi na machozi yalinitoka, ulale pema

    Uwa sometimes sileti taarifa hovyo hovyo na siku ile naleta sijashtuka maana nilijiandaa kisaikolojia muda mrefu. Na nakumbuka GL alisema siku ileile kuwa ikiwa ndio mara ya mwisho kumuona jamaa basi watakutana siku ya mwisho. Kauli Ile kwangu ilitosha kunijulisha kuwa ni mwisho wa mwenzetu...
  14. JamiiForums Tanzania Huwa ukimuona huyu jamaa akisema kwenye column yake ya "MASWALI MAGUMU", tambueni lipo jambo linakuja..

    https://youtu.be/YdxCYOdO3Sg?si=4huBSJheX28CD2YC Huyu jamaa niligundua kuwa ni mtu wa mfumo wa serikali wakati wa uchaguzi wa uenyekiti wa CHADEMA taifa.. Sikutarajia kama angeweza ku - side na CCM chini ya ufuasi wa FAM na kupiga vita ukombozi na haki kupitia Tundu Lissu.. Hapa haina shaka...
  15. JamiiForums Tanzania Mkasa wa jamaa yangu kuhusu mtoto

    Habarini wadau, ningependa kushare na nyinyi humu jf kuhusiana na mkasa wa rafiki yangu ambaye sasa hivi yupo kama haelewi.Alikuwa na mahusiano na binti mmoja hivi kwa miaka kama miwili iliyopita, baadae mahusiano yakawa yameisha. Amekaa baada ya miezi 8 ya mahusiano yao kuisha, yule mwanamke...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna Jamaa Mmoja alitendwa hataki kuoa au kuishi nyumba moja na mwanamke

    Kuna Jamaa mmoja ana 42 now; aliwahi kuoa kw 20's uko ana watoto wawili na alishaachana na mke wake enzi akiwa na kipato cha kawaida tu. Anashare watoto na ex wake ambaye kaolewa tena na uyu Jamaa anaishi zake Iringa na sasa amekuwa mtu mkubwa na pesa nyingi ivyo watoto wake wakitaka kuja...
  17. JamiiForums Tanzania Sheria gani inaweza tumika kumhukumu mke wa huyu jamaa?

    https://www.tiktok.com/@samonsojuri68/video/7504665112372956447
  18. JamiiForums Tanzania Vijana Ambao Mnataka Mafanikio Ya Haraka, Msikilize Huyu Jamaa.

    Kama Mwanaume Kitu unachotakiwa kukilinda kuliko vyote ni Uanaume Wako. Terrence Howard, Muigizaji huko America.
  19. JamiiForums Tanzania Kuna jamaa aliuziwa nyumba, aliyemuuzia kafariki halafu hajabadili hati alimdanganya hana hati kumbe nyumba ina hati

    Wakuu jamaa yangu aliuziwa nyumba, sasa aliyemuuzia amefariki jamaa akiwa bado hajabadili jina la hati ya nyumba hapo inakuaje Ili kuweza kupata haki yake wakuu au ndio atadhulumika? Mwenye nyumba alimdanganya kwamba hati hajapata kumbe anayo ndani, watoto wa marehemu wameiona sasa inasemekana...
  20. JamiiForums Tanzania Wewe jamaa unaemsusa mkeo hapa Dodoma naomba tusilaumiane kwa kitakachotokea, tafadhali mrejee mkeo

    Nimeamua kuja kuandika ili kama ni msomaji wa JamiiForums basi utachukuwa hatua, mkeo amekusalia mtoto mzuri sana na mke pia ni mzuri ila unacho fanya kumsusia mkeo kisa ishu ndogo hivyo mnagombna basi ujue mke ana taabika sana, na usipo mrejeaa usitulaumu maan kazi unayo na pesa uanzo ila ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…