jamaa

Djamaa (Arabic: ﺟﺎﻣﻌﺔ‎) (also written Jama'a) is a town and commune in El Oued Province, Algeria. According to the 2008 census it has a population of 50,916, up from 37,438 in 1998, with an annual growth rate of 3.1%.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje Viktor Gyokeres kukosa top 30 ya ballon d'or. Hawa jamaa wanatumia criteria zipi kuchagua washindani?

    Tuliposhangaa na kuhoji kwa nini Messi ashinde ballon d'or dhidi ya Halaand, vijana wa Messi walirusha mawe sana, Anyway maisha ya soka yaendelee.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kero: Ndugu, marafiki na jamaa wanaanza kukutafuta baada ya kutoboa, ni kwanini hawapo direct kuomba pesa wakati uhusiano wenu ni wa maslahi pekee?

    Mawasiliano yawe direct hakuna haja ya kona kona, tamka maneno mawili, "NAOMBA FEDHA" ikiwepo utapewa kama hakuna tuangalie utaratibu mwengine atasalimia kukujulia hali, kujua upo wapi, family inaendeleaje, n.k. lakini mwisho wa siku lengo lake ni moja tu, FEDHA !! Hajakutafuta miaka na miaka...
  3. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa yangu kanipa number ya mkewe nimtest kumtongoza kama atakubali

    Wakuu,hizi ndoa za siku hizi sijui zina tatizo gani. Kuna huyu jamaa angu amefunga ndoa mwaka jana December na binafsi nilichangia sherehe ya harusi yake. Sasa bana siku za hivi karibuni namuona jamaa amefululiza kupiga tungi sana so jana nikapata wasaa wa kukaa nae kujua kulikoni mipombe kila...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vita l'O , wakiondoka watuachie msemaji wao yule jamaa ni mtu safi sana halafu ikiwezekana apate kazi kwenye timu za Bongo.

    Yule jamaa ana courage kubwa sana , Yule kwanza ni muungwana sana , Anapokua kashindwa wala haleti ubishi, anakubali na maisha mengine yanaendelea hataki matatizo na watu, Buchuti anakupambania hadi mwisho hata kama anajua utashindwa, Jamaa abaki tu Bongo ili tudumishe muungano wa east africa...
  5. Mahesabu

    JamiiForums Tanzania Usaliti: Jamaa atoa uthibitisho kuwa mtoto si wake kwenye babay shower

    https://x.com/crazyclipsonly/status/1826962090382561718 Tafrani yazuka kwenye sherehe baada ya Mume kushika maiki na kueleza umma uliokusanyika kusherehekea (jionee mwenyewe)
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kesi ya jamaa aliyezikwa kwenye site ya kaburi langu

    Baba yangu mzazi alihamia Dar es salaan mwaka 1968, akiwa kijana, Tangu miaka hiyo mpaka anazeeka alienda kwao nara chache sana,niseme tu hakupapenda kwao,maana hakujenga hata slope kule kijijini. Siku zote alikuwa akisema akifa azikwe hukuhuku mjini,manispaa ya ubungo kuanzia kimara mpaka...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Yanga ni team ya Taifa

    Wallah wabillah hii ni kufru.. amekufuru huyu. Huu ni wivu tu. GSM inachukiwa jinsi inavyopiga pesa kwa sasa. Inachukiwa sana. Iacheni ndo wakati wake huu. Yanga ni team ya Taifa. Nyie mikia mnaona wivu sana. Yanga ina back up kubwa sana ya kutoka kwa viongozi wakubwa. Hamuiwezi na mtashindwa...
  8. Mlundilwa Jr

    JamiiForums Tanzania Jamaa uliyenipiga na Chupa ya sere nikiwa natembea service road huku ukiwa kwenye pikipiki Kusudio lako lilikua nini? Ulitaka kuniua nimekukosea nini?

    Wakuu mambo vp Kweli nimeamini kifo tunatembea nacho kama siyo uwepo wa Mungu kwenye hii Dunia sijui kama ningepata hata huu wasaa wa kutype hapa JF. Majira ya saa 3 usiku Nikiwa natembea kwa miguu pembezoni mwa barabara( Service Road) kunakitu kilikuja kikatua kwenye Bega langu la kushoto...
  9. blogger

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa tumpe uraia. Wananchi tumempenda bure

    😂😂💛💚💛 Next time hatukamii game ..
  10. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa wanajua Sana, wametoa remix

    Hiili Jimbo huaga Kali Sana Wana wamelikubali Wameona watoe remix
  11. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Hawa Jamaa ni kweli wanatoa mikopo ya magari mtandaoni au ndio cheche?

  12. D

    JamiiForums Tanzania Ajira zimemwagwa kila kona jamani mama amesikia vilio vya vijana kuliko yule jamaa aliyejigamba kuwa rais wa wanaontingwa.

    Seriksli imemwaga ajira kila pahala na kila sector. Huku sector binfsi sasa usiseme.
  13. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Je mwanaume akiwa na U.T.I anashindwa kusimamisha?

    Ni kama wiki hivi sina hamu ya tendo la ndoa, wala nikiamka asubuhi sioni kama mshedede unasimama! Nikawa najiuliza nimepatww na nini? yaan unakuta kanyamakazi kamesinyaaw😳…. Sasa juzi homa imechochea leo nimeendaa naambiww nina UTI. Je, ni kawaida?
  14. beatboi

    JamiiForums Tanzania Kendrick Lamar amechukua tuzo ya saba BET... Hii sio sawa kabisa huyu jamaa atengwe

    kama itawezekana afungiwe kabisa haiwezekani kila siku yeye tu.
  15. wilsonwizzy

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenyeji wa Mwanza hivi kuna sehemu wanawafikia hawa jamaa kwa huduma za kwenye magari

    Hawa jamaa wanapatikana Igoma,bango,(SUPER BLUE SKY) Wanatoa huduma zote iwe kuweka mafuta, service kwenye gari yako, parking ya gari yako,kuosha gari yako,wana kila kitu mpaka mizani ya kupimia uzito wa mizigo kwenye magari ya mizigo na ni kwa njia za kisasa kabisa na ni b ei rahisi halafu...
  16. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Samahani, huyu Mtu ni nani?

    --- The king of squats: Nkululeko Dlamini The product of his signature squat routine scored with maskandi music, Nkululeko Zane Dlamini’s incredibly toned thighs and glorious glutes — combined with the power of social media — have grabbed the world’s attention. One rainy afternoon, walking...
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Wale jamaa wa “ile pesa tuma kwenye namba hii” wamerudi kwa kasi

    wale matapeli wanaotuma sms kuwa “ile pesa tuma kwenye namba hii” wamerudi kwa kishindo. Kwasasa kwa wiki naweza kupokea sms za namna hiyo zaidi hata ya kumi. Mamlaka zimelala? Hii ni kero kubwa kwetu sisi wananchi, ina maana wameshindwa kabisa kuwashughulikia?
  18. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi ili kuwa habari ya kweli juu ya jamaa hawa wawili, nchini Kenya?

    Nakumbuka zili zuka habari na minong'ono mingi ya mabwana hawa wawili. Ghafla waka pewa cheo cha Uaskari, mara tafrija zisizo eleweka. Skendo za raisi wa kipindi kile, sijui mwanae au mkewe naye yumo. Mpinzani akadai mamluki wamefika. Je nani aweza sema kitu juu ya lipi lilikuwa lengo lao hasa.
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Jamaa alibadili boeing kuwa nyumba ya kuishi

    Anaitwa Campbell huko Oregon nyumba hiyo akawa anaishi kuanzia mwaka 1999 na kama una event yako unaweza kukodisha.. Nzuri Sana tazama picha zake.
  20. hmaloh

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na hiki anijuze kuna jamaa yangu kakiokota shambani

Back
Top Bottom