jaji

  1. Jaji Mkuu Masaju nae halijui hili?

    Kama Jaji na hakimu wakiamua kesi kwa haki na haki imeonekana ikitendeka mbele ya jamii, kazi ya Jaji na hakimu itakuwa kazi kama kazi nyingine tu. Hakuna haja ya hofu kwa majaji. Ujira mdogo hauathiri utoaji haki kwa majaji na mahakimu tu bali hata kwa wafanyakazi wa fani zote. Huwezi kuwa...
  2. Jaji Mkuu anaomba maslahi mazuri toka kwa Rais Samia, Mahakama zitakuwa huru? Kwanini asiombe katiba ibadilishwe ili awe anajipangia fungu lake?

    Nahisi kama tangu tumepata uhuru huyu atakuwa Jaji mkuu ambae yupo linked na siasa. Analialia kuwa yeye na mahakimu wake wana hali mbaya kimaslahi hivyo anaomba waongezewe posho. Hapa mahakama zitakuwa huru? Mimi nilitarajia aombe mabadiliko ya sheria ambayo yatamfanya awe na mhimili ambao...
  3. Makinda alimkatalia Mnyika, Leo hii Jaji Mkuu analalamika

    John Mnyika akiwa ni mbunge na Anna Makinda Spika wa bunge, kuliendeshwa mjadala wa ama ni sahihi wakuu wa Wilaya na mikoa kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu au si sahihi. Mjadala ule ulioendeshwa mpaka zaidi ya saa nne usiku Mnyika alipinga kabisa wakuu wa mikoa na wilaya kuwa mamlaka ya...
  4. R

    Jaji Mkuu, Kwahiyo shida ya mahakama zetu ni Kiswahili? Is this a pressing need of our judiciary?

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali atakapokuwa amekamilisha tafasiri ya matoleo ya kisheria kwa lugha ya Kiswahili, tutaanza pia kuandika hukumu kwa Kiswahili. Nimeambiwa yuko katika hatua za mwishoni, na sheria tayari ilishatungwa inayosema lugha ya Mahakama itakuwa ni ya Kiswahili." - George...
  5. A

    KERO Alichosema Jaji Mkuu hutasikia Mganga Mkuu wa Serikali anakisema kwa niaba ya wadau wake

    Yote aliyosema Jaji mkuu yanaakisi Mmomonyoko wa uwajibikajo kwa taasisi nyingi na Baadhi ya Sekta na Wizara,, hususa Wizara ya Afya na Sekta ya Afy. Nchi imekua na utendaji mbovu kutokana na watumishi kutopewa stahiki zao, kubadilishiwa Miundo ya Mishahara kulingana na hali ya kiuchumi...
  6. Jaji Mkuu Masaju: Majaji na Mahakimu wawezeshwe kuishi maeneo salama na yenye hadhi kama ilivyokuwa zamani

  7. Jaji Mkuu Masaju: Majaji na Mahakimu wanapaswa kujitosheleza kimamlaka na kiuchumi

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju akizungumza wakati Rais Samia Suluhu kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  8. Jaji Mkuu: Mahakama haiwezi kuwa huru kama Watendaji wake hawana uhakika wa mishahara na mazingira bora ya kazi

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  9. Jaji Mkuu: Mahakama kuanza kuandika hukumu kwa Lugha ya Kiswahili

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amesema hayo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, tarehe 13 Januari...
  10. K

    ITV: Waliopigwa risasi na kuuwawa mnamo tarehe 29 Oktoba 2025 hawakuwa waandamaji - Tume ya Jaji Chande

    Nipo hapa napata Moja baridi na Moja baridi nchi jirani huku nikofuatilia ITV HABARI kupitia YOUTUBE, huyu mtangazaji wa ITV anayeitwa Asiraji Mvungi, ameripoti Kwamba Tume ya Jaji Chande imekutana na wahanga na waathirika wa vurugu baada ya uchaguzi, na waathirika hao wamemwambia Jaji Chande...
  11. Anayedaiwa kutuma ushahidi kwa inayoitwa "Tume Huru ya Uchunguzi ya Jaji Othuman Chande" achukuliwa na 'wasiojulikana'

    NB: Anayetaka kuthibitisha hili, aende pale Mabibo zilipo Hostel za wanachuo wa UDSM aulize steshenari aliyokuwa anauza Dada Devotha. Watakuambia hajui alipo zaidi ya wiki sasa.... Shetani yuko kazini jamani kulinda himaya na utawala wake ktk Tanganyika akiwatumia mawakala wanadamu wenzetu...
  12. Utekaji ulianza mwaka 1989, Jaji Warioba akiwa Waziri Mkuu

    Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare. Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna. Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais...
  13. Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba kuhusu vifo vya Oktoba 29 ni uongo na uchochezi wa kisiasa

    Wanakumbi. Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba Kuhusu Vifo vya Oktoba 29 ni Uongo na Uchochezi wa Kisiasa. Katika Vita ya Kagera (1978–1979), takwimu zinazokubalika kitaifa zinaonesha wazi kuwa Wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha walikuwa 373 Askari wa Kikosi cha Ukombozi cha Uganda (UNLA)...
  14. Nilipomuona Jaji Warioba amepiga picha na Rais MIKONO yake ikiwa nyuma ya makalio yake, nilitoa tafsiri, Je mlinielewa?

    Sina miaka mingi ya KUZALIWA, ila NIMEYAONA MENGI kidogo Je wewe msomaji ulisoma Uzi WA tafsiri yangu ya picha ya Samia na warioba, uku warioba akiwa ameweka MIKONO yake kwenye makalio yake? Kama uliusoma utaunganisha na mahojiano aliyoyafanya na Jamhuri tv, utabaini.yakuwa nilikuwa sawa sawia...
  15. Tuhuma dhidi ya Tume ya Jaji Chande kutaka kumsaidia Hangaya dhidi ya mauaji ya Mo29

    KUTOKA kwa Hilda Newton Baada ya kuona watu wamegoma kwenda kutoa maoni sasa wameanza kufuata watu inbox. Mnataka watu waje kutoa maoni ili mumsaidie Idd Amin Mama kujua mashaidi ambao anajua wataenda kumkaanga ICC ili awamalize kabla kesi haijaanza. Kwanza si Idd Amin Mama keshawambia...
  16. BAKWATA mbona mnachelewa kumjibu msomi, jaji na Waziri mkuu staafu, Mzee Warioba

    Assalam Alyekum! Mashehe wa BAKWATA hatujawazoea hivo Mnashindwa Nini kutoka kumjibu na kimtishia kumkata kichwa Mzee Warioba. Mashehe wetu Bakwata nyie ndo wapenda amani, mlipigania uhuru Njoo mpe majibu huyu Mzee Au hamjapewa ubwabwa na pakiti ya tende
  17. Aliyozungumza Jaji Warioba, ametumia Lugha kama Ile aliyokuwa anatumia H. Polepole..Kifuatacho!

    Huyu mzee kwa Kweli Mungu ampe maisha marefu! Ameongea mambo ambayo ni makubwa, na kumbukumbu zitahifadhiwa kwa ajili ya rejea za vizazi vijavyo! Kaongea kwa ujasiri kweli kweli tena kwa uwazi! Maneno aliyosema hivi sasa kuna watu wataanza kumshambulia, na tutegemee apate pia misukosuko, sijui...
  18. W

    PostGE2025 Jaji Warioba: Unaposikia kuna mgawanyiko katika vyombo vinavyokulinda unakuwa na wasiwasi

    Jaji Warioba katika mazungumzo yake na Jamhuri TV ameelezea wasiwasi wake pale ambapo vyombo vya ulinzi na usalama vinapogawanyika. "Nilimwambia mama, nikasema mama nimeogopa sana. Ukisikia kuna mgawanyiko katika chombo kinatochulinda unakuwa na wasiwasi"
  19. K

    Mzee Warioba, Tahadhari: Huwezi Kugeuzwa kuwa Jiwe la Chumvi

    Umesimama vyema kabisa katika kupigania maslahi ya taifa hili kila mara, lakini umepuuzwa na kudharauliwa na hao hao wanaotaka sasa uwe dodoki la kufuta uchafu. Umekuwa ni sauti pekee iliyosalia ikisikika kushauri na kuonya juu ya mwelekeo mbaya linakoelekezwa taifa hili bila ya kukata tamaa...
  20. R

    Jaji Mkuu kuna swali anauliza MMM, anaomba jibu

    Anaandika Martin Maranja kwenye ukurasa wake wa Instagram Bwana Jaji Mkuu, George Masaju. Unauliza nani anasema Mahakama haipo huru? Hebu tueleze ni kwanini kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A.M Lissu haijapangiwa tarehe na kwanini hafikishwi Mahakamani shauri liendelee? Je, huo ndiyo uhuru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…