jaji warioba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Ukipewa nafasi ukaona inakuzidi sema atafutwe mwingine

    Eid Mubarak Wanachama wa Jf na watanzania wote. Ninaomba tujadili hii kauli ya Mzee wetu Jaji mstaafu Mzee Warioba. Kuna eneo la msingi na LENYE maana kubwa kwetu sisi watanganyika kuelekea 2025. Karibuni Kwa mjadala. ==== Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema viongozi...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba atamani uchaguzi huru na wa Haki , Hataki uchafu wa 2019/2020 ujirudie

    Mzee Warioba ameyasema hayo alipohojiwa na Gazeti la Mwananchi . Wakati Warioba akiyasema haya , mwenyekiti wa Chama chake Samia Suluhu amekwisha saini sheria kandamizi za uchaguzi huo Sheria zenyewe hizi hapa
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Mawaziri wasitokane na Wabunge

    Jaji Warioba akihojiwa na Mwananchi Digital Aprili 7, 2024. amesema kuwa Mawaziri wasitokane na wabunge, "Bunge liwe ni bunge, serikali isiingiliane na bunge, na vizuri mawaziri wasiwe kwenye bunge, mbunge asiwe waziri. Wakati tulipopata uhuru na hasa tulipobadili katiba tukawa Jamhuri, Rais...
  4. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Kwanini Erick Hamissi alifutwa kazi bandarini?

    Duru za kweli zinatabanaisha aliyekuwa boss wa Mamlaka ya BANDARI alifutwa kazi kwa sababu zilizodaiwa kutoonyesha ushirikiano na wawekezaji kule Dubai alipokuwa ameambatana na ujumbe wa Rais. Jamaa walidai hawaonyeshwi ushirikiano wa haja na boss wa TPA kwa waziri na hazikupita siku mbili...
  5. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Tujifunze kwenye mikataba iliyopita

    Mwananchi. Mzee Warioba ana maanisha nini anaposema waziwazi kwamba kwenye huo mkataba haitoshi kusema haya ni makubaliano na bila kupepesa macho AMESEMA WATAWALA WAANGALIE YASIYO FAA WAYAONDOE?!
  6. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba nakutuma kwa kadinali na askofu waulize juu ya mpendwa wetu Membe

    Kutokana na kifo cha ndugu yetu Benard Membe maswali ni Mengi hatakama utawala wa mama umeamua kukalia kimya Nakutuma kwa Kadinali aliyetuma ujumbe kumsihi Membe amsamehe Musiba baada ya hukumu ya mahakama kutoka Pia nakutuma kwa askofu aliyetuma ujumbe kwa Membe siku chache kabla ya kifo...
  7. Championship

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya Jaji Warioba ipelekwe kwenye kura ya maoni tupate katiba mpya

    Kwako Mhe Raisi Naomba mswada upelekwe bungeni ili sheria itungwe kuwapa nafasi watanzania wapige kura ya maoni kwenye Ile rasimu ya katiba iliyoletwa na Jaji warioba. Hakuna sababu ya kupoteza tena muda. Hakuna kikundi kingine chenye nguvu au mamlaka ya kubadilisha maoni ya wananchi. Pia hii...
  8. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Miaka yote watu wanaelewa kujaza fomu, lakini 2020 ghafla hawajui. Siasa inataka kuingia kwenye Dini

    Jaji Warioba akichangia kwenye mkutano wa TCD leo Dodoma, amenena haya Miaka yote watu wanaelewa na wanajaza fomu vizuri lakini Mwaka 2020, ghafla watu hawajui kujaza fomu (wanaenguliwa). Hapa lazima kuna namna Msitazame Wajumbe wa Tume pekee, angalieni Mfumo mzima wa Uchaguzi. Wizi wa kura...
  9. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Hebu tuwekane sawa, ndio kusema Rasimu ya Jaji Warioba imezikwa?

    Wanasiasa hebu twende taratibu maana mnatuchanganya, hivi ndio kusema kazi nzuri iliyofanywa na tume/kamati ya Jaji Warioba ndio dead and burried na sasa tunaletewa usanii wa kikosi kazi kilichojaa wahuni na walafi? Hebu tuelimishane hapa wengine tunashindwa hata kuelewa kinachoendelea, maana...
  10. Bams

    JamiiForums Tanzania Kamati iliyotoa Mapendekezo ya Kamati ya Msajili wa Vyama Kuhusu Katiba Mpya, Kisheria na Kimantiki ni Batili

    Kuna mambo katika Taifa hili huwa yanafanyika mpaka unajiuliza, sisi ni Taifa la namna gani? Mojawapo ya mambo yanayoonekana kutudhalilisha wote kama Taifa ni hili la katiba mpya. Katiba ni ya wananchi wote, siyo ya wanasiasa na siyo ya vyama vya siasa. Kinachoitwa kamati ya katiba, hiyo...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ripoti za Tume za Jaji Warioba ni Ngumu Kutekelezeka?

    Jaji Maarufu kimataifa Mhe. Joseph Sinde Warioba ameweka rekodi ya kipekee kwa kuongoza Tume mbili za Rais katika historia ya JMT na katika historia ya Majaji wa Tz. Tume yake ya kwanza ilikuwa ni ya kuchunguza kushamiri rushwa nchini; tume iliyoundwa na Mhe. Big Ben Mkapa ambayo hata baada ya...
  12. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Huyu Brigedia Warioba aliyeteuliwa na Rais Kenyatta ana uhusiano gani na Jaji Warioba?

    Raisi Kenyatta wa Kenya amemteua mtu anaeitwa Bridgedia General John Kibaso Warioba kuwa mkuu wa jeshi la Magereza la kenya. Je, kuna uhusiano wowote kati ya huyo Bridgedia Warioba na jaji warioba wa Tanzania?
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Machafuko yaliyotokea Zanzibar mwaka 2001 yangeweza kuepukika

    Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema machafuko yaliyotokea Zanzibar mwaka 2001 yangeweza kuepukika kama Serikali ingeweka busara mbele na kuzuia matumizi ya nguvu kupita kiasi. Jaji Warioba alisema hayo juzi mjini hapa, alipokuwa akichangia mjadala katika kongamano la uzinduzi wa...
  14. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba, ingekuwa vyema ukaiacha Serikali ifanye kazi, wewe ni miongoni mwa watu wa heshima kwenye taifa hili

    Friends and Our Enemies... Hivi karibun baada ya Mh RAIS Samia Hassan alipofanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la mawazir alisikika akikemea tabia ya baadhi yetu kusimama na kulalama kuwa waliondolewa kwa kuwa wao hawakuwa kabila Fulani,kama kwamba wao wameondolewa kwa Kosa la kuwa ni...
  15. haha

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia na Mzee Warioba kwa kuukemea ukabila na ukanda

    Nimefurahishwa sana na viongozi hawa kujitokeza na kuwa wawazi kwa yale yaliyojiri katika awamu ya iliyopita Ni ukweli japo mchungu kwa baadhi yetu Sisi kama Taifa kuna mahali tulikua tunaelekea kupoteza dira na umoja wetu Ukabila na ukanda zikawa ndio qualities (sifa) za MTU kuwa viongozi...
  16. macho_mdiliko

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Hivi tunaposema Katiba siyo kipaumbele, sababu ni nini?

    Jaji Warioba ametoa mawazo mazuri sana kuhusu katiba mpya. Ameuliza tunaposema katiba siyo kipaumbele ina maana gani wakati katiba ilibakia kipengele cha kupiga kura tu? Ameenda mbali zaidi na kusema tukiendelea na kisingizio hiki, hata ikifika mwaka 2024 au 2025 tutasema tena hivyo hivyo...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Jaji Warioba kuhusu Katiba Mpya

    ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amepigilia msumari kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya, na kutaka maoni ya wananchi yasipuuzwe kwa kuwa ndiyo mara ya kwanza walishirikishwa kuitengeneza. Akihojiwa jana kwenye kipindi cha dakika 45 kinachorushwa hewani na...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Kubadili sheria nyingi katika kila Bunge kunaonesha kuna umuhimu wa Katiba Mpya

    Jaji Warioba akiwa katika kipindi cha Dakika 45 ITV amesema suala la kubadili sheria nyingi katika kila bunge zinaonesha umuhimu wa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema ni muhimu kuwa waangalifu kwa kuwa Katiba Mpya haitaweza kutatua matatizo yote. Ametolea mfano kuwa tunaweza kuwa na Tume nzuri ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe : Jaji Warioba alivyomueleza Profesa Shivji waziwazi kuwa si mkweli na ni kugeugeu na mpotoshaji

    Source: Warioba amshukia Prof Shivji | Mwananchi Dar es Salaam. Mjadala wa Mabadiliko ya Katiba jana ulihamia nje ya Bunge wakati Jaji Joseph Warioba alipomchambua mhadhiri maarufu nchini, Profesa Issa Shivji akimueleza kuwa si mkweli bali mpotoshaji wa Rasimu ya Katiba. Jaji Warioba, ambaye...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Tanzania imepiga hatua, lakini bado tuna matatizo makubwa

    Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) Jaji Mstaafu Joseph Warioba amesema tangu Uhuru, Tanzania imepiga hatua kubwa mpaka kuingia Uchumi wa Kati lakini bado yapo matatizo hasa katika eneo la umasikini. Akizungumza katika Mdahalo wa Kumbukizi ya Kitaifa ya Hayati Edward Sokoine uliofanyika...
Back
Top Bottom