jaji warioba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni makosa kujadili nondo alizoshusha Jaji Warioba juu ya uongo ulioelezwa na tume ya Jaji Chande ukiwa kazini?

    Nimeshangaa sana mwalimu mwenzangu kunibwatukia na kunizuia kujadili suala muhimu kama hili Sawa tupo kazini. Ofisini tusijadili kisa tu sisi ni walimu? Kosa nini kuwa mtumishi wa umma usijadili mustakabali wa taifa lako?
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Warioba tubuu badala ya kujisafisha kwa Propaganda dhaifu

    Ukitaka kujua tabia ya paka chunguza anakula nini. Warioba (na mwenzie Butiku) ni watu ambao mikono Yao imejaa damu na machozi ya wahanga wengi. Ukitaka kujua hili durusu Sheria ya kuweka watu kizuizini ambayo ilianza kufanya kazi tarehe 5 oktoba 1962 (Act No. 60 of 1962). Wakati huo...
  3. ngozimbili

    JamiiForums Tanzania Khalifa hakumtendea haki Jaji Warioba, ujumbe wa wazi kwa mwandishi Khalifa wa The Chanzo

    YA WARIOBA, MANGE NA KHALIFA: TANZANIA MOJA, ULIMWENGU MITATU TOFAUTI Tanzania ya leo inaishi katika mgawanyiko ambao hauonekani kwa macho, lakini unasikika kwenye kila mjadala wa kisiasa, kila “trend” ya mtandaoni, na kila tamko la viongozi. Ni mgawanyiko wa kizazi, wa taarifa, wa lugha, na wa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Vyama vya Siasa vimegawa Watu, imefika mahali siku hizi kiongozi anafariki watu wanasherehekea

    "Mimi nilivyozungumza hapa nimeonyesha matatizo yaliyopo katika jamii yetu. Moja nimesema vyama vya siasa vimegawa watu. Vimegawa watu mpaka imefika mahali mimi nashangaa siku hizi, kwamba kiongozi anafariki watu wanasherehekea. Yaani tumefika hapo, ubinadamu umekwisha. Unaweza kuona kuna chuki...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Naamini Vifo vya Oktoba 29 vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema

    "Wamesema vifo na vilitokea vipi... mimi naamini vifo vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema. Lakini wanasema kulikuwa na vitendo vya uvunjaji wa sheria, na wanapendekeza iundwe tume nyingine iende kuchunguza na wale ambao walitenda nje ya sheria wawe personally accountable. Maana yake wanasema...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Kwa matokeo yale Tume ya Uchaguzi ndiyo ilipiga kura sio Wananchi

    Kwa hali ile ya siku ya uchaguzi sio rahisi kuwa zaidi ya asilimia 90 ya wapiga kura walijitokeza na mshindi kupata hizo asilimia 97%. Mwandishi: Kwahiyo matokeo yale ni ya uongo. Warioba: Ndio.
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Sisi tulitegemea ripoti iwekwe hadharani ili tuweze kuona kilichoandikwa na si kusemwa ni ya Rais

    Jaji Joseph Sinde Warioba ameyasema hayo kwenye Mahojiano yaliyochapishwa leo 10, Mei 2026 na The Chanzo, ambapo amesema kuwa alikuwa akisikia kuwa wananchi watulie kwa kuwa Serikali imeunda tume. Hivyo alitegemea baada ya tume kuweka ripoti hadharani ingebaki kuwa wazi na kusomwa na watu wote...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana washauri? Habari ya kupata Katiba Mpya inahitaji elimu ya miaka mitatu inatoka wapi? Tume ya Jaji Kisanga na rasimu ya Jaji Warioba?

    Nimeshangaa kusikia anasema eti ili mabadiliko ya katiba mpya wananchi wanatakiwa kupata elimu kwa miaka mitatu . Wajue nini kinafaa ndani ya katiba hii ya sasa na nini hakifai. Iliundwa tume ya Jaji Kisanga mwaka 1998 ikakisanya maoni ya Wananchi kupitia White paper. Serikali ya CCM chini ya...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Katika miaka michache iliyopita kumekuwa na matatizo ya kuporomoka kwa maadili katika nchi yetu

    Wakuu, Akizungumza leo Februari 28, 2025 Jaji Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba alisema katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mmonyoko mkubwa wa maadili lakini Hayati Kardinali Pengo alikuwa ni mtu anayekumbusha umuhimu wa maadili
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania HOJA Wajua Tanzania Haijawahi Kuwa na Katiba ya Wananchi?. Katiba Hii Iliyopo ni ya CCM!, Pongezi Katiba ya Samia, Ndio Katiba ya Kwanza ya Wananchi!.

    Wanabodi, Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, Utangulizi: Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa pongezi kwa Katiba mpya ya Samia!, hii ni kufuatia kushindikana kwa mchakato wa Katiba mpya ya...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Jaji Warioba asiwe na chuki kwa viongozi waliopo, tunakuheshimu, staafu vizuri

    Katibu Mwenezi wa CCM, Kenani Kihongosi amemwomba Jaji Mstaafu, Joseph Warioba asiwe na chuki kwa viongozi waliopo bali awashauri kwa hekima badala ya kulalamika mtandaoni. Akizungumza na wanahabari jijini Dodoma siku ya Jumamosi, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Chande yakutana na Jaji Warioba kujadili matukio ya Uchaguzi wa 2025

    TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Joseph Warioba. Mkutano huo wa Tume na Mzee Warioba, ambaye pia ni Jaji mstaafu ulifanyika...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Ninatishwa, maisha yangu nimeyakabidhi kwa Mungu

    JajiJoseph Sinde Warioba, waziri mkuu mstaafu amesema maisha yake yako hatarini. Anatishiwa kuuawa, lakini hana cha kuogopa. "Kuna watu wengi sana wanaoniletea ujumbe, kwamba mzee angalia. Ukiendelea hivi. ama utatekwa au utapewa sumu," anaeleza. Anaongeza mini nawajibu tu hainipi matatizo...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Manyerere atishiwa maisha kwa sababu ya mahojiano na Jaji Warioba

    Wakuu, Nimepokea Taarifa za Uhakika kabisa kwamba Mwandishi Jackton Manyerere hapa alipo anaendeleaje kupokea Simu za vitisho kuhusu Kukamatwa ,Kutekwa au Kuuawa . Kwa Wasiomjua Jackton Manyerere, Huyu Ndugu ni wale wa MISIMAMO YA WARIOBA . Ni MTU wa watu sana, Japo Anasalitiwa na Watu wake wa...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Imekuwa kawaida Jaji Mkuu na Spika kuhudhuria vikao vya Rais. Ni kama utaratibu wa kidikteta kuwaona wanakuwa washauri wa Rais

    Wakuu, Jaji Warioba ameendelea kuonyesha busara zake. Kama mpaka Spika na Bunge lake wanatoa tuzo kwa Rais, kusifia utendaji wake bora, chombo hicho kitakuwa na uhuru? Jaji Mkuu na Spika kutwa wapo kwenye vikao vya Rais, utasema mihimili hii inajitegemea? Anasema walitoa mapendekezo mazuri...
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nilipomuona Jaji Warioba amepiga picha na Rais MIKONO yake ikiwa nyuma ya makalio yake, nilitoa tafsiri, Je mlinielewa?

    Sina miaka mingi ya KUZALIWA, ila NIMEYAONA MENGI kidogo Je wewe msomaji ulisoma Uzi WA tafsiri yangu ya picha ya Samia na warioba, uku warioba akiwa ameweka MIKONO yake kwenye makalio yake? Kama uliusoma utaunganisha na mahojiano aliyoyafanya na Jamhuri tv, utabaini.yakuwa nilikuwa sawa sawia...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Zungu: Jaji Warioba kuongea hadharani ni kuzua taharuki

    Muandishi wa Habari Zungu ametoa maoni yake kuhusu kauli alizozitoa jana Mzee Warioba akidai alipaswa kutozungumza hadhari maana inaleta taharuki kwa jamii Ambapo amesema kama idadi ya vifo basi alipaswa kupelekea kwenye tume ya Chande ili zisidie kukamilisha ripoti
  18. Freyzem

    JamiiForums Tanzania Aliyozungumza Jaji Warioba, ametumia Lugha kama Ile aliyokuwa anatumia H. Polepole..Kifuatacho!

    Huyu mzee kwa Kweli Mungu ampe maisha marefu! Ameongea mambo ambayo ni makubwa, na kumbukumbu zitahifadhiwa kwa ajili ya rejea za vizazi vijavyo! Kaongea kwa ujasiri kweli kweli tena kwa uwazi! Maneno aliyosema hivi sasa kuna watu wataanza kumshambulia, na tutegemee apate pia misukosuko, sijui...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Warioba: Unaposikia kuna mgawanyiko katika vyombo vinavyokulinda unakuwa na wasiwasi

    Jaji Warioba katika mazungumzo yake na Jamhuri TV ameelezea wasiwasi wake pale ambapo vyombo vya ulinzi na usalama vinapogawanyika. "Nilimwambia mama, nikasema mama nimeogopa sana. Ukisikia kuna mgawanyiko katika chombo kinatochulinda unakuwa na wasiwasi"
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watakaochukua nchi, kwenye baraza lenu la mpito watumieni Jaji Warioba, Jaji Makaramba, Jaji Amir Manento na Prof. Assad

    Kwa tulipofika suala la Jeshi la Wananchi kama Taasisi pekee inayoungwa mkono na Wananchi kuchukua nchi kwa kipindi cha mpito haliepukiki. Ili kusiwe na mkwamo wa kisheria na masuala ya kiserikali yaendelee kama kawaida huku huduma za Wananchi zikiendelea napendekeza kwenye Baraza la Kijeshi...
Back
Top Bottom