jaji warioba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Maggid Mjengwa achambua hoja za Jaji Sinde Warioba

    Tafakuri Jadidi: Ninapotafakari Alichosema Mzee Warioba? Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba jana ameongea mbele ya Wahariri wa Vyombo Vya Habari. Nimemsikiliza kwa makini Mzee Warioba. Huyu ni mmoja wa Viongozi Wastaafu wenye busara na...
  2. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania TBT: Kuna nyimbo kwa Makundi 3 (Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature), (Alikiba, Matonya & MB Dog) na (Joslin, Noorah & Mr. Blue) utasikiliza zipi?

    Ikiwa ungetakiwa kuchagua ngoma za kundi moja la kusikiliza nyimbo zao kati ya haya matatu: Prof. Jay, Afande Sele & Juma Nature Alikiba, Matonya & MB Dog Joslin, Noorah & Mr. Blue Ungechagua kundi lipi na kwa nini? Je, muziki wao umeacha alama gani kwako au kwenye tasnia ya muziki wa Bongo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaopaswa kumjibu Jaji Warioba ni Chadema siyo CCM. Jaji amesema Hatua zisipochukuliwa sasa "Uchaguzi wa 2025 utakuwa kama wa 2024"

    Kama umemsikiliza vizuri Jaji Warioba utagundua hakuna sehemu yoyote amewatuhumu CCM kwa jambo lolote. Hoja za Jaji Warioba zimelenga Serikali na Upinzani ambako Chadema ndio Chama kikuu. Kuna sehemu Warioba anasema kabisa "Wanaowaingiza polisi kwenye Siasa ni Serikali siyo CCM" Hivyo kwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri CCM kumjibu Jaji Warioba itakuwa kukosa adabu na kudharau Wazee wa Taifa hili

    Nitashanga na nitajiuliza mara kujiuliza kama kuna mwana ccm au mtu yeyote atamjibu Mzee Warioba. Swali langu moja tu hamjiulizi JPM yupo wapi na aloe mjibu wazee wanawashwa washwa yupo wapi Alie sema hayo maneno? Pili sio kila Mzee ni wakumjibu Jaji Warioba ameona mengi na anonyesha amekuwa...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba na Mzee Butiku ndio wana CCM waliobaki

    Huu ndio ukweli mchungu wapendwa watanzania na hasa wale wanaaojiita wana CCM! Kama kuna mwana CCM anataka kujua jinsi ya kuwa mwana CCM wa kweli awatafute Jaji Joseph Sinde Warioba na Mzee Joseph Butiku. Hawa ndio wana CCM kwa maana halisi waliobaki nchi hii! Wengine wote waliobaki ni...
  6. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Jaji Warioba: Wapinzani Waliniambia Wangeweza Kupata Ushindi Kwa 25% tu

    Swali. Kama hivi ndivyo,Kwa nini CCM mnakuwa wadogo wa madaraka wakati kiuhalisia Wapinzani hawana uwezo wa kushindana na kushinda? My Take Ni vyema CCM ikajifunza Namibia sio lazima ushinde Kila pointi ndio uhasabiwe umeshinda. Wapinzani wakishinda watangazwe Ili kuepusha chuki na sintofahamu...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Warioba: Tusipochukua hatua, uchaguzi mkuu utakuwa kama huu wa Serikali za Mitaa

    Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Desemba 4 amesema haya Ukiona mjadala wote uliofanywa tangu 2019 mpaka sasa, na imani iliyokuwapo kwamba uchaguzi wa mwaka huu (2024) hautofanana na ule wa mwaka 2019, lakini matokeo yake ni vilevile. Uchaguzi wa mwaka kesho (2025), kama...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Warioba: Jeshi la Polisi limeingizwa kwenye Siasa, linatoa matamko ya Kisiasa, liachwe lifanye kazi yake

    Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, amewataka wanajeshi kuepuka kuingilia siasa, akisisitiza kuwa kazi yao ni kulinda usalama wa nchi. Akizungumza na wanahabari Disemba 4, 2024, Warioba alikumbusha historia ya machafuko kutoka nchi jirani na kusema jeshi lilifanikiwa kudhibiti mikoa...
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Viongozi wa Serikali msiingilie majukumu na kazi za vyombo vya Dola

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Oktoba, Jaji Joseph Warioba amewataka viongozi wa serikali wa nafasi mbalimbali kuacha kuingilia majukumu na kazi za vyombo vya ulinzi na usalama badala yake waviache vyombo hivyo vitumize wajibu wake kwa mujibu wa Katiba, sheria na miongozo stahiki...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: 4R za Rais Samia zimeituliza Nchi tofauti na Miaka 3 Iliyopita

    My Take Machadema wataanza kutoa povu huku wakimuita chawa 😂😂😂😂 Very desperate saccos iliyokataliwa 👇👇 --- WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema bado anayaona mafanikio ya falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan, ya R nne (4R) anazozitumia katika utawala wake na kuifanyia nchi kuwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba anazungumza na vyombo vya habari

    04 October 2024 Oysterbay, Dar es Salaam Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=Y5z3HSDrAP4 Jaji Joseph Sinde Warioba anazungumzia uchaguzi unaokuja wa November 2024 TAMISEMI na ule uchaguzi mkuu 2025 Jaji Warioba uchaguzi wa 2019 na 2020 ulikuwa wa kipekee kwa kuwa ulipangwa uwe na dosari...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: 4R za Rais Samia zinafanya kazi licha ya kuwapo changamoto chache hasa kisiasa

    WAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema bado anayaona mafanikio ya falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan, ya R nne (4R) anazozitumia katika utawala wake na kuifanyia nchi kuwa katika utulivu. Aidha amesema falsafa ya maridhiano (Reconciliation), Mabadiliko (Reforms), Ustahimilivu...
  13. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Jaji Warioba: Waliosimamia Uchaguzi wa 2019 na 2020 wataendelea na je wanaaminika?

    Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema Chaguzi za Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020 zilikuwa kama ajali kwasababu hazikuwa katika utaratibu wa kawaida ikiwemo Mawakala kusambaratishwa wakati wa Kuhesabu Kura Ameongeza kuwa hali hiyo imeanza kuibua hoja na maswali kuhusu...
  14. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Warioba: Viongozi wengi waliochaguliwa siyo wale wanaotakiwa na Wananchi

    Jaji Mstaafu, Mzee Joseph Sinde Warioba akitoa hotuba yake katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ambao umewakutanisha wadau mbalimbali siku ya leo Alhamisi Septemba 19, 2024 katika Ukumbi wa Maktaba Mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kujadili hali ya demokrasia nchini...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba aomba jengo la Maabara Jumuishi SUA kuitwa Samia, Rais Samia aridhia

    My Take Chadema wataumia sana Kwa hili. In fact hata Mzumbe wanatakiwa Waite mojawapo ya majengo Yao Jina la Rais Samia kama mwana Alumnai wa Mzumbe. Ni mbumbumbu tuu ndio anaweza kuhoji mchango wa Rais Samia kwenye sekta ya Kilimo ya Nchi hii,walioko fields na kwenye tafsiri wanajua...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Viongozi na wanahabari acheni uchawa mnaumiza wananchi

    Akizungumza mbele ya Media Council of Tanzania, waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba Ninatazama bunge la Dodoma, imekuwa fasheni kila mbunge kuanza mchango wake wa hoja kwa kutaja na kumsifia rais. Vyombo vya habari kwa nyakati ya sasa hivi badala ya kutoa habari vimegeuka kuwa...
  17. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Hofu na uoga sababu ya vyombo vya Habari kutoandika matatizo ya Wananchi

    Uwepo wa hofu na uoga umetajwa kuwa sababu ya vyombo vya habari nchini kushindwa kutekeleza majukumu yake na hivyo kugeuka vyombo vya habari vya propaganda na kuishia kuwasifu viongozi. Waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba ameeleza hayo kwenye uzinduzi wa Ripoti ya Hali ya Vyombo vya Habari...
  18. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mahojiano kati ya aliyekuwa Mkurugenzi wa MCL Tido Mhando na Jaji Warioba kuhusu Katiba Mpya, Muungano

    Salaam,mahojiano haya yalifanyika mwaka 2013 na kuchapishwa Na magazeti yote Yaliyo chini ya MCL,Gazeti la jumamosi June 8 mwaka 2013,, Swali: Kwa nini mlipendekeza Serikali tatu? Warioba: Upande wa Zanzibar wapo waliotaka Serikali mbili, Serikali ya mkataba na wengine kutaka Serikali tatu...
  19. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: “Vyombo vya habari visaidie kuimarisha demokrasia”

    VYOMBO vya habari vina dhima na jukumu la kusaidia katika kuimarisha demokrasia hususan katika kuelimisha umma masuala ya uchaguzi ili waweze kushiriki kwa ukamilifu katika uchaguzi na kuimarisha demokrasia ya ushiriki wa wananchi kwa ukamilifu. Akizungumza katika kongamano la wadau wa habari...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba kuna skendo yoyote ya rushwa, matumizi mabaya ya ofisi, unyanyasaji, kujilimbikizia mali nk amewahi kutuhumiwa nayo?

    Tumezoea kusikia mema ya Jaji Warioba kila kukicha. Amesifiwa na CcM , upinzani na wanaharakati. Mimi nimezaliwa mwaka 1963 na kwa mantiki hiyo nimeshuhudia akiwa kiongozi na akiwa nje ya uongozi. Katika kukua kwangu sijawahi kusikia akituhumiwa may be kwa sababu wakati wa Mwalimu Nyerere Siri...
Back
Top Bottom