Wakuu,
Akizungumza leo Februari 28, 2025 Jaji Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba alisema katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mmonyoko mkubwa wa maadili lakini Hayati Kardinali Pengo alikuwa ni mtu anayekumbusha umuhimu wa maadili
Wanabodi,
Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo,
Utangulizi:
Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa pongezi kwa Katiba mpya ya Samia!, hii ni kufuatia kushindikana kwa mchakato wa Katiba mpya ya...
Katibu Mwenezi wa CCM, Kenani Kihongosi amemwomba Jaji Mstaafu, Joseph Warioba asiwe na chuki kwa viongozi waliopo bali awashauri kwa hekima badala ya kulalamika mtandaoni.
Akizungumza na wanahabari jijini Dodoma siku ya Jumamosi, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani...
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Joseph Warioba.
Mkutano huo wa Tume na Mzee Warioba, ambaye pia ni Jaji mstaafu ulifanyika...
JajiJoseph Sinde Warioba, waziri mkuu mstaafu amesema maisha yake yako hatarini. Anatishiwa kuuawa, lakini hana cha kuogopa.
"Kuna watu wengi sana wanaoniletea ujumbe, kwamba mzee angalia. Ukiendelea hivi. ama utatekwa au utapewa sumu," anaeleza.
Anaongeza mini nawajibu tu hainipi matatizo...
Wakuu, Nimepokea Taarifa za Uhakika kabisa kwamba Mwandishi Jackton Manyerere hapa alipo anaendeleaje kupokea Simu za vitisho kuhusu Kukamatwa ,Kutekwa au Kuuawa .
Kwa Wasiomjua Jackton Manyerere, Huyu Ndugu ni wale wa MISIMAMO YA WARIOBA .
Ni MTU wa watu sana, Japo Anasalitiwa na Watu wake wa...
Wakuu,
Jaji Warioba ameendelea kuonyesha busara zake. Kama mpaka Spika na Bunge lake wanatoa tuzo kwa Rais, kusifia utendaji wake bora, chombo hicho kitakuwa na uhuru? Jaji Mkuu na Spika kutwa wapo kwenye vikao vya Rais, utasema mihimili hii inajitegemea?
Anasema walitoa mapendekezo mazuri...
Sina miaka mingi ya KUZALIWA, ila NIMEYAONA MENGI kidogo
Je wewe msomaji ulisoma Uzi WA tafsiri yangu ya picha ya Samia na warioba, uku warioba akiwa ameweka MIKONO yake kwenye makalio yake?
Kama uliusoma utaunganisha na mahojiano aliyoyafanya na Jamhuri tv, utabaini.yakuwa nilikuwa sawa sawia...
Muandishi wa Habari Zungu ametoa maoni yake kuhusu kauli alizozitoa jana Mzee Warioba akidai alipaswa kutozungumza hadhari maana inaleta taharuki kwa jamii
Ambapo amesema kama idadi ya vifo basi alipaswa kupelekea kwenye tume ya Chande ili zisidie kukamilisha ripoti
Huyu mzee kwa Kweli Mungu ampe maisha marefu! Ameongea mambo ambayo ni makubwa, na kumbukumbu zitahifadhiwa kwa ajili ya rejea za vizazi vijavyo!
Kaongea kwa ujasiri kweli kweli tena kwa uwazi!
Maneno aliyosema hivi sasa kuna watu wataanza kumshambulia, na tutegemee apate pia misukosuko, sijui...
Jaji Warioba katika mazungumzo yake na Jamhuri TV ameelezea wasiwasi wake pale ambapo vyombo vya ulinzi na usalama vinapogawanyika.
"Nilimwambia mama, nikasema mama nimeogopa sana. Ukisikia kuna mgawanyiko katika chombo kinatochulinda unakuwa na wasiwasi"
Kwa tulipofika suala la Jeshi la Wananchi kama Taasisi pekee inayoungwa mkono na Wananchi kuchukua nchi kwa kipindi cha mpito haliepukiki.
Ili kusiwe na mkwamo wa kisheria na masuala ya kiserikali yaendelee kama kawaida huku huduma za Wananchi zikiendelea napendekeza kwenye Baraza la Kijeshi...
Kauli thabiti:
“Tulipita nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi kwenye rasimu niliyoiongoza mimi mwenyewe rasimu ya Warioba, wananchi wakatoa maoni yao ila serikali ikawapuuza, wananchi walilalamikia sana Tume ya uchaguzi kwamba haitendi haki wakatoa mapendekezo yao mkawaona wajinga, mkiwaona...
Kwenye link hii ya YouTube Jaji Warioba aliwaambia akina Lissu na CHADEMA kuwa madai yao kuhusu kuhusu kurekebisha mapungufu kwenye sheria/ Tume ya uchaguzi ni HALALI kabisa. Lakini aliwaqmbia kuwa HIWEZEKANI kuahirisha uchaguzi
https://youtu.be/E2J9Cx7Nt0U?si=8ZRqGpGkAbA9pr1Q
Salamu kwa Jaji Warioba, Mzee Butiku na wengine mnaoamini katika CCM iliyoasisiwa katika misingi ya mkulima na wafanyakazi.
Nyie kwa miaka mingi mmekuwa ni tone la matumaini ndani ya nchi na chama kama kielelezo cha uadilifu, heshima na hekima.
Lakini leo mnaona CCM inafanya mambo utadhani...
Katika mawaziri wakuu ambao hawawezi kuonyesha hata choo walichosimamia kijengwe ni Warioba. Kimsingi, Warioba kaharibikia ukubwani kwa kuunda magenge yenye nia ya kuvuruga amani ya nchi.
Anasema hawana ugomvi na Chadema , wakati huo huo serikali anayoiongoza/inayoongozwa na chama chake ambacho yeye ni namba 4 in power hiarachy kwenye chama kinachoongoza serikali inalalamikiwa na Chadema,kuteka, kuua, kupoteza wanachama/viongozi wa chadema!
Hii ni kejeli
CCM YAMJIBU JAJI...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakina mgogoro na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kumwomba Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba kuwa msuluhishi wa yanayoendelea ndani ya chama hicho cha upinzani.
Amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.