Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka, ameshangazwa na majaji kulalamika mbele ya Rais kuhusu usalama wao, akisisitiza kuwa kisheria, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyombo vya Dola na si mali ya Rais au Serikali pekee.
Akizungumza na Jambo TV leo, Januari 14, 2026, Madeleka amefafanua kuwa...