jafo

Blue Thunder is a 1983 action thriller film from Columbia Pictures, produced by Gordon Carroll, Phil Feldman, and Andrew Fogelson and directed by John Badham. The film features a high-tech helicopter of the same name and stars Roy Scheider, Warren Oates, Candy Clark, Daniel Stern, and Malcolm McDowell. A spin-off television series, also called Blue Thunder, ran for 11 episodes in 1984.

View More On Wikipedia.org
  1. Abdul Said Naumanga

    Jafo awazuia Raia wa kigeni kufanya baadhi ya Biashara Nchini

    Kumekua na malalamiko na mijadala juu ya uwepo wa utitiri wa raia wa kigeni, hususan Wachina, katika baadhi ya biashara, especially zile ndogondogo hadi zile za kati hasa katika maeneo ya Dar Es Salaam, na hata masokoni ya mikoani. Wengi wamehoji namna wageni hawa wanavyoingia sokoni kwa nguvu...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Jafo: Tunapoenda kwenye uchaguzi mkuu 2025 mafanikio yote haya atuwezi kujivunia kama tukishindwa kulinda amani ya nchi

    Niwaombe Watanzania wote tunapoelekea kwenye uchaguzi wa mwaka huu 2025, mafanikio yote tuliyonayo kama haya atuwezi kujivunia kama tukishindwa kulinda amani ya nchi.
  3. S

    Waziri Jafo amlipua Mpina uso kwa uso ''nimesikitika sana/mpina haoni chochote/ unamatatizo binafsi"

    MSIKILIZE KWA MAKINI MH. JAFO ALIVYOMSHUKIA MBUNGE LUHAGA MPINA https://youtu.be/6cgETStbjyQ?si=Y9udHaNAYD8ZoIfE Soma pia Mpina amvaa Waziri Jafo Bungeni: Wizara ifutwe, bidhaa Feki zimejaa, ni huzuni!
  4. Waufukweni

    Mpina amvaa Waziri Jafo Bungeni: Wizara ifutwe, bidhaa Feki zimejaa, ni huzuni!

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, ameibua taharuki bungeni leo Mei 14, 2025, baada ya kumvaa vikali Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara hiyo. Mpina amesema wizara hiyo imekuwa ikishindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo, hususan katika...
  5. Mwanongwa

    Jafo aipongeza iTrust Finance kudhamini Soko la Jiba Souk

    WADAU na wafanyabiashara nchini wametakiwa kujitokeza na kuiga mfano wa kampuni ya huduma za kifedha nchini, iTrust Finance Limited kwa kudhamini jitihada mbalimbali ikiwa ni pamoja na masoko ya bidhaa za wafanyabiashara wadogo na wa kati hususani wanawake. Rai hiyo imetolewa jana na Waziri wa...
  6. Mindyou

    Uteuzi: Waziri wa Viwanda, Selemani Jafo afanya uteuzi wa Wajumbe 3 Wa Tume Ya Ushindani (FCC)

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo amefanya uteuzi wa wajumbe watatu wa Tume ya Ushindani (FCC) Kulingana na taarifa iloyotolewa na Wizara ya Viwanda na Biashara, Waziri Jafo amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa Sheria ya Ushindani, Sura 285, Kifungu 62 (6) na (7) ya mwaka...
  7. Pfizer

    Waziri Dkt. Selemani Jafo: Naipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake hali iliyoongeza kasi na ubora wa kuhudumia Meli na Shehena. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya 19 ya...
  8. Stephano Mgendanyi

    Wafanyabiashara wa Ngara Watembelea Bungeni, Wakutana na Jafo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

    ZIARA YA MAFUNZO BUNGENI YA WAFANYABIASHARA WA NGARA YAWA NEEMA KWA BIASHARA ZA KANDA YA ZIWA. 04/09/2024, BUNGENI DODOMA Baadhi ya wafanyabiashara wapatao 60 kutoka Jimbo la Ngara wametembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kujifunza uendeshaji wa shughuri za Bunge, kuongea na...
  9. Yoda

    Philip Mpango na Selemani Jafo tokeni hadharani kuusemea muungano ukipopolewa na Lissu!

    Masuala ya muungano nchi yamewekwa katika ofisi ya makamu wa Rais ambapo pia kuna wizara na waziri anayeshughulikia muungano na mazingira. Sijui kwa nini serikali wameweka muungano na mazingira kama jambo moja lakini kwa sababu kuna hii wizara tayari inabadi mawaziri wake wakishirikiana na...
  10. Roving Journalist

    Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma. Jafo amesema hayo jana Jumanne Aprili 23, 2024 akitoa...
  11. D

    Wizara ya TAMISEMI bado inamuhitaji Suleiman Jafo

    Salaam Aleikum, Kiukweli Tamisemi siku hizi haina utendaji kazi mzuri kama enzi za Dada Ummy na Kipindi cha Jaffo. Yaani huyu waziri wa sasa ndo alitakiwa aende mazingira alafu Jaffo aje Tamisemi. Kuna namna hii support na uvumilivu anaopewa huyu wa sasa na matokeo ya ufanyaji kazi wake hayana...
  12. Mkyamise

    Kwako Seleman Jafo

    Hongera kwa majukumu yako ya kila siku. Najua unapitapita humu jukwaani. Kuna jambo la kimazingira ambalo pengine halisemwi ila lipo katika maisha yetu ya kila siku. Jambo lenyewe limetoa ajira kwa watu wengi ila ni hatari kwa mazingira yetu. Jambo lenyewe ni namna bora ya uteketezaji wa...
  13. BARD AI

    Waziri Jafo aonya wanaosafirisha vyuma chakavu bila vibali

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dk Selemani Jafo ametoa onyo kwa wafanyabiashara wanaosafirisha vyuma chakavu nje ya nchi bila kibali kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Dk Jafo amesema wafanyabiashara hao wanachangia kuongezeka kwa bei za vifaa...
  14. D

    Miaka karibu 10 ya Jafo ubunge Kisarawe bado maji ni ya chumvi. Kuoga mpaka uogee detergents

    Huyu Jafo hakuna lolote analofanya Kisarawe mkoa wa Pwani. Ni ujanja ujanja tu nashangaa anapaje Uwaziri wakati uwezo wake mdogo sana. Mpaka Leo wananchi wa Kisarawe hawana maji mpaka ya kunywa ni shida mpaka wategemee mvua inyeshe. Kuoga mpaka uogee sabuni ya unga vinginevyo sabuni ya kawaida...
  15. BigTall

    Waziri Jafo apongeza kazi ya NEMC kudhibiti uchafuzi wa mazingira wa kelele, asema baa zilizofungiwa zote zitafunguliwa

    Akizungumza Bungeni leo, Selemani Saidi Jafo ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira amesema Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limefanya kazi nzuri ya kudhibiti uchafuzi wa mazingira kwa njia ya kelele. Amesema asilimia kubwa ya baa...
  16. M

    Waziri Jafo arudishwe TAMISEMI

    Kutokana wizi unaoendelea kwenye halmashauri nyingi, NAPENDEKEZA kwa unyenyekevu mkubwa na kwa HAKI, Waziri Jafo arudishwe TAMMISEM. Kipindi chake alifanya vizuri sn. Haiingii akilini waziri yupo, naibu waziri yupo, katibu mkuu yupo nk, halifu watu wanakusanya pesa za umma kielectronic na...
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kwanini mvua imnyeshee Waziri Jafo huku mgeni wake akifunikwa na mwamvuli? Ukoloni mamboleo

    Hapa ni Airport wakati waziri Jafo akimpokea mgeni kutoka falme za kiarabu. Waziri kulowa na mvua ruksa ila mgeni hapana? Hii hapana kwangu mimi.
  18. Roving Journalist

    Waziri Jafo amewataka Watanzania kuthamini bidhaa zinazotengenezwa nchini na wazawa

    Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo amewataka Watanzania kuthamini bidhaa zinazotengenezwa nchini na wazawa ili kuwapa moyo wabunifu na kuinua uchumi wa nchi. Ameyasema hayo Juni 10, 2022 Jijini Dodoma wakati alipomwakilisha Dkt. Philip Mpango, Makamu wa...
  19. Q

    Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

    Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi. "Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti...
  20. R

    Mawaziri Selemani Jafo na Dotto Biteko watunukiwa PhD ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)

    Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla. Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote...
Back
Top Bottom