israel

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya watu waandamana kaskazini ya Gaza kupinga vita, wakiimba hatutaki kufa na damu za watoto wetu sio nyepesi.Acha vita.

    Kulingana na shirika la habari la kipalestina la Wafa,maelfu ya watu yaliingia kwenye vichohcoro vya vifusi vya nyumba zao zilizovunjwa wakiimba kwa sauti huku wamebeba mabango wakisema hawataki tena kufa na hakuna kuhama. Kimsingi maandamano hayo yalikuwa ni kupinga vita visiendelee na wala sio...
  2. Elly official

    JamiiForums Tanzania Historia ya taifa la Israel

    1. Utangulizi Historia ya taifa la Israeli ni ya kipekee, ikiwa na mchanganyiko wa imani, vita, uhamisho, na marejeo ya kiroho. Waisrael, watu wa Mungu, walikulia katika mazingira ya kihistoria ya Mashariki ya Kati, na hadithi yao inaanza na hadithi ya uumbaji na mkataba wa Mungu na baba zao...
  3. Elly official

    JamiiForums Tanzania Israel na ukiukaji wa sheria za vita: Kwa nini hakuna nchi inayochukua hatua?

    1. UTANGULIZI Sheria za vita, zinazojulikana kama International Humanitarian Law (IHL), ni kanuni zinazodhibiti mwenendo wa vita na migogoro ya silaha ili kulinda raia na wahanga wa vita. Sheria hizi zinajumuisha Mikataba ya Geneva ya 1949, Itifaki zake za Ziada, na maazimio ya Umoja wa Mataifa...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas huko Gaza wanaendelea kupata kipondo cha kufa mtu baada ya Israel kuyashambulia makazi yao

    Majeshi ya israel yanaendelea kuzipiga ngome za magaidi wa Hamas huko Gaza na wale waliokuwa wanavaa Combat kipindi cha zoezi la ubadirishanaji Mateka sasa hivi wameshazitupa wanavaa kiraia tu na ni waoga sana angalia kwenye video walivyokuwa wanazimenya mbio hii inadhibitisha wazi kuwa Israel...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mlinzi binafsi ( body guard ) wa gaidi Yahya Sinwar ameangamizwa usiku wa kuamkia leo na majeshi ya Israel

    Aliyekuwa mlinzi binafsi wa Gaidi aliyeuwawa YAHYA SINWAR naye ameuwawa na jeshi la anga la Israel baada ya kushambulia maficho yake huko Gaza. Ikumbukwe tu kuwa YAHYA SINWAR ndiye alikuwa Mastermind wa Mashambulizi ya Oct 07,2023. Sasa Jamaa huyu ataenda kukutana na aliyekuwa Boss wake huko...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Israel yaua Wapalestina 34 akiwepo Afisa Mwandamizi wa Hamas na Mkewe

    Kumekucha. Jamaa wapo serious kweli kweli wanapata sababu za kuitwaa Gaza. Na wanatafuta sababu kila mara. Sasa upele umepata mkunaji.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Israel yasema wanajeshi 16,000 wamelazwa tokea vita kuanza oktoba 7, 72% wamekatwa viungo

    Wadau hamjamboni nyote? Nusu ya hao wanatatizo la kisaikolojia yaani PTSD 72% wamepoteza baadhi ya viungo vyao Jumla askari wote wanaoitibiwa ni 78,000 ikijumuisha majeruhi wa vita vilivyotangulia kabla ya oktoba 7,2023 Ifikapo 2030 inatarajiwa askari 100,000 watakuwa wakipatiwa matibabu...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Lebanon na Hizbullah wako pamoja kupinga vita vinavyoshinikizwa kwao na Israel

    Waziri mkuu wa Lebanon ambaye anaiunga mkono Hizbullah ameonya juu ya kuzuka kwa vita upya baada ya jeshi la Israel kushambulia maeneo kadhaa ya nchi hiyo na kusababisho vifo visivyopungua 7. Katika tamko jengine tofauti na la waziri mkuu,raisi wa nchi hiyo Joseph Aoun ammbaye ni mkristo...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Israel yanakamata maeneo huko Gaza bila upinzani wowote na kuweka bendera ya nchi yao

    Baada ya majeshi ya Israel kuingia tena Gaza sasa hivi yameweza kushikilia maeneo mbalimbali bila upinzani wowote kutoka kwa wale vibaka waliokuwa wanavaa Combat kipindi cha ubadirishanaji wa wafungwa. Cha kushangaza Toka vita vianze hakuna hata mmoja anayeonekana kuvaa Combat. Wote wamezivua...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya magaidi wa Hezboullah kuanza kuishambulia Israel leo jioni hii majeshi ya israel yamejibu mapigo

    Baada ya Israel kuacha kuwashambulia majeshi ya magaidi wa Hezboullah magaidi hao wameibuka tena kwa kuishambulia Israel na bila kupita majeshi ya Israel yamejibu mapigo kwa ngumu sana huko Beirut. https://x.com/osint613/status/1903509350292816241?s=61
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Jumuia ya nchi za kiarabu ( Arab League ) waamua kwa pamoja kusitisha ushirikiano wa kijeshi na kiuchumi na Israel

    Jumuia ya nchi za kiarabu umeamua kusitisha ushirikiano wa kijeshi na ki uchumi na Israel baada ya Israel kuanza kuishinikiza Hamas iwawaachie mateka waliowateka Oct 07,2023.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kombora la masafa lililorushwa kutoka Yemen ladondoka Saud Arabia badala ya Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Mungu anazidi kuipigania Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel:: A ballistic missile launched from Yemen a short while ago, apparently aimed at Israel, fell short in Saudi Arabia, according to a defense source. The missile was identified by...
  13. Bams

    JamiiForums Tanzania Israel yafanya Mashambulizi Mazito Lebanon, Jeshi la Lebanon Laangamiza Vituo vya Kurushia Makombora vya Hezbollah.

    Kufuatia kitendo cha makombora kurushwa tokea Lebanon kuelekea Israel, Israel imeshambulia targets mbalimbali za Hezbollah kusini mwa Lebanon. Hezbollah hawajasema kuwa ni wao ndio waliorusha, lakini Israel inaamini ni Hezbollah. Netanyahu ameahidi kufanya mashambulizi makubwa zaidi dhidi ya...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hizbullah warudi tena uwanjani kuungana na wenzao wa Houth na Hamas kuidonoa Israel

    Maroketi matatu kutoka Lebanon yamerushwa uwelekeo wa Israel. Hii ni mara ya kwanza kwa Hizbullah kurusha maroketi tangu pale walipotiliana saina na Israel kusitisha vita. Kama kawaida ving'ora vililia kwa sauti kali kwenye mji wa Metulla wa kaskazini ya Israel. Inaonekana subira imewashinda...
  15. Bams

    JamiiForums Tanzania Israel yatangaza itachukua Ardhi yote ya Palestina kama Hamas hawataachia Mateka

    Waziri wa Ulinzi wa Israel ametangaza kuwa Israel itatumia nguvu zote za kijeshi na kiraia kuwalazimisha Hamas kuwaachilia mateka inaowashikilia. Waziri huyo wa Ulinzi wa Israel ameliagiza jeshi la Israel kuteka ardhi zaidi ya Wapalestina, mpaka hapo Hamas watakapowaachilia mateka. Waziri Katz...
  16. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mkuu Wa Usalama Israel Afutwa Kazi

    Baraza la Mawaziri la Israel limeadhimia kumfuta kazi Mkuu wa Usalama wa Taifa hilo Ronen Bar huku wananchi jijini Tel Aviv wakiandamana kupinga uamuzi huo. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aliwasilisha pendekezo hilo kwenye baraza la mawaziri kwa madai kuwa Bar amekuwa akiendesha mambo...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wazir Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amfuta kazi mkuu wa Usalama wa Taifa Ronen Bar

    Baraza la mawaziri la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu lilipiga kura kwa kauli moja kuunga mkono kumfukuza kazi mkuu wa Shin Bet Ronen Bar, ofisi ya Waziri Mkuu imetangaza. Siku ya mwisho ya Bar itakuwa Aprili 10, huku serikali ikisogeza hatua ya kumfukuza kazi baada ya hapo awali kuratibisha...
  18. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Kibwana Shomari ni beki Bora (kitasa haswa) Kuliko Israel Mwenda Hilo halipingiki

    Nimeamua kulitumia Jukwaa hili la habari za Michezo kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa benchi la Yanga SC. Ndiyo ni ukweli usiopingika Huu, Kibwana Shomari ni talanta kubwa sana inayofanyiwa Figisu, Kila mmoja ni shahidi huyu bwana mdogo Kipindi na Kocha Nabi alipigika Miguu yote Beki namba 2...
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kahiji kwenye kaburi la babu yako kijijini kwenu acha kwenda Makka na Israel kuhiji kwa mababu wa wenzako

    Africa, Africa, Africa acha kupoteza mamilioni ya shilingi kufanya huu ushirikina kwa mababu wa wenzako huko Israel, Makka na Madina. Nenda kahiji kwa babu yako kijijini kwenu. Au acha kabisa kuhiji maana kuhiji popote pale ni ushirikina tu. Wazungu na waarabu wakakudanganya kuwa kuzuru kaburi...
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Baada ya mafile ya Kifo cha JFK kuwekwa wazi kwa Umma, Israel ilishirikiana na CIA kumuua JFK

    March 18, 2025 ndio siku rasmi ambapo Documents zote za siri kuhusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Marekani, John F. Kennedy ziliwekwa wazi. Hiyo ni baada ya takribani miaka 52 baaada ya kifo chake. Ikumbukwe John F. Kennedy aliuwawa November 22 Mwaka 1963. Mafile zaidi ya 2,000 yanayohusu kifo...
Back
Top Bottom