israel

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu mpya wa Jeshi ya Israel kuwafuta kazi majenerali 4 lengo kurejesha imani kwa wananchi kufuatia shambulizila baya la Oktoba 7,2023.

    Wadau hamjamboni nyote? Mkuu mpya Jeshi la Israel atawafuta kazi majenerali wanne wa IDF kwa kushindwa kwao kuzuia shambulizi la Oktoba 7, 2024 ambapo jumla ya Waisrael 1,200 waliuawa na magaidi ya Hamas Majenerali hao ni pamoja Oded Basyuk anayeongoza idara ya mafunzo, Tomer Bar anayeongoza...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Israel yaridhia kuongezwa muda wa usitishwaji vita hadi Ramadhan na kwaresma itakapokwisha

    Israel imekubali kuongeza muda wa usitishwaji wa mapigano huko Gaza ambao utadumu kwa muda wa Ramadhani na Pasaka ya Kiyahudi. Hamas hapo awali ilikataa wazo la kuongeza muda huo, badala yake inapendelea utekelezaji wa awamu ya pili ya usitishwaji wa mapigano. Israel ilikubali pendekezo...
  3. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Hamas Wajuta wanasema wangujua haya matokeo dhidi ya Israel wasingevamia October 7th

    Moussa Abu Marzouk, mbele, anahudhuria mazishi ya Saleh Arouri, huko Beirut, Lebanon, Januari 4, 2024. (Picha ya AP/Hussein Malla) Kiongozi wa juu wa chama cha kisiasa za kigaidi cha Hamas Moussa Abu Marzouk alisema hangeunga mkono uvamizi na mashambulizi ya Oktoba 7, 2023 kusini mwa Israel...
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mateka wa Israel’ Noa Argamani alifichua uwongo wa Israeli na jinsi Israel ilivyomlenga yeye pamoja na Waisraeli wengine wawili

    Wanaukumbi. Fromer Israel ‘mateka’ Noa Argamani alifichua uwongo wa Israeli na jinsi Israel ilivyomlenga yeye pamoja na Waisraeli wengine wawili. Noa Argamani anaelezea wakati ambapo jengo alilokuwamo Itai Svirsky na Yossi Sharabi liliporomoka, likiwaweka chini ya kifusi, wote wawili waliuawa...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kamanda mwandamizi hamas wajuta kufanya shambulizi Oktoba 7, 2023 dhidi ya Israel , matokeo yake yamekuwa mabaya na wapo tayari kusalimisha silaha

    Wadau hamjamboni nyote? Afisa wa ngazi ya juu wa Hamas asema hangeunga mkono mashambulizi ya Oktoba 7 ikiwa angejua madhara kwa Gaza Mwanachama wa ngazi ya juu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas, Mousa Abu Marzouk, amesema hangeunga mkono uvamizi wa tarehe 7 Oktoba 2023 katika kusini mwa Israel...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa israel benjamin netanyahu asitisha kuachiwa kwa magaidi 620

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu imetangaza kuwa magaidi 600+ ambao walikuwa wamepangwa kuachiliwa leo kutoka magereza nchini Israel, badala ya mateka 6 walioachiliwa leo asubuhi kutoka Gaza, hawataachiliwa kutokana na kuendelea kwa Hamas "ukiukaji na udhalilishaji" wa mateka...
  7. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Mateka wa Israel akimbusu kwa upendo Mpiganaji wa Hamas stejini wakati wa kuachiwa

    Mzuka wana jamvi... Leo katika tukio la kuachiwa mateka huko Gaza , mmoja kati ya waliachwa katika hali ya furaha iliyopitiliza alimsogelea Mpiganaji wa Hamas na kumbusu katika paji lake la uso kwa furaha na bahasha kubwa.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Rais Trump asema yeye hana shida Israel ikiamua ama kuendelea na makubaliano ya kusitisha vita au kuanzisha tena vita dhidi ya magaidi ya hamas

    Wadau hamjamboni nyote? Ni maneno ya Rais Trump wa Marekani Kwamba Israel wakiamua kuzingatia makubaliano ya kusitisha vita au kuanzisha vita tena dhidi ya magaidi ya Hamas yeye wala hana tatizo! Kwamba Netanyau ana hasira sana na anazo sababu za kuwa hivyo Kwa vitendo vya mauaji ya kikatili...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Israel kuanza mchakato wa Ujenzi wa Hekalu Takatifu (Patakatifu) la Tatu, Ndama wekundu zaidi ya wanne wawekwa tayari !!.

    Huu Uzi ni Kwa waaminio juu ya Yesu Upande wa Kristo na wenye Imani ya Kiyahudi . Iko hivi Wayahudi hawakumwamini Yesu Kristo Hadi Leo hii hawamwamini. Wao hata Leo wanaendelea kumngoja MASIHI wao, ambaye ndie anakuja kua Mfalme wa Wayahudi Kiroho na Kiulimwengu. Sasa Kwa Imani ya Kiyahudi...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ujinga na upumbavu wa waarabu waokoa mamia ya watu kufa au kujeruhiwa kwenye mabasi huko Israel

    Baadhi ya MAGAIDI walioachiwa hivi karibuni kutoka kwenye magereza ya Israel leo waliweza na kufanikiwa kupachika vilipuzi kwenye mabasi 5 ambayo yalikuwa yamepark katika sehemu mbalimbali nchini Israel. Kwa bahati nzuri sana Ujinga na upumbavu wao kwenye TIMER badala ya kuweka saa 3 asubuhi...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania TUKUMBUSHANE KIPIGO CHA REFA ISRAEL MKONGO VS STEPHEN MWASIKA(AZAM VS YANGA) KILA JAMBO LINAMWISHOOOOO

    Ilikuwa inaitwa Vodacom LGE enzi hizo kama haujazaliwa google Mechi n Azam vs YANGA REfa Israel MKONGO alionyesha wazi kuipendelea Azam fc Kijana wangu Stephen mwasika akiwa katika ya wachezaji alimrukia Refa akampa ndonga ya maana Refa akashtuka akahamaki alienipiga katokea wapi kumbe...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Netanyahu na Trump wamechanganyikiwa kuhusiana na Hamas. Imekuwa kaa la moto. Waropokwa ovyo

    Njama dhidi ya Palesina,Gaza na Hamas zimeshindwa vibaya mpaka sasa kiasi kwamba wahusika wakuu kutoka Marekani na Israel wamekuwa wakiropokwa ovyo. Raisi Trump wiki mbili zilizopita alitoa ya moyoni yaliyokuwa wameyaficha pale aliposema anataka awahamishe wapalestina na kupajenga upya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Haya mapenzi ya Trump kwa Israel afanyiwe DNA test yawezekana ni myahudi, Maelfu ya mabomu ya MK-84 yaliyozuiliwa na Biden yamewasili Israel

    Wiki ya kwanza tu baada ya kurejea Ikulu, Rais wa Marekani Donald Trump aliharakisha usafirishaji wa shehena ya mabomu 1,800 aina ya MK-84, kila moja likiwa na uzito wa tani moja, mabomu hayo yamewasili rasmi Israel siku ya Jumamosi, tarehe 15 Februari 2025 kwenye bandari ya Israel. Uamuzi...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kupata kichapo kutoka majeshi ya Israel

    Majeshi ya Israel IDF bado yanaendelea kushusha kipondo ki Takatifu kwa magaidi wa Hezboullah baada ya magaidi hao kukiuka masharti ya kusitisha mapigano huko kusin mwa Lebanon.
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Israel walikua nje ya Ardhi yao Kwa miaka 1878 , wakarudi mwaka 1948 Kwa azimio la UN, maajabu ni kua hawakupoteza chochote kuwahusu wao !!.

    Watu wengi hawajui Historia ya hili Taifa la Mungu. Israel ndio waliokabidhiwa Nchi ya Kanani , miaka zaidi ya 1800 kabla ya kurudi kwao Kanani mnamo mwaka 1948, walitawanyika katika mataifa mbalimbali kufuatia Uvamizi wa Rumi . Uvamizi huo uliwafanya Waisrael kukimbilia uhamishoni, wapo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Houthi:" tupo tayari kuishambulia Israel endapo makubaliano yatasitishwa

    Mikono yetu ipo kwenye trigger na tupo tayari kwa mapambano kama Israel atasitisha makubaliano na kuamua kushambulia gaza-HOUTHI HOUTHI wametoa msimamo huo mara baada ya Hamas kudai hawatoachia mateka siku ya jumamosi wakidai Israel wamekiuka na kuvunja makubaliano. Hali kadhalika Waziri...
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

    Wanaukumbi. Breaking | Al-Qassam Brigades spokesperson Abu Obaida announces that due to Israel's failure to uphold the terms of the ceasefire agreement, the release of Israeli captives scheduled for this Saturday will be postponed until further notice. ========================= ⚡️BREAKING...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mateka wa Israel aliyeachiwa huru aitusi serikali ya Netanyahu.

    Ohad Ben Ami, 56 ni miongoni mwa mateka walioachiwa huru na Hamas ili kubadilishana na wafungwa wa kipalestina amesema wazi wazi. “I say to the families of the captives, go out and demonstrate and ask the Israeli government to move to the second and third stages of the deal,” “The only way to...
  19. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Gaza kubadilishwa jina na kuwa "West Israel"

    Baada ya Trump kumpa rungu Netanyahu kwa kumpatia silaha za kila aina ili kuingamiza Gaza. Nchini Israel wameshatoa jina jipya Kwa eneo lote la Gaza baada ya kuondolewa wapalestina wote kwenda Egypt na Jordan Katika mkutano wao Kati ya Trump na Netanyahu wamekubaliana kuwaondoa wapalestina wote...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Al-Alam yaripoti hasira za Wazayuni kutokana na HAMAS kutumia gari ya Israel kukabidhi mateka

    Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeshangaa sana baada ya kuona Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS inatumia gari jeusi ililoliteka kwa wanajeshi wa Israel katika kukabidhi wafungwa Wazayuni iliokuwa inawashikilia kwenye Ukanda wa Ghaza. Fares Al-Sarfandi, ripota wa...
Back
Top Bottom