Rasmi: Israel haitakubali mapatano ya miaka 5 ya Gaza, Qatar haisaidii mazungumzo ya utekaji nyara ya hivi karibuni
Afisa wa Israel anasema kuwa wapatanishi "hivi karibuni wamekuwa na ushawishi ambao haukuwa mzuri kwenye mazungumzo" kwa kuwaachilia mateka kutoka Gaza.
Afisa mmoja wa Kiarabu...
IDF imetangaza kwa watu nchini Lebanon kuhama majengo fulani huko Beirut ambayo yatashambuliwa na Drone kutoka angani ambazo zinazunguka juu ya Beirut.
Binafsi Siwezi kuvumilia tunapomwonya adui yetu kabla ya kumshambulia. Wajinga gani wanafanya maamuzi haya katika jeshi. Je, hawajifunzi...
Mbunge wa Irani anaishutumu Israel kwa mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas na kufichua maelezo mapya kuhusu kilichotokea jana:
Mohammad Saraj, Mbunge wa Irani, kwenye mlipuko kwenye bandari ya Bandar Abbas:
"Mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas haukuwa wa bahati mbaya. Kuna dalili za...
Wanaukumbi.
BREAKING: Al-Qassam Brigades:
Yesterday, we successfully sniped four soldiers and officers of the Israeli occupation army, killing and wounding them east of the town of Beit Hanoun.
================
BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:
Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na...
Trump amesema "Netanyahu anaweza kuingia vitani na Iran. Ikiwa hatutafikia makubaliano na yeye nitaongoza kipigo hicho!!
Katika mahojiano na jarida la Time linaloadhimisha siku 100 tangu arejee Ikulu ya White House, Rais wa Marekani alidai kuwa hakusimamisha Shambulizi dhidi ya vituo vya...
Mbunge wa Marekani Cory Mills anaiambia Bloomberg alizungumza na Rais wa Syria Ahmed al-Sharaa kuhusu vikwazo vya Marekani, kuondolewa kwa silaha za kemikali, na uwezekano wa Syria kujiunga na Makubaliano ya Abraham.
Kiongozi mpya wa Syria ana nia ya kujiunga na Makubaliano ya Abraham, Mbunge...
Hajielewi hata anachosema.
Israel inaua na kuvunja majengo na kunyang'anya mashamba ndani ya maeneo yanayotajwa yako chini ya mamlaka yake na hakuna Hamas.
Israel katika mapendekezo yote ya kumaliza vita imeshaweka wazi inakataa eneo la Gaza kuwekwa chini ya mamlaka ya Palestina inayoongozwa...
Askari wa jeshi lowezi huko palestina aliliwa na papa alipokua akipoza fuvu kwa kuogelea baharini huko palestina
Ufuo huo sasa unaogopwa na wazayuni,maana papa walionekana kurudi tena na kurandaranda baada ya kuonja kitoweo cha kilowezi
Moto mkubwa umezuka israel kiasi cha watumiaji wa vyombo vya moto kutelekeza vyombo vyao barabarani
Inadaiwa ni kutokana na halo mbaya ya hewa,lakini usiku wa kuamkia leo houthi walifanya mashambulizi na wazayuni wananukuliwa kusikia mishindo mikubwa ya mabomu
Israel panawaka kama bandari ya...
KIPONDO CHA NGUVU 🔴
Kamanda wa Hezbollah Ali Kaid Hashem katika kijiji cha Khania, kusini mwa Lebanon. Kakoswa na kombola la kwanza kaamua kukimbia lakini akakutana na bomu la pili ambalo hakuweza kupona aliangamizwa palepale bila huruma.
https://x.com/osint613/status/1914638512684458055?s=61
Dini ya kweli ni Dini inayosimamia kweli na haki.
Dini ya kweli ni dini inayosema kweli haijalishi kweli hiyo inaumiza au inafurahisha.
Viongozi wa Dini wa kweli ni Viongozi wanaosema ukweli wa Mungu bila kuogopa utawapendeza au kuwafurahisha Watawala.
Viongozi wa kweli wa Dini ni wale...
Uhusiano wa serikali ya Lebanon na chama cha Hizbullah umezidi kuimarika baada ya raisi Joseph Aoun kukasiririshwa sana na mauwaji yanayoendelea kufanywa na majeshi ya kiyahudi ya IDF ndani ya ardhi ya nchi yake.Tamko hilo linafuatia baada ya shambulizi lililoua watu wawili leo.
Katika...
Kuna taarifa kuwa hakuna utawala wa nchi yoyote ile ya kiarabu na kiislamu ambayo haina kiongozi wa ngazi ya juu ambaye si wakala wa Israel.Baadhi ya nchi zina mpaka kiongozi mkuu ambaye ni mjumbe anayefanya kazi za kiyahudi.
Utafiti huo umekuwa ukitajwa muda mrefu lakini haikujulikana ukweli...
Baada ya magaidi kupata kipondo cha kufa mtu baada ya hifadhi zao za mafuta kuangamizwa Wahouth wa kaamua kumali Zia hasira zao kwa kurusha makombola ya Ballistic kwa israel ambayo nayo yote yamepopolewa kwa ustami wa hali ya juu na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Wahouthi sasa hivi...
Hamas huko Gaza wanaendelea kupata kichapo cha mbwa-koko baada ya Jeshi la anga la Israel kuyashambulia maficho yao. Inasemekana magaidi wote waliokuwa wamejichimbie eneo hilo hat uko nao wameangamizwa!!!
Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu a.k.a. BIBI leo hii kaamua kuwa te Bełda wanajeshi wake walioko huko Gaza aliambatana na Waziri wa Ulinzi wa Israel na Mkuu wa Majeshi wa Israel na kuwatia moyo kwa kuwaambia kuwa wako huko kwa ajili ya kulinda Taifa lao na wako huko ili...
Shambulio la angani la Israel limepiga lango la Hospitali ya Kuwaiti katika eneo la Muwasi, na kusababisha kifo cha mhudumu wa afya na kuwajeruhi wengine tisa, wakiwemo wagonjwa waliokuwa wakitibiwa.
Shambulio la angani la Israel limepiga lango la Hospitali ya Kuwaiti katika eneo la Muwasi...
Katika kipindi hiki cha Pasaka huko Jerusalem Israel jamaa mmoja jana alienda Hekaluni akiwa na kondoo kwa nia ya kwenda kutoa sadaka ya kuteketezwa baadaye Alikamatwa na polisi walieko kwenye eneo hilo ambalo ni Takatifu kwa Wayahudi, Wakristo na waislamu.
Eneo hilo lilikabidhiwa waislam...
Majeshi ya Israel yaendelea kuyaharibu mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hamas huko Gaza. Hapo chini inaonekana handaki lenie zaidi ya kilomita moja likiangamizwa kwa ustami mkubwa na majeshi ya Israel
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.