israel

  1. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Ndege vita,drone na helikopta za Israel zilipopolewa Lebanon na Palestina

    Ndege vita/jet na drone zilianguka Lebanon, israel ikijitetea kuwa ni tatizo la kiufundi Wakati huohuo helicopter ilianguka huko gaza na kuua askari wawili wa israel,utetezi wao ni ule ule, tatizo la kiufundi https://www.jpost.com/breaking-news/article-849513
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia za timu za kiarabu hapo ndio najua kwanini kule gaza Israel acheki na wowote

    Kwa hizi tabia za kishenzi hawa jamaa ndio maisha yao....
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mufti mkuu wa Misri akataa fatwa ya jihad dhidi ya Israel kama 'kutowajibika'.

    Mufti mkuu wa Misri akataa fatwa ya jihad dhidi ya Israel kama 'kutowajibika'. Mufti Mkuu wa Misri Nazir Ayyad Jumatatu alisema "halikuwa jambo la kuwajibika" kwa Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) kutoa fatwa ambayo ilisema "Waislamu wote wenye uwezo" wana wajibu wa kufanya...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lasalimu amri na kufanya mabadiliko ya sare za Jeshi lake na kuwaruhusu wanajeshi wake kufuga ndevu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, April 9, 2025 IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards By Emanuel Fabian Follow Today, 9:05...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel kufanya mabadiliko ya sare za Jeshi lake, kuwa kuwaruhusu wanajeshi wake kufuga ndevu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, April 9, 2025 IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards By Emanuel Fabian Follow Today, 9:05...
  6. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Mahojiano na Sky News : Msemaji mkuu wa serikali ya Israel kujibu maswali muhimu aliyoulizwa

    Moja kwa moja. Juzi juzi nilikuja na mada chini hapo kuhusiana na tukio la IDF kuua watu wanaotoa Huduma za kitabibu Gaza wakiwa kwenye ambulance na kueleza uongo wao katika taarifa ya awali waliyotoa kuhusiana na tukio hilo amabalo sasa hivi limezidi kuchafua taswira mbaya ya IDF baada ya...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Graphic video: Kamanda wa Hezbollah Mohamed Mansour alivyouawa na majeshi ya Israel huko Lebanon.!!

    Majeshi ya Israel yamefanikiwa kumuua gaidi Mohamed Mansour aliyekuwa akit uhu iwa kuamru kushambuliwa kwa makazi ya wayahudi huko Kaskazini mwa Israel juzi aliingia kwenye 18 za majeshi ya Israel na gari yake kupigwa kombola gari liliwaka akiwemo yeye na mpambe wake juhudi za kutoa kwenye hilo...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya Hamas kurusha makombola 10 Huko Israel Majeshi ya Israel leo yamejibu kwa shambulio kubwa sana

    Deir al-Balah, Gaza ya kati: Israel usiku huu imefanya shambulizi lenie nguvu isiyo ya kawaida ulitokea muda mfupi uliopita, kufuatia onyo la kuhamishwa wakazi wa eneo yalikotokea makombola hayo. Wapalestina wanalielezea shambulizi hilo kama "tetemeko la ardhi." Haya yanajiri baada ya Gaza...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rafah huko Gaza sasa hivi iko mikononi mwa majeshi ya Israel baada ya wakazi wake kuamriwa kuondoka huko na majeshi ya Israel

    Majeshi shupavu ya israel yameushikilia kikamilifu baada ya wakazi wake kuamriwa kuondoka maeneo hayo na Majeshi ya Israel. Majeshi hayo ya duka ATA mji huo bila upinzani wowote. Wengi walitarajia wale askari wa Hamas waliokuwa wanavaa Combat wakati wa mabadirishano ya mateka wangejitokeza ili...
  10. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Sheikhe Issam Amira kawapa makavu Wapalestina huko Israel

    Hii ni hotuba ya Sheikh wa Palestina Issam Amira akihutubia katika Msikiti wa Al-Aqsa. Hotuba hiyo ilipata ukosoaji na shutuma nyingi katika ulimwengu wa Kiarabu kwa sababu ukweli unauma... lakini ukweli ni mmoja tu na lazima wakabiliane na ukweli kila mahali- Wapalestina hawana haki ya...
  11. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Wayahudi halisi ni weusi , wale waliopo pale Israel ni wamchongo, mda ukifika wayahudi halisi (weusi ) watakuja kuchukua nchi yao

    Unajiita nchi teule alafu eti, mnaua watu wasio na hatia ( hasa watoto wadogo )....alafu mnajitetea kwa kivuli cha kuwa nyie ni TEULE, hapana hapana!!, tumeshtuka. Mimi naamini kwenye maandiko ya Biblia takatifu, hawa wa Israel wa sasa ni wa mchongo, waisraeli halisi bado wapo utumwani(...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Trump na Netanyahu wamalizia mpango wa kuifuta Gaza na Hamas nao waidondoshea kombora 5 nzito miji miwili ya Israel ambayo yameleta madhara.

    Katika ziara yake nchini Marekani,waziri mkuu wa Israel,Benjamini Netanyahu wameweka mikakati yao ya kuifuta Gaza kwa uwazi kuonesha mataifa yao hayana kificho kwa mpango huo. Katika mazungumzo yaliyonaswa na waandishi wa habari na kuwekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Trump,raisi huyo amesema...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akikaribishwa white-house na rais wa Marekani Donald Trump

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii amepokelewa White-house na Rais wa Marekani Donald Trump Wakiwa kwenye kikao chao watazungumza mambo mbalimbali yakiwemo vita vinavyoendelea na Hamas na Saula la Iran kushutumiwa kuwasaidia magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth huko Yemen. Ma...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mtambo wa mfumo wa ulinzi wa anga wa thaad watua israel tayari kwa kazi maalum!!

    Marekani imepeleka mtambo wa pili wa mfumo wa ulinzi wa anga wa THAAD kwa Israeli huku kukiwa na mvutano unaoongezeka juu ya mpango wa nyuklia wa Iran, kulingana na Saudi Al-Hadath. Mfumo huo ulitolewa kupitia ndege ya usafiri ya Jeshi la Anga la Marekani C-5M Super Galaxy. Mfumo wa ulinzi wa...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Israel kikosi cha vifaru vikivinjali katikati ya Jenin leo hii

    Majeshi ya Israel leo hii yameingia na vifaru huko Jenin ambako majeshi hayo yamekuwepo huko kufanya Operation za kuwafyeka magaidi
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hassan Masana, Gaidi aliyeripoti mauaji ya Oktoba 7, aangamizwa Khan Younis

    Gaidi aliyejifanya kuwa mwandishi wa habari, Hassan Masana, aliyeripoti mauaji ya Oktoba 7 na ambaye aliongozana na magaidi hao naye ameangamizwa baada ya mashambulizi ya ndege za israel huko Khan younis kumjeruhi vibaya baada ikaripotiwa katutoka Mwandishi huyu alikuwa na nafasi ya kuzuia...
  17. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Maroketi ya Hamas yapiga shabaha ashkelon Israel

    Leo,usiku huu, Hamas walirusha maroketi kumi,mengi zaidi katika miezi kadhaa,habari toka israel zinadai wateule watatu walipata majeraha mepesi kama kawaida yao, isipokua magari tu yaliyotengenezwa na kwa malighafi laini kuliko mifupa na minofu ya binadam ndiyo yaliharibiwa vibaya...
  18. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Defense Minister Katz reveals: Iran funded Hamas with $500 million to destroy Israel

    Defense Minister Israel Katz revealed for the first time documents found in Hamas tunnels, proving a direct connection between Yahya Sinwar and Muhammad Deif and the commander of the Iranian Quds Force. In the documents, senior Hamas officials demand $500 million from Iran for the destruction...
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje Iran Dhaifu KUWA na Vikundi karibu na Israel wakati Israel/US hawana hata migambo wa kukodi ili kuisumbua Iran?

    Kiuwezo US/Israel wako juu mara mia KWA Iran. Wanawashirika karibu Kila nchi ya kiarabu. Inasemekana hata kiongozi wa ISIS Albagdad alikiwa ni Mossad. Osama alikuwa CIA. Najiuliza nchi kama Israel/US wameweje kuruhusu Iran ikatengeneza Hesbullah karibu na Israel, Ikawapa nguvu Hamas karibu na...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kabla kumalizana na Hamas na Hizbullah, kwa Israel kuingia Syria na kuichoza Uturuki ndio kupagawa kwenyewe huko na kujitumbukiza shimoni.

    Sio kificho kusema Hamas na Hizbullah wameumizwa sana kijeshi japo kuna tofauti kati yao.Na vile vile ni wazi kuwa Israel imepagawa ikijiona kama imeshinda. Kupagawa kwa Israel kunaonekana kwamba wamejiamini kuendelea kushambulia maeneo ya Syria kwa visingizio na bila kizuizi.Karibuni kabisa...
Back
Top Bottom