israel

  1. Zelensky: Ugomvi baina ya Iran na Israel usisababishe nikakosa misaada

    Zelensky anaomba USA na maswahiba zake wasije wakazama sana katika kumpiga TAFU Israel mwisho wa siku wakamsahau yeye na Ukraine yake. Bado anahitaji sana misaada. https://x.com/BRICSinfo/status/1933872405090566267 JUST IN: 🇺🇦 Ukrainian President Zelensky says he hopes Israel's conflict with...
  2. Israel inaendelea na mashambulizi dhidi ya Iran, jeshi lasema

    Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) linasema kuwa linaendelea na mashambulizi ya anga katika maeneo ya Iran. Katika taarifa fupi iliyotumwa kwa Telegram, IDF ilisema kwamba "Jeshi la anga la Israel linaendelea kulenga shabaha ili kuondoa vitisho nchini Iran". Taarifa hiyo ilichapishwa pamoja na...
  3. China yalaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran

    China inalaani "ukiukaji wa Israel wa mamlaka, usalama na uadilifu wa ardhi ya Iran", mjumbe wa Umoja wa Mataifa Fu Cong alisema katika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa saa chache zilizopita. Beijing "ina wasiwasi mkubwa" juu ya athari mbaya ya hali ya sasa katika...
  4. 5

    Iran yaonya kushambulia vituo vya US, Uengereza na Ufaransa kama zitajaribu kuikingia kifua Israel

  5. 5

    Nilienda mafichoni zaidi ya mara 5 wakati Iran inashambulia Tel Aviv - Balozi wa US nchini Israel

    Ndivyo ilivyo kuwa wakati Iran inaijibu Israel usiku wa kuamkia Jumamosi
  6. Kwani Azam media mnaundugu na Iran au Israel?

    Yaani nawasha tv kuangalia jinsi Mu-Israel na Mu-Iraq wanavyochapana jibu ni NO SIGNAL Kwani nyie vita vyao vinawahusu Nini kukata channel dadeki 😔😔😔
  7. A

    Jordan Badala Ya Kuwasaidia Gaza Anamsaidia Israel

    Hi nchi ni ya kisenge kweli na wananchi wake walivyo wajinga wanakubali mfalme huyo angushe Missiles na Drones za Iran. Kule Gaza anazuia mpaa vyakula visiende. Wakati Al Houthi wamezuia Meli zinazo enda Israel yeye anapitisha vyakula kwenda Israel. Je Jordan ni warabu au Wayahudi? Vipi mkubali...
  8. Kuna hati hati ya U.S na U.K kuingia mzigoni kumuunga mkono Israel

    Tetesi: Kuna hati hati inaendelea wenda U.S Army na U.K kuingia mzigoni kumuunga mkono Israel kumtandika Iran. Iran imeseme military bases zote za U.S hapo mashariki ya kati wata zigeuza kuni za kuwashia moto. Tukae chonjo bora hali hii isifike level hii Tanzania nasi maumivu makali yatatuhusu...
  9. U

    Waziri wa Ulinzi Israel Katz amemuonya kiongozi wa Iran, Ali Khamenei, kwamba iwapo makombora yataendelea kurushwa kwa Israel, Tehran itaungua.

    Wadau hamjamboni nyote. Live Update arrow right icon From the Liveblog of Saturday, June 14, 2025 Katz: ‘If Khamenei continues to fire missiles at the Israeli home front, Tehran will burn’ By Emanuel Fabian Follow Today, 12:16 pm Defense Minister Israel Katz warns Iran’s leader, Ali...
  10. Tehran, Iran kutiwa kiberiti kama wakiendelea kushambulia maeneo ya raia wa Israel

    Iran wanalenga maeneo ya raia maana makambi ya kijeshi yameshindikana, mpaka sasa hivi wamefaulu kuua raia wanne wa Israel. Israel imetoa tahadhari wakiendelea hivi basi na yenyewe itaamua kutia kiberiti mji wote, ifahamike Israel wana uwezo wa ile bomu ya MoB yaani mother of all bombs, na...
  11. Israel yaishutumu Iran kuvuka mstari mwekundu

    Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz amesema Iran usiku wa kuamkia leo imevuka mstari mwekundu kutokana na mashambulizi yake ya makombora kulenga maeneo ya kiraia hivyo ijiandae kwa majibu makali Katz amesema mashambulizi ya Iran yatajibiwa kwa viwango vya juu kuharibu uwezo wa Iran...
  12. U

    Baraza Kuu la Usalama la Taifa la Iran lafanya kikao kujadili jibu kwa Israel

    Wadau hamjamboni nyote by Iran International. Iran’s Supreme National Security Council holds session to discuss response to Israel Iran’s Supreme National Security Council convened on Friday evening to review and reinforce ongoing plans for responding to Israel, the council’s secretariat...
  13. Hizbullah warudi uwanjani kuisaidia Iran kupambana na Israel. Hali ndani ya Israel ni tete. Watu wasema hawakuzoea mambo kama haya

    Milio ya ving'ora imerudia ndani ya miji ya kaskazini ya Israel mpakani na Lebanon ikidhaniwa ni droni kutokea kwa Heizbullah. Droni kama hizo zimeonekana zikiingia ndani ya israel kupidia bonde la mto Jordan. Wananchi ndani ya jiji la Te Aviv wakisimulia mapigo ya jana kutoka Iran wamesema...
  14. Khayatollah ampigia simu Trump kumtaka awatulize vichaa Israel

    Katika hali ambayo inashangaza sana na kukasirisha. Ni kitendo cha Khayatollah kumpigia simu Trump kuwa awaambie watu wake Mayahudi kuwa sasa wamerudishiana angalau yaishe. Trump anasema atajaribu kuongea na Netanyau ola shida Netanyau ni mjeuri sana. Khayatollah anasema wameingia sana hasara...
  15. Israel ni taifa Mwamba anayeweza kukuingilia na kukupiga ndani kwako na mkeo kama ngoma tu na humuwezi kwa wowote

    Kitendo cha Joka kuu la ifadhili wa Ugaidi duniani Iran kuingiliwa mpaka chumbani kwake na kutandikwa kama ngoma ni ishara tosha kuwa Israel hashkiki ... Israel Taifa dogo kwa eneo dogo zaidi hata ya eneo La Dar es salaam lakini mziki wake mnene dunia nzima inasimama....hawa majamaa hawacheki...
  16. Israel yasema bado Itatuma tena mabinti wakatalii Iran na kusalimia. Imepata ilichotaka...

    Baada ya mabinti kutumwa kwenda kutia vidole vifinyio vya Irani. Wanasema wanataka waende tena kabla hawajawaachia wanaume kwenda malizia, kufika kileleni. Israel imefanikiwa kabisa katika kushambulia Iran — hususan katika operesheni ya Rising Lion ya tarehe 13 Juni 2025 — lakini mafanikio...
  17. Mpaka sasa tathmini ya Maumivu kwa Iran vs Israel. Hawa Mayahudi hawafai kabisa

    Hali ya sasa nchini Iran imekuwa ya kukaushwa sana, kufuatia mashambulizi makubwa ya Israeli yaliyofanyika tarehe 13 Juni 2025. Hapa ni muhtasari wa hali: Mapigano na Uharibifu Mashambulizi ya Israeli: Operesheni iliyopewa jina la “Rising Lion” iliwashirikisha ndege za kivita zaidi ya 200...
  18. Israel waanza kupiga maeneo ya karibu na makazi ya Ayatollah na Ikulu, ichukuliwe kama onyo watapiga popote

    Ayatollah kama analala kwake, basi amesikia mabomu yaliyopiga maeneo ya jirani...... The Israel Defense Forces carried out several additional waves of airstrikes across Iran early Saturday, concentrating on the capital, Tehran, where explosions were reported near Mehrabad International Airport...
  19. Kwanini Israel iwe na ruhusa kumiliki Nukes; ila Iran kwake iwe nongwa?

    Tuelimishane.
  20. Serikali iko Kimya, Watanzania walioko IRAN na ISRAEL hawajui Hatima yao!!

    Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!! Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!. Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema". Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…