israel

  1. C

    Wizara ya afya, ijifunze na itoe maelekezo ya matumizi ya dawa iitwayo "Ivermectin" kwa kutibu wangojwa wa Corona

    Bila kuremba, Serikali itoe maelekezo ya matumzi ya dawa hii katika kutibu Corona kama iliyvogunduliwa kule Israel kuwa inatibu corona. "That has been known since the start of the pandemic. But that has been wilfully ignored, otherwise, the vaccine could not get its emergency approva"l...
  2. Israel may place US under severe travel warning

    Kwangu mimi hii habari inaonyesha positive legacy ya utawala wa JPM: pamoja na kwamba Tanzania haikufuata strict guidelines za WHO kuhusiana na corona (lockdown, masking, etc), Tanzania haipo kwenye red au yellow list ya nchi, kama Israel, zinazokataza raia wake kutembelea kabisa au kuzitembelea...
  3. Watalii kutoka Israel kutua nchini Agosti 2, 2021

    Na Joseph ngilisho Arusha, Watalii zaidi ya 150 kutoka nchini Israel wanatarajia kutua nchini Tanzania kesho jumatatu kwa ajili ya shughuli za Utalii ili kujionea vivutio mbalimbali vilivyopo hapa nchini. Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo ,Kamishna Mwandamizi wa Uhifadhi na...
  4. Meli ya Israel ya mafuta yapigwa kombora pwani ya Oman ikitokea Saudi, mabaharia wawili wauawa

    Israeli-managed tanker attacked off Oman, motive unclear, 2 dead DUBAI, July 30 (Reuters) - A petroleum products tanker managed by Israeli-owned Zodiac Maritime came under attack on Thursday in the Arabian Sea, off the Omani coast, the company said on Friday in what it described as suspected...
  5. Msaada: Gharama ya kwenda na kurudi Israel

    Naomba kujua gharama ya kwebda na kurudi Israel kwa safari ya wiki moja, nauli ,chakula na malazi .
  6. Israel nchi ya Bara Asia ya kati na Mwanachama wa Ulaya kukubaliwa kuwa Mwanachama wa African union imekaaje hii?

    Umoja wa nchi huru Africa umeipatia kiti cha kudumu Taifa la Israel kama Mjumbe wake sawa sawa na Nchi za Umoja wa Africa katika baraza lake kuu japo haipigi kura... ikumbukwe Israel alishawahi kuwa Mwanachama hapo mwanzo Miaka 19 Iliyopita Israel tayari inamahusiano na nchi zaidi ya 46 kati ya...
  7. COVID-19: Chanjo ya vidonge ya Israel kuanza majaribio

    Oramed kampuni ya utengenezaji dawa, imetengeneza Chanjo ya Uviko19 kwenye muundo wa Kidonge. Kwa sasa Inasubiri kibali cha Wizara ya Afya ya Israel wiki mbili zijazo. ==== Israeli COVID vaccine in pill form to start clinical trial in Tel Aviv By Nathan Jeffay A prospective oral...
  8. Israel na Pegasus spyware

    Dah Mimi sio mtaalam kabisa wa mambo haya. Mambo ya udukuzi.lakini nimeingiwa na hofu Sana. Pegasus Ni kifaa kilichotengenezwa na kampuni binafsi ya Israel. Pegasus spyware inaweza kupenya kwenye simu za smart na kufyonza ujumbe wote,picha zote na kurekodi mazungumzo. Pegasus imeshatumika...
  9. Programu ya Israel ya ‘Pegasus’ yatumika kuwafuatilia waandishi wa vyombo 15

    Mamlaka zimelalamikiwa kuitumia vibaya ‘malware’ ya Israel ya Pegasus ambayo imetumika kufuatilia waandishi wa Habari na wanaharakati Software hiyo inatengenezwa na kampuni ya ulinzi ya Israel ya NSO ambayo inauwezo wa kudukua simu janja na kuchukua kila kitu kwenye simu Baadhi ya waandishi...
  10. Kwanini Afrika tusichimbe mfereji hadi Israel na Uarabuni kuwauzia maji?

    Nilikua naangalia nchi kama Jordan walivyo na changamoto ya maji yaani maji ni shida aisee Nikaangalia na Israel si haba wanajitahidi japo changamoto, nchi nyingi za kiarabu wana shida ya maji kinoma nachomaanisha hawana vyanzo vya uhakika vya maji. Africa mito mingi huishia baharini tu yaani...
  11. Pigo kwa Israel: Bunge lapiga kura kuruhusu Wapalestina kuwa raia wa Israel

    Kulikuwa na sheria ambayo ilikuwa inawawekea vikwazo wapalestina wanaoishi israel kuleta wake au waume zao ambao wapo upande wa israel kwa sababu za kiusalama hapo zamani. Kura zimepigwa leo juu ya kuendeleza hii sheria na cha ajabu kina Netanyahu ambao walikuwa wana piga kura kwa vipindi...
  12. M

    Rabbi Mkuu wa Israel aagiza muinjilisti aliyejifanya myahudi afukuliwe kutoka kwenye makaburi ya wayahudi

    Chief Rabbi wa Israel, ameagiza Muinjilisti mwanamama Amanda Elkohen aliyefafariki kwa ugonjwa kansa ya utumbo na kuzikwa katika Makaburi ya wayahudi huko Israel, mwili wake ufukuliwe kutoka katika makaburi hayo. Muinjilist Amanda pamoja na mumewe, walikuwa wakijifanya nao ni wafuasi wa dini ya...
  13. Iran Nuclear Centrifuges zashambuliwa na Drone ndogo, wameshainyooshea kidole Israel

    A sabotage operation against one of the buildings of Iran’s Atomic Energy Organization (IAEO) caused major damage – despite Iranian denials, The Jerusalem Post learned on Wednesday night. Although Iran has claimed throughout the day that the sabotage failed and caused no damage or casualties...
  14. Muqawama wa Palestina wamtahadharisha tena adui Mzayuni

    Muqawama wa Palestina wamtahadharisha tena adui Mzayuni Brigedi ya Mashahidi wa al Aqsa imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa, muqawama utaanzisha duru mpya ya mapigano na mashambulizi ya roketi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu iwapo utawala huo hautafungua vivuko...
  15. Kwanini Israel ina wasiwasi kuhusu rais mpya wa Iran?

    Waziri mkuu wa Israel anasema kwamba jamii ya kimataifa inafaa kuamka kufuatia uchaguzi wa rais mpya wa Iran. Naftali Bennet amesema kwamba utawala wa Iran umekuwa ukitaka silaha za kinyuklia - kitu ambacho Iran inakana. Ebrahim Raisi alitangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais nchini Iran siku...
  16. Israel yafanya mashambulizi ya anga Gaza

    Israel imeanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo lengwa ya Hamas katika ukanda wa Gaza. Taifa hilo limefanya hivyo baada ya maputo ya moto kurushwa kuelekea upande wake. Kwa mujibu wa huduma ya zimamoto ya Israel, maputo kadhaa ya moto yalirushwa kutoka upande wa Gaza na kusababisha...
  17. U

    Waziri Mkuu Naftali Bennett akutana na Kachero Mkuu Idara Kuu ya Ujasusi ya Israel na kumuongezea muda wa kukaa Madarakani

    Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett leo Juni 15, 2021 amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara Kuu ya Ujasusi nchini Israel Security Agency (ISA) Nadav Argaman. Waziri Mkuu ameamua kuwa Mkurugenzi huyo wa ISA ataendelea kusalia kwenye nafasi aliyonayo hadi Oktoba 2021.
  18. Jerusalem: Sababu tatu za kuzuka kwa ghasia kati ya Wapalestina na Wayahudi

    REUTERS: Ghasia zilizuka nje ya msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa zamani wa Jerusalem Jerusalem imekuwa ikigonga vichwa vya habari kufuatia ghasia ambazo zimekuwa zikiripotiwa mjini humo kati ya Wapalestina na vikosi vya usalama vya Israeli ambazo zimewaacha mamia wakijeruhiwa mbali na...
  19. C

    Nashare nanyi vitabu viwili vya Majasusi wa Israel

    Vinasisimua sana, kimoja kinahusu Red sea resort hadi kuna movie yake imechezwa, kingine kuhusu Sylia Raphael bado nakimalizia hiki. Attachments hizi hapa, kwa enquiries nicheki PM
  20. Nchi ya Israel ina sera gani kuhusu mtu mweusi kiujumla?

    Ningependa kufahamu taifa la Israel lina sera gani kuhusu mtu mweusi? Je, mliowahi kufika huko, level ya ubaguzi wa rangi ikoje? Je, unapatikanaji wa huduma katika public areas ukoje kwa mtu mweusi? Nawasilisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…