israel

  1. Leo July 4th ni kumbukumbu ya Entebe Raid

    Ndugu zangu spiritual Jews duniani kote. Leo ni kumbukumbu ya mashujaa wa Kiisrael walipowaokoa ndugu zao pale Entebe Uganda. Kijana Jonathan Netanyahu akiwa na umri wa miaka 28 aliongoza makomandoo hatari duniani kuwaokoa ndugu zao wasiuawe na magaidi ya Kipalestina. Shujaa huyu Jonathan...
  2. Nimefurahi sana kufahamu kwamba nchi ya Israel ina mabomu ya nyuklia 90

    Kumbe nchi hii ndogo kwa eneo ina mabomu mengi hivi ya nyuklia? Pamoja na kuzungukwa na maadui wengi, hawajawahi kutumia silaha hizo kuwaangamiza. Hii ni nchi inayojali utu. Ni nchi yenye ujasusi wa hali ya juu. Hii nchi imesaidia kulinda usalama mashariki ya kati kwa kuhakikisha iraq, iran...
  3. Israel: Waziri Mkuu avunja Serikali ya Muungano

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett imetangaza kwamba Serikali ya Muungano ya nchi hiyo itavunjwa, na hivyo uchaguzi mwingine kuandaliwa. Bennett na mshirika wake mkuu, Yair Lapid, watalivunja Bunge katika siku zijazo, ofisi ya Bennett imesema. Lapid atahudumu kama Waziri Mkuu wa...
  4. Today Israel Celebrates Six Day War Anniversary

    Today marks the beginning of the Six-Day War in 1967. Israel, who was overwhelmingly outnumbered in men, tanks, and planes - defeated an Arab coalition of 13 countries. We honor the ones who made the ultimate sacrifice for the sake of Israel's survival. #Israel Via JOFF
  5. Vatican yalaani vurugu za Israel katika mazishi ya mwandishi wa habari

    Mwakilishi wa Vatican Nchini Jerusalem, Monsignor Tomasz Grysa ameijia juu Israel kwa kukiuka makubaliano ya miongo kadhaa ya kutetea uhuru wa kidini la mwaka 1993, baada ya kufanya vurugu katika mazishi ya mwandishi wa Habari Shireen Abu Aqla. Askari wa Israel waliwapiga waombolezaji...
  6. M

    Hivi Royal tour ina nini mpaka mtumie nguvu kuinadi namna hii?

    Hivi mnawaona watanzania kama watoto wadogo kiasi cha kuwadanganya namna hii? Hii filamu ina nini nyuma yake mpaka muitetee hivi? Kuna nini kimejificha huko? Haya unayotuambia PM Majaliwa ni kweli? 👇Majaliwa asema filamu ya Royal Tour imeanza kuonesha mafanikio Mbona TTB walisema watalii...
  7. Putin amuomba radhi Waziri Mkuu wa Israel kwa matamshi ya Lavrov

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amuomba radhi waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennet kwa matamshi aliyoyatoa waziri wake wa mambo ya Nje Sergei Lavrov kwamba Hitler alikua na damu ya kiyahudi. Rais Putin pia amepongeza uhusiano mzuri Kati ya Urusi na Israel. Waziri Mkuu wa Israel amekubali msamaha...
  8. Kwanini Israel ni Taifa dogo ila linaheshimika na kuogopeka?

    ISRAEL ISRAEL ISRAEL Kila nchi ulimwenguni hasa ZILE kubwa zinajikomba Kwa ISRAEL , hata UMOJA wa mataifa kuna Muda unakuwa na kigugumizi juu ya Mienendo ya ISRAEL . Israel inaogopeka saana na Mataifa mengine kutokana na:- 1. Uwezo wa teknolojia kijeshi na kijamii. 2. Uwezo wa intelejensia...
  9. Urusi imeishika pabaya Israel kuhusiana na Unazi

    Katika vita vinavyoendelea kati ya Urusi na Ukraine kumezuka mambo mengi yaliyokuwa hayakutarajiwa.Moja ya hilo ni kauli ya waziri wa mambo ya nje wa Urusi kuwa Hitler alikuwa ni myahudi. Israel imekuwa daima ikiomboleza kuuliwa kwa wayahudi katika vita vikuu vya pili vya dunia kwa watu wao...
  10. L

    Why? Is it because of Israel?

    Israel hasn’t faced an actual existential threat in well over forty years. They literally have nuclear weapons. The idea that they are somehow going to be destroyed if they aren’t brutal enough ie laughable. It certainly isn’t an excuse for committing war crimes. Yes, he is, and yes, he’s...
  11. K

    Mrusi kusafiri kwa miaka 40 kama wana wa Israel

    Kuna msemo maarufu wa waingireza usemao "history repeats itself" kwa ninavyoona majeshi ya Urusi huko Ukraine huenda yakatumia miaka 40 kwenda Kyiv kama wana wa Israel walivyotumia miaka 40 kusafiri kutoka misri kwenda Palestine
  12. Chanzo cha vita ya Israel na Palestina na ni nani mmiliki halali wa eneo hilo

    Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa Jerusalem unajulikana kama mji wa amani lakini Jerusalem ya leo n ahata kihistoria haujawahi kuwa...
  13. Aende tu kwa Kilichompeleka na kamwe siyo kwa Kuijasusia Rwanda, kwani hatopata chochote kwakuwa Rwanda ya sasa ni Israel Kiujasusi

    Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej. Jen. Richard M. Makanzo awasilisha hati zake za utambulisho kwa Mhe. Rais Paul Kagame wa Rwanda. Chanzo: Ukurasa wa Mtandao ( Instagram ) wa Msemaji wa Serikali Bw. Gerson Msigwa. Kaipelelezeni Burundi ila siyo Rwanda.
  14. Israel: Watano wameuawa katika shambulio la risasi katika mji Bnei Brak

    Watu watano wameuawa Jumanne katika shambulio la risasi katika mji wa Israel wa Bnei Brak, kitongoji cha mji wa Tel Aviv. Ni shambulizi baya la tatu katika siku za karibuni. Siku mbili zilizopita, maafisa wawili wa polisi waliuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa Hadera. Wiki moja kabla, watu...
  15. B

    Four Arab nations, US complete Israel summit

    28 March 2022 SDE BOKER, Israel Video courtesy of Al Jazeera The talks centered on shared concerns, particularly over Iran, and on food shortages brought on by the war in Ukraine, which are being felt in Egypt and Morocco, two of the attendees. At a groundbreaking summit in Israel on Monday...
  16. Iran yaionya Israel baada ya kuwaua maafisa 3 wa Mossad

    IRGC warns Israel after missile strike on Mossad bases in Erbil Sunday, 13 March 2022 10:54 AM [ Last Update: Sunday, 13 March 2022 10:55 AM ] Iran's Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) has issued a stern warning to Israel following a retaliatory missile strike on the "strategic center of...
  17. Waziri Mkuu wa Israel akutana na Putin kumaliza mgogoro Ukraine, Marekani yabariki

    Waziri Mkuu wa Israel, Naftali Bennett amekutana kwenye mazungumzo ya saa tatu na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika Jiji la Moscow, Urusi katika harakati za kutatua mzozo wa Urusi na Ukraine, mazungumzo hayo yamepewa baraka na Utawala wa Marekani. Mazungumzo hayo ya kidiplomasia yamesimamiwa...
  18. S

    Israel yakataa maombi ya Ukraine juu ya msaada wa silaha vita

    Israel imekataa maombi ya kujikaririkariri ya rais wa Ukraine, Ze Comedian Zelensky, kuipatia nchi yake silaha ili kupambana na majeshi ya Russia. Rais huyo kaomba shehena ya silaha hizo alipompigia simu waziri mkuu wa Israel. Israel imesema haitaki kuhusika kupeleka msaada wa silaha kwa...
  19. J

    Nchini Israel kesi siyo lazima ifike mwisho Jaji anaweza kufanya maamuzi katikati ya kesi ili kuokoa muda, Tanzania tujitahidi tufike huko!

    Wakati mwingine mwenendo wa kesi na ushahidi vinakupa majawabu mwisho wa kesi utakavyokuwa. Ndio Israel ili kutopoteza rasilimali muda na fedha za walipakodi wakatoa fursa ya kumaliza kesi pale Jaji na marafiki wa mahakama watakapojiridhisha ushahidi "uliokwisha" tolewa unatosha kujenga...
  20. Israel yaishambulia Syria kujibu mashambulizi ya anga

    Jeshi la Israel limesema lilishambulia betri za makombora nchini Syria baada ya kombora la kutungulia ndege kurushwa kuelekea Israel wakati ambapo televisheni ya taifa ya Syria iliripoti kuwa ni shambulio la awali karibu na Damascus Shirika la Reuters linaripoti . Msemaji wa jeshi alikataa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…