iringa

Iringa is a city in Tanzania with a population of 151,345 (as of 2012). It is situated at a latitude of 7.77°S and longitude of 35.69°E. The name is derived from the Hehe word lilinga, meaning fort. Iringa is the administrative capital of Iringa Region. Iringa Municipal Council is the administrative designation of the Municipality of Iringa.
Iringa has been one of the coldest regions in Tanzania due to its geographical location but that has attracted a lot of tourists from colder regions abroad especially Western Europe. Iringa also hosts one of Africa’s largest national parks the Ruaha National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majiji na watu walioyashikilia kiuchumi,

    DAR - Watu wa Kilimanjaro, Pemba, Njombe, Kigoma, Mara, Mwanza, n.k. MWANZA - Watu wa Simiyu na Mara. ARUSHA - watu wa Kilimanjaro wamedominate sana Mbeya - Watu wa Njombe Dodoma na Tanga sijajua
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

    Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana. Sasa sijui ndiyo masharti ya...
  3. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Iringa wanakula mbwa?

    Ningependa kujua kama kweli iringa wanakula mbwa maana naskia , iringa nyama bei rahisi kg 1 ya nyama ni elfu 2 Watu wa Iringa nipeni majibu.
  4. M2flan

    JamiiForums Tanzania FRIDGE (aina ya Boss inauzwa Iringa)

    .
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Hali ilivyo mkoa wa Iringa

    Mkoa wa Iringa asubuhi ya leo 9 Disemba 2025 katika siku ambayo ni Sikukuu ya Uhuru Nchini
  6. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 SMS moja iliwanyamazisha Wanahabari wengi wa Iringa wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Mwaka 2025 umeacha kovu ambalo halitafutika kirahisi si tu kwa sisi walaji wa habari, bali kwa Wanahabari wenyewe ambao wamejikuta wakivunjwa moyo, wakinyimwa nafasi ya kutumia kalamu zao, na wakidhalilishwa hadharani katika taaluma waliyoiamini. Katika kipindi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania RC Kheri James awahakikishia usalama wanafunzi wapya wa vyuo Iringa

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewahakikishia wanafunzi wote wanaotarajiwa kujiunga na vyuo vikuu mkoani humo kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kuwa hali ya ulinzi na usalama ni shwari, huku akisisitiza kuwa serikali imeweka mazingira rafiki kwa kujifunzia na kuishi Kheri James ametoa kauli...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Wananchi Mafinga (Iringa) waandamana kupinga kinachoendelea nchini

    Hali iko hivi huko Mafinga. Wananchi wamejitokeza kushiriki maandamano
  9. Stroke

    JamiiForums Tanzania Iringa mnipokee shemeji yenu.

    Tayari nimeshaharibu kwa dada yenu. Mhehe. Sasa mimi na nyie dugu tayari. Hii ni baada ya wamatengo wa songea na waluguru wa Morogoro. Naam, zaeni mkaongezeke.
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya maeneo ya Iringa kumetapakaa matangazo ya kuhamasisha watu kuandamana Oktoba 29, 2025

    Katika baadhi ya maeneo Mkoa wa Iringa kumeonekana matangazo yalibadikwa yakieleza au kuhamasisha maandamano ambayo yatafanyika Oktoba 29, 2025 ambapo pia siku hiyo itakuwa ni siku ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu! Katika hayo mabango yameeleza kwanini watu waandamane? Moja ya sehemu ambapo...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania KERO University of Iringa (UoI) Wanataka tuwape Elfu Arobaini ya Joho. Ni wizi

    University of Iringa - UoI, Wanataka tuwape Elfu Arobaini ya Joho. Ni wizi mkubwa. Joho unavaa halafu halafu baadaye jioni unarudisha. Waziri wa Elimu tusaidie japo tutoe Elfu nane. Chuo cha Iringa wameanza wizi. Majoho wanayo na sisi wanafunzi wao. Je, wametugeuza Mtaji?
  12. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Iringa: TAKUKURU yazungumza na Wazee wa Kimila kuhusu Kuzuia Rushwa katika Uchaguzi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Iringa imekutana na Baraza la Mila na Desturi la Wazee wa mkoa huo kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kutambua na kufichua vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao. Lengo kuu ni kuwawezesha wazee hao kuwa walinzi wa maadili ya...
  13. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Padre aliyedai ametekwa, hakutekwa. Alisafiri mwenyewe kwa basi na kwenda Mbeya

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia padre Jordan Kibiki wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mafinga, kwatuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa, SACP Allan Bukumbi, amethibitisha kukamatwa kwa padre huyo na kueleza kuwa uchunguzi wa...
  14. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Utekaji kule Iringa mchana kweupe

    Imeoneshwa kule x video inayozubguka mitandaoni majitu kama sita hivi yakimzingira nakumbeba jujuu mtu mmoja na kumuingiza kwenye gari rangi nyeupe na kutokomea naye huko yanakowapeleka wengine. Mshangao ; 1. Tukio lometokea mchana kweupe 2. Kulikuwepo watu waliokuwa wanatazama na kurecord...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara watatu wakamatwa na laini za simu 94 wakituhumiwa kufanya utapeli Iringa

    Jeshi la polisi Mkoa wa Iringa limewakamata Innocent Moshi (30), mfanyabiashara na mkazi wa Tenguru Mkoa wa Arusha na wenzake wawili wakiwa na laini 94 za mitandao mbalimbali ya simu wakizitumia kujipatia fedha kwa njia ya Udanganyifu. Akitoa taarifa kwa vyombo vya Habari Kamanda wa Polisi Mkoa...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watoto wa marehemu Mzee Augustino Ilomo wamuomba RC Iringa kuingilia mgogoro wa mirathi

    Sarah Agustino Ilomo, mmoja wa watoto wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa Iringa, marehemu Mzee Augustino Ilomo, amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, kuingilia kati mgogoro wa mirathi unaotishia kupoteza mali zote zilizoachwa na baba yao. Sarah anadai kuwa, licha ya juhudi...
  17. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkuu wa Majeshi amshukuru Rais Samia kwa kuunga mkono uboreshaji wa miundo mbinu ya mafunzo Jeshini

    Wakuu! Ni mimi tu au nyie mmeona? Hivi sasa Polisi wameendelea kupokea vitu vingi sana, kama magari, kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi, jambo linaibua maswali mengi, kwanini sasa hivi? Je, ni kwa nia njema au kuna ajenda ya kisiasa nyuma yake? ==== Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania...
  18. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa kulipia maji Iringa uwe automatic Mtu ukilipa tu maji yaanze kutoka

    Mimi ni Mwananchi kutoka Iringa, kero yangu kubwa ni kwa IRUWA (Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iringa (IRUWASA) kuna wakati tunanunua maji token hazirudi siku moja mpaka mbili. Hii ni kero kubwa sana kwangu na kwa wengine, nashauri mfumo wa kulipia maji uwe automatic mtu...
  19. pangalashaba

    JamiiForums Tanzania KERO Vifusi barabara ya mitaa ya Isoka A na Isoka B kuelekea Hospital ya Wilaya ya Iringa mjini kutosambzwa zaidi ya mwezi

    Vifusi vilivyopo katika mitaa tajwa hapo juu vimekuwa kero kwa wananchi wa mitaa hiyo kwani ndiyo barabara kuu waitumiayo kwenda Hospital ya Wilaya, Frelimo katika manispaa ya Iringa. Vifusi hivyo vilimwaga tangu July 2025 lakini havijasambazwa mpaka leo hii. Wananchi wa mitaa hiyo wanapata...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania RC Iringa: Kuna maafisa wanafokea wananchi, kama huna majibu ya maswali aliyokuuliza mwananchi usimfokee

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ameonya na kukemea tabia ya Watumishi na maafisa wa Serikali kuwafokea na kuwatokea kauli mbaya Wananchi pindi wanapohitaji huduma, huku akisema kuwa kufanya hivyo ni utovu wa Nidhamu na kwenda kinyume cha Misingi, taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma...
Back
Top Bottom