iran

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa vifaa vya kijeshi vya Mmarekani kutazamwa upya?

    Hivi inawezekana vipi makombora dhaifu ya Muiran yaweze kupenya mifumo imara ya ulinzi wa anga ya Marekani bila kukumbana na kizuizi chochote. Kama hili limewezekana basi siku za taifa teule hapo mashariki ya kati zitakuwa zinahesabika.
  2. JamiiForums Tanzania Ufaransa yazuia ndege zake kwenda nchini Iran

    Wakati Jeshi la Marekani likitoa comment. "The Pentagon has sent six B-52 strategic bombers to the military base on the Indian Ocean island of Diego Garcia, which is beyond the range of Iran’s ballistic missiles, to prepare to hit Tehran if given the order." Shirika la Ndege la Ufaransa...
  3. JamiiForums Tanzania Kama hakuna Wamarekani waliouawa katika mashambulizi ya makombora ya Iran, basi Marekani haitokuwa na haja ya kujibu mashambulizi

    Mara tu baada ya mashambulizi kutekelezwa katika kambi mbili za kijeshi zinazotumika na majeshi ya Marekani nchini Iraq, Rais wa Marekani, Donald Trump alikuwa alihutubie taifa la Marekani kwa mujibu wa taarifa rasmi lakini mara baada ya kikao maalumu na maafisa wa ngazi za juu wa masuala ya...
  4. JamiiForums Tanzania Uingereza yalaani shambulio la Iran

    LONDON - Uingereza imelaani shambulio la kombora la Iran kwenye kambi za kijeshi nchini Iraq zilizokuwa zikikaribisha vikosi vya muungano vinavyoongozwa na Marekani pamoja na wafanyakazi wa Uingereza. "Tunalaani shambulio hili kwa misingi ya jeshi la Iraqi inayoshikilia Ushirikiano - pamoja na...
  5. JamiiForums Tanzania Ndege ya Ukraine iliyokuwa na Watu takribani 180 yaanguka nchini Iran. Hakuna aliyepona

    Ndege ya Ukraine iliyokuwa imebeba watu 180 pamoja na Wafanyakazi wake imeanguka karibu na Mji Mkuu wa Iran, Tehran dakika tatu baada ya kuruka ikitokea katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Khomeini. Katika video ambayo haijadhibitishwa iliyowekwa na Shirika la Habari la BBC inaonesha ndege...
  6. JamiiForums Tanzania Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

    Iran imerusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani Chaneli ya Taifa ya Iran imesema, Jeshi la Kimapinduzi la Nchi hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuzishambulia kwa makombora kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati

    Jeshi la Iran limesema kuwa limejipanga kutumia makombora ya masafa ya kati na ya mbali kuzishambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati ikiwa ni mpango wa kulipa kisasi kutokana na mauaji ya jenerali wa kikosi maalum cha Iran, Qassem Suleiman aliyeuawa na Marekani wiki...
  8. JamiiForums Tanzania Unafikiri kisasi cha Iran kitaelekezwa wapi?

    I
  9. N

    JamiiForums Tanzania Pentagon is ready to destroy Iran atomic bomb

    Mambo yanaanza kuwa serious. Pentagon wanaonekana waki warm-up hizo ndege.
  10. JamiiForums Tanzania Putin invites Merkel to Russia over Iran crisis

    The German Chancellor will travel to Russia to meet President Vladimir Putin this coming Saturday. The pair plan to discuss the Iran escalation as well as the conflicts in Ukraine, Libya and Syria. Russian President Vladimir Putin on Monday invited German Chancellor Angela Merkel to Russia...
  11. JamiiForums Tanzania Haya sasa vijana mliokuwa na ndoto ya kuwa wanajeshi ila ndoto hizo zikafa, US na Iran itakuwa suluhisho

    Yes, kwa nchi zenye utulivu na ukosefu wa ajira kama Tanzania vijana wengi hupenda kuwa wanajeshi. Changamoto wanazokutana nazo ni matumizi mabaya ya ofisi na madaraka, hivyo basi mpaka ndugu wa Maafisa waishe, mpaka ndugu wa wenye fedha waishe ndipo utazamwe mtoto wa maskini. Vyombo vya ulinzi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano Iran/Teheran

    Waandamanaji wengi sana! An imaginary situation, USA akidondosha ka bomu kamoja katka utitiri huo, ataua wangapi! Kitatokea nini? Trump amesema " I will hit back severely if Iran retaliates". Tuombe, let each party restraint from acting as per his wishes.
  13. JamiiForums Tanzania Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

    Katika hali isiyo ya kawaida na isiyotarajiwa Iran imepandisha bendera nyekundu ikiashiria ishara ya vita kuu. Kikosi cha mapinduzi ya kiislam kimeapa kulipa kisasi na kutoa jibu kali kwa Marekani. Tujiandae kushuhudia moto ukiwaka. Taarifa zaidi; Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran imepandisha...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Trump: Marekani itashambulia kwa nguvu na haraka sehemu 52 za Iran iwapo itagusa sehemu au Mmarekani katika kulipa kisasi

    Rais Trump amesema ameorodhesha maeneo 52 ya Iran watakayoyashambulia kwa nguvu na haraka iwapo ataguswa Mmarekani au eneo lolote la Marekani kama kulipa kisasi Jana, Iran yenyewe ilibainisha kuwa imeorodhesha maeneo 35 ya Marekani watakayoshambulia kulipa kisasi cha kifo cha aliyekuwa Kamanda...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani kutoa kipigo zaidi kwa Iran

    Juhudi za kimataifa zinaanza huku Rais Donald Trump wa Marekani, ambaye binafsi aliagiza mauaji hayo ya Jenerali Soleimani, akiitishia Iran kwamba nchi yake itavishambulia vituo muhimu 52 kwa Iran endapo Jamhuri hiyo ya Kiislamu itaamuwa kulipiza kisasi. Akitumia jukwaa lake maarufu la mtandao...
  16. JamiiForums Tanzania Iran Inachekesha sana /hatuiwezi USA tutamshtaki kimataifa

    On Iranian TV, @JZarif says assassination of Qassem Soleimani, "was clearly a terrorist action" and #Iran "will launch various legal measures at the international level to hold America to account." Steve Herman on Twitter Nashangaa mbona tumeambiwa atalipiza Kisasi, lakini kinachoongelewa ni...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Marekani wanamkumbuka Sadam Hussein .Sadam alikuwa anawakomesha IRAN watajutia

    Sadam Hussein ailiuliwa kwa ajiki gani haswa.Mbona watamkumbuka sasa
  18. N

    JamiiForums Tanzania Trump anataka kukata internet Iran

    USA ni mwisho wa safari they own internet .Trump amesema tukitoa internet tutawamaliza. Obama alikata internet siku moja kuwaadhibu North Korea.walitapatapa in a day.
  19. JamiiForums Tanzania Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

    Qasem Soleimani, Jenerali wa vikosi vya kikurdi vinavyoungwa mkono na Iran, ameuawa na vikosi vya Marekani nchini Iraq. Pentagon imethibitisha kuwa aliuawa kufuatia "amri ya rais". Hayo yamejiri kufuatia ripoti ya mashambulio katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Baghdad, ambayo ilisema...
  20. JamiiForums Tanzania Amnesty: Waandamanaji 304 waliuawa Iran mwezi Novemba

    Shirika la utetezi wa haki za binaadamu la Amnesty International limesema takribani watu 304 waliuawa katika siku tatu za ukandamizaji dhidi ya waandamanaji nchini Iran mwezi Novemba. Awali shirika hilo lilikadiria watu 208, wakiwemo watoto wawili wa umri wa miaka 15 na 17. Lakini Iran...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…