Rais Trump: Marekani itashambulia kwa nguvu na haraka sehemu 52 za Iran iwapo itagusa sehemu au Mmarekani katika kulipa kisasi

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Rais Trump amesema ameorodhesha maeneo 52 ya Iran watakayoyashambulia kwa nguvu na haraka iwapo ataguswa Mmarekani au eneo lolote la Marekani kama kulipa kisasi

Jana, Iran yenyewe ilibainisha kuwa imeorodhesha maeneo 35 ya Marekani watakayoshambulia kulipa kisasi cha kifo cha aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds, Qassem Soleimani

=====
Donald Trump has warned he has a list of "52 Iranian targets" that would be "hit very fast and very hard" should Iran strike any Americans or US assets in retaliation for the killing of Major General Qassem Soleimani.

"Iran is talking very boldly about targeting certain USA assets as revenge for our ridding the world of their terrorist leader who had just killed an American, & badly wounded many others, not to mention all of the people he had killed over his lifetime, including recently hundreds of Iranian protesters," the US president wrote on Twitter.

"He was already attacking our embassy, and preparing for additional hits in other locations. Iran has been nothing but problems for many years.

F6469F18-008A-430D-A6DC-1A9A65AD7823.jpeg

"Let this serve as a WARNING that if Iran strikes any Americans, or American assets, we have targeted 52 Iranian sites (representing the 52 American hostages taken by Iran many years ago), some at a very high level & important to Iran & the Iranian culture, and those targets, and Iran itself, WILL BE HIT VERY FAST AND VERY HARD.

"The USA wants no more threats!"

Mr Trump went on to say that the US has recently spent "two trillion dollars on military equipment".

"We are the biggest and by far the BEST in the World! If Iran attacks an American Base, or any American, we will be sending some of that brand new beautiful equipment their way...and without hesitation!" he tweeted.

Iran's foreign minister Javad Zarif responded to Mr Trump's threats, saying they were a breach of international law.

He tweeted: "Having committed grave breaches of international law in Friday's cowardly assassinations, @realdonaldtrump threatens to commit again new breaches of jus cogens; targeting cultural sites is a war crime; whether kicking or screaming, end of US malign presence in West Asia has begun.

"Those masquerading as diplomats and those who shamelessly set to identify Iranian cultural & civilian targets should not even bother to open a law dictionary.

"Jus cogens refers to peremptory norms of international law, ie international red lines. That is, a big(ly) 'no no'."
 
Kumekucha, tunasubiri retaliation ya Iran.

Trump kasema Iran akithubutu tu kushambulia Marekani basi Marekani itashambulia sites 52 ikiwakilisha mateka 52 wa Marekani walioshikiliwa na Iran kwenye Ubalozi wa Marekani.

=====
Trump says US ready to strike 52 Iranian sites if Tehran attacks

1578220080409.jpeg

President Trump has warned the US is "targeting" 52 Iranian sites and will strike "very fast and very hard" if Tehran attacks Americans or US assets.

The president's remarks followed the US assassination of Qasem Soleimani, a top Iranian general, in a drone strike.

Soleimani's killing was a major escalation between the two nations, and Iran vowed to take "severe revenge".

Writing on Twitter, Mr Trump accused Iran of "talking very boldly about targeting certain USA assets".

He said the US had identified 52 Iranian sites, some "at a very high level & important to Iran & the Iranian culture", and warned they would be "HIT VERY FAST AND HARD" if Tehran struck at the US.

The president said the targets represented 52 Americans who were held hostage in Iran for more than a year from late 1979 after they were taken from the US embassy in Tehran.

Shortly after the president's tweets were posted, the website of a US government agency appeared to have been hacked by a group calling itself "Iran Cyber Security Group Hackers". A message on the American Federal Depository Library Programme site read: "This is a message from the Islamic Republic of Iran.

"We will not stop supporting our friends in the region: the oppressed people of Palestine, the oppressed people of Yemen, the people and the Syrian government, the people and government of Iraq, the oppressed people of Bahrain, the true Mujahideen resistance in Lebanon and Palestine, [they] will always be supported by us."

The web page contained a doctored image of President Trump, depicting him being hit in the face and bleeding at the mouth. "This is only small part of Iran's cyber ability!" read text on the site.

What happened earlier on Saturday?

Mr Trump's tweets followed a huge funeral procession for General Soleimani held in Baghdad, where he was killed in a targeted drone strike on Friday as he left the airport in a convoy. Mourners waved Iraqi and militia flags and chanted "death to America".

Several rocket attacks shook the area shortly after the procession, including one in the Green Zone near the US embassy. The Iraqi military said nobody had been hurt.

No group immediately claimed responsibility for the rocket attacks. Pro-Iranian militants have been blamed for other recent attacks.

Soleimani's body arrived back in Iran on Sunday, the country's IRIB news agency reported.

Source: BBC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Donald Trump wa Marekani ameonya kuwa Nchi yake itayashambulia haraka na vikali maeneo 52 ya Iran iwapo Iran itamshambulia hata Raia mmoja wa Marekani ili kulipiza kisasi kwa mauaji ya Jenerali Qassem Soleimani.

Trump amesema Marekani ina vifaa bora vya kivita na vyombo bora vya usalama kuliko Nchi nyingine yoyote Dunani kwahiyo haiko tayari kuendelea kutishwa na Iran.

Kauli ya Trump imekuja kufuatia onyo la makundi ya wanamgambo yanayoiunga mkono Iran la kuvishambulia vituo vya Marekani nchini Iraq kutokana na mauaji ya kamanda huyo muhimu wa jeshi la Iran.

Katika ishara za mwanzo za uwezekano wa kulipa kisasi, makombora mawili yalilipiga eneo moja karibu na ubalozi wa
Marekani nchini Iraq, mengine mawili yaliishambulia kambi inayohifadhi Wanajeshi wa Marekani lakini hakuna athari kubwa zilizoripotiwa.

NINI MAONI YAKO?
 
Hamna kitu hapo, Iran hawezi lipiza kisasi haraka haraka hivi.

Na itakapofika wakati wa Iran kulipiza kisasa hawezi yeye kama yeye kulipiza direct badala yake atavitumia vile vikosi vya kigaidi anavyovidhamini kuihujumu America

Kwasasaivi Iran yupo kwenye temper ya ajabu na hawezi Fanya chochote, na endapo akijitoa ufaham akajaribu, ndio utakuwa mwisho wa utawala wa kina Ayatollah Ali Hossein Khamenei wa miaka 41 sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lkn D.Trump hajawahi kuiita Iran ,,shit hole country” kama alivyokuita wewe Mwafrika, kwanza Muzungu anamuheshimu Persia zaidi kuliko wewe Mwafrika, hivyo usijidanganye na kufikiri wewe ni Muzungu, uko chini kabisa na mwisho wewe kama Mwafrika kwa Muzungu, na ndo maana unaitwa ,,shit hole”!
 
Hahah ye mwenyewe Trump alikimbia kwenda Vietnam akiona kabisa hapa kufa ni nje nje.

Ila hio ndio inatakiwa,wkt watoto wake wakiwa pale Trump tower wakitiana watoto wa kimaskini wa US wataaminishwa wao ni wazalendo na wanapigana kwa ajili ya uzalendo wa nchi yao.

Wazee wa TAKBIIIIIIIIIIIIIIIIIR wanawasubiri kwa hamu.
Aiseee,kwa hiyo kama watoto wake sio Wanajeshi wataendaje vitani. Naona Pro Iran sasa mmekosa cha kujitetea

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lkn D.Trump hajawahi kuiita Iran ,,shit hole country” kama alivyokuita wewe Mwafrika, kwanza Muzungu anamuheshimu Persia zaidi kuliko wewe Mwafrika, hivyo usijidanganye na kufikiri wewe ni Muzungu, uko chini kabisa na mwisho wewe kama Mwafrika kwa Muzungu, na ndo maana unaitwa ,,shit hole”!
Alafu kweli pamoja na uadui wote sijawahi kusikia akitoa matamshi ya dharau dhidi ya Iran kama anavyo fanya kwa waafirika.
 
Hamna kitu hapo, Iran hawezi lipiza kisasi haraka haraka hivi.

Na itakapofika wakati wa Iran kulipiza kisasa hawezi yeye kama yeye kulipiza direct badala yake atavitumia vile vikosi vya kigaidi anavyovidhamini kuihujumu America

Kwasasaivi Iran yupo kwenye temper ya ajabu na hawezi Fanya chochote, na endapo akijitoa ufaham akajaribu, ndio utakuwa mwisho wa utawala wa kina Ayatollah Ali Hossein Khamenei wa miaka 41 sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi kwa waangalia mieleka muwe mnamfatilia Trump hata kwy mieleka alivyokuwa anawafanya watu kule. Akimkamata Ayatollah Ali Khamenei lazima wakamuweke kwy banda la nguruwe na awe anapikiwa nguruwe mwanzo mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Donald Trump wa Marekani ameonya kuwa Nchi yake itayashambulia haraka na vikali maeneo 52 ya Iran iwapo Iran itamshambulia hata Raia mmoja wa Marekani ili kulipiza kisasi kwa mauaji ya Jenerali Qassem Soleimani.

Trump amesema Marekani ina vifaa bora vya kivita na vyombo bora vya usalama kuliko Nchi nyingine yoyote Dunani kwahiyo haiko tayari kuendelea kutishwa na Iran.

Kauli ya Trump imekuja kufuatia onyo la makundi ya wanamgambo yanayoiunga mkono Iran la kuvishambulia vituo vya Marekani nchini Iraq kutokana na mauaji ya kamanda huyo muhimu wa jeshi la Iran.

Katika ishara za mwanzo za uwezekano wa kulipa kisasi, makombora mawili yalilipiga eneo moja karibu na ubalozi wa
Marekani nchini Iraq, mengine mawili yaliishambulia kambi inayohifadhi Wanajeshi wa Marekani lakini hakuna athari kubwa zilizoripotiwa.
............
NINI MAONI YAKO?
Watashinda wote.
Maana marekan wakishambulia Iran wata jibu na kuzuia naona Iran itaandaa mpango mkubwa wa kigaidi kuwahi tokea kwenye hist ya dunia
 
Watashinda wote.
Maana marekan wakishambulia Iran wata jibu na kuzuia naona Iran itaandaa mpango mkubwa wa kigaidi kuwahi tokea kwenye hist ya dunia

Wewe USA will be attached from where ,Mexico ?? USA sasa wana control Iraq
 
Back
Top Bottom