iran

  1. Trump: Kiongozi mpya wa juu wa Iran hatadumu bila idhini yake.

    Rais wa Marekani amesema kiongozi anayefuata wa juu wa Iran “hatadumu muda mrefu” ikiwa Tehran haitapata idhini yake kwanza ili kuchukua nafasi ya Ayatollah Ali Khamenei aliyeuawa katika shambulio la anga siku ya kwanza ya vita. “Atalazimika kupata idhini kutoka kwetu,” Trump aliambia ABC News...
  2. Nimelia jinsi Iran inavyopigwa mabomu

    Nimelia kuona Teheran ikipigwa mabomu kila mahali,natamani watawala wajisalimishe wananchi wapate nafuu
  3. S

    Iran wanashindwa nini kulipiza kisasi kwa kumuua Netanyau?

    Kama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao? Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku...
  4. Ni vigumu sana Iran kutawaliwa na US na Israel watapigana mpaka mwisho naaamini.

    Hainiingii akilini kuwa eti makombora na mabomu yanaweza kuibadili uongozi au mfumo wa utawala Iran. Hata mtoto mdogo atakataa, Iran inaweza kupigana vita vya muda mrefu historia inaonyesha,wana uvumilivu wana nguvu na wana bidii,kama wamevumilia vikwazo toka enzi ya Mapinduzi kwanini...
  5. Houthi mbona kimya hawamsaidii Iran.

    Wale wanamgambo wala mirungi wa Yemen tangu Iran kubondwa na Wateule na Marekani wamekuwa kimya kulikoni? Ni zaidi ya wiki sasa hata kimondo hawajarusha kuelekea ardhi tukufu, takatifu na teule. Wamemuachia tu mwenzao Hezbollah anayejitahidi kurusha vimondo kinyonge. Houthi waache uwoga bana...
  6. Iran Wakianza Kushambuliwa Vituo na Maghala ya Mafuta, Hapo Vita Itakuwa Imeisha

    Iran Wakianza Kushambuliwa Vituo na Maghala ya Mafuta, Hapo Vita Itakuwa Imeisha Sidhani kama kwa sasa Iran wanategemea sana vifaa vya kijeshi vinavyotumia umeme. Kwa kiasi kikubwa, mifumo mingi ya kijeshi duniani ikiwemo ya Iran bado inategemea mafuta kama dizeli, petroli, na jet fuel...
  7. Marekani na Israel hawataweza kubadali mfumo wa utawala wa Irani kutoka Sharia hadi Demokrasi bila kuweka vikosi vya ardhini ndani ya Irani.

    Uthabiti wa kimfumo na kiutawala ndani ya serikali ya jamuhuri ya Iran. Uthabiti huo utawawia vigumu mno Marekani na mshirika wake Isarael kubadili kabisa utawala wa sharia za kiislam unaotumika na kuimpose utawala wa kidemokrasia. Ili kufanikisha hilo, ni sharti kwanza pawepo na vikosi vya...
  8. Ghafla iran imeanza kuchangamka! Tazama waalivyoishambulia ndege ya kivita ya IAF kwa ujasiri

    min -me secretarybird naona mmeamka sasa😁
  9. Iran Inavyotazamwa

    https://youtu.be/_ISTsBrxXF4?si=NLMcrnIJdbgr2z0N
  10. H

    Iran Yanyong'onyea, Yawaomba Msamaha Nchi Jirani. Trump Asema Marekani Itafanya Shambulizi Kubwa Leo

    Iran, baada ya kauli za kibabe kuwa atapiga nchi zote marafiki wa Marekani Mashariki ya kati, baada ya kurusha makombora hovyo hovyo kwa nchi za kiarabu, na Waarabu kuamua kuwa na kikao kesho ili kupambana kwa pamoja dhidi ya Iran, leo Rais wa Iran ameyaomba radhi mataifa jirani. Iran's...
  11. Marekani hawana demokrasia ya kweli ; ofisa katolewa nje kama mbwa kisa kupinga vita dhidi ya Iran

    Mzuka wana jamvi . Nimeshangaa Marekani inayosifika kwa demokrasia na uhuru wa maoni Jana nimeona clip ya ofisa mstaafubwa jeshi akitolewa kwa nguvu kama takataka kisa kupinga Marekani kutumia na Israel kuingia vitani kipuuzi. Jamaa alivyoanza kupiga spana tu polisi walimtoa nje kwa nguvu...
  12. SI KWELI Waisreal wanakimbia nchi yao kuukwepa moto wa Iran

  13. Rais wa Iran aziomba radhi nchi jirani walizoshambuliwa

    KATI YA AJENDA ILIYOKUWA IKIMTESA IRAM WALIAMBIWA KABLA YA MAZUNGUMZO YOYOTE AOMBE RADHI NCHI JORA. ALIZOZIPIGA TUENDELEE HATIMAE 🚨 Iran's President Masoud Pezeshkian apologised on Saturday to neighbouring countries for attacks launched during the Islamic republic's war with ‘Israel’ and the...
  14. Iran imesitisha mashambulizi kwa nchi za kiarabu kwa masharti. Mashambulizi kwa Israel na Marekani yataendelea kama kawaida

    Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida...
  15. Meli nyingine ya kivita ya Iran yatorokea India na kuomba hifadhi, hali tete, nyambizi za Marekani zinawinda balaa

    India yathibitisha kupokea meli ya Iran iliyokimbilia huko baada ya kutoroka mapambano, nyambizi za Marekani zinawinda chochote chenye ishara ya Iran. India has allowed an Iranian warship to dock as a humanitarian gesture, Foreign Minister Subrahmanyam Jaishankar says, after the US sank another...
  16. Iran: Tunasubiri majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia mlango wa bahari wa Hormuz

    Wanaukumbi. Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: -Tunasubiri uwepo wa majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz - Tunawakumbusha Wamarekani juu ya kuchomwa kwa meli ya mafuta ya Amerika Bridgeton mnamo 1987… ================ BREAKING: IRAN...
  17. Meli ya kivita ya Iran yakimbia nduki na kuomba hifadhi Sri lanka

    Baharini hapakaliki tena, kuna nyambizi ya Marekani inapita chini kwa chini ikisaka meli za Iran, mpaka sasa zimelipuliwa 25, kuna moja nahodha wake aliona isiwe tabu katoka nduki na kukimbilia usalama Sri Lanka, taifa la Mabudhist, au mnaopenda kuwatukana kwa kuwaita makafir licha ya kwamba...
  18. Trump: "Kutakuwa hakuna makubaliano yoyote na iran isipokuwa kujisalimisha bila masharti"

    “Hakutakuwa na makubaliano yoyote na Iran isipokuwa kujisalimu amri bila masharti (UNCONDITIONAL SURRENDER). Baada ya hapo, na baada ya kuchaguliwa kwa kiongozi au viongozi bora na wanaokubalika, sisi pamoja na washirika na marafiki wetu wengi wazuri na jasiri tutafanya kazi bila kuchoka...
  19. TB Joshua alitabiri kichapo cha Iran tokea Israel miaka 12 iliyo pita

    KWELI UNABII LAZIMA UTIMIE ============ Tarehe 5 Februari 2012, mchungaji marehemu Temitope Balogun Joshua (TB Joshua) alitoa unabii akizungumzia mvutano kati ya Iran na Israel, akionya kwamba mvutano huo unaweza kugeuka kuwa vita kubwa na kuhusisha mataifa mengine duniani kama vile United States.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…