iran

  1. Iran: Wanafunzi Vyuo Vikuu na Sekondari wachachamaa kupinga udhalimu wa kidini, huku serikali ikilaumu Marekani na Israel

    Badala ya rais na mayatollah wasklize wananchi wao, wameamua kulaumu Marekani na Israel..... DUBAI, United Arab Emirates (AP) — Iranian President Ebrahim Raisi on Tuesday appealed for national unity and tried to allay anger against the country’s rulers, even as the anti-government protests that...
  2. Mpaka sasa watu 133 wamekufa Iran kwenye maandamano ya kupiga uonevu wa kidini

    Maandamano bado yanaendelea, wananchi wamechoka kulazimishwa kufuata sheria za kidini zinazowadhulumu, mwanamke kuuawa kisa kijisehemu cha nywele kimeonekana..... Wanaendelea kuuawa ila wameamua hiyo damu haitamwagika bure. On September 30, people gathered after Friday prayer in Zahedan to...
  3. Polisi wanaosimamia Sharia za kiislamu waondoka mitaani Iran baada ya waandamanaji kuchachamaa hawataki

    Sasa hivi wameondolewa mitaani sababu waandamanaji wasiotaka kuvaa ajabu wanawafanyia Fujo na kupigwa mawe nk Sasa hivi hawapo mitaani kabisa .Wako tu Askari wa kawaida wa dini hawajulikani wamepotelea wapi!! Watu sasa wanawake wengi wanatembea bila hijab mchana kweupe Source: Aljazeera
  4. Wadada wa Iran wametuzidi akili Watanzania?

    Inakuwaje wadada wameongoza maandamano kwenye nchi yenye sheria, msimamo mkali? Imekuwaje hadi sasa wameendelea na hayo maandamano bila kujali nani atakufa au madhara gani yatatokea? Je, kupitia maandamano wataweza fanikisha lengo lao? Watanzania twashindwa nini? Sent from my M2006C3LG using...
  5. CPJ: Wanahabari wasiopungua 28 wanashikiliwa na polisi katika maandamano yanayoendelea dhidi ya serikali ya Iran

    Hadi kufikia Alhamisi Septemba 29, 2022, Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) limerekodi kukamatwa kwa waandishi wa habari wasiopungua 28 nchini Iran wakati wa maandamano ya nchi nzima kupinga kifo cha Mahsa Amini. Mapema wiki hii, CPJ ilitoa wito kwa mamlaka za Iran...
  6. Maandamano Iran: Mpaka sasa wamekufa 83, maandamano yanaendelea, wamechoka uonevu wa kidini

    Tangu mwanamke auawe na mapolisi kisa kipande cha nywele kuchomoza nje ya hijab, raia wa Iran wameamua liwalo na liwe, wamechoshwa na uonevu wa kidini, wanaendelea kufa, itabidi labda serikali ya kidini iwaue wote. ===== Iranians have defied crackdowns and showed up for protests in cities...
  7. Iran: Waliouawa katika maandamano wafika 76

    Inaelezwa kuwa idadi hiyo imefikiwa ndani ya siku 11 na shutuma zikienda katika vyombo vya usalama, ambapo Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Iran (IHR) limedai nguvu kubwa inatumika kuzuia maandamano . Mamia ya waandamaji wakishikiliwa, 20 kati yao wakiwa waandishi wa habari na yameendelea...
  8. Iran: Wananchi waandamana kuunga mkono mfumo wa Kiislam

    Mkusanyiko wa mamilioni ya watu wa Iran; kufukuzwa wafanya ghasia na Umma wa Mtume Mtukufu (saw) ======== Wananchi wa mikoa tofauti ya Iran siku ya Jumapili, ambayo ilisadifiana na siku ya kukumbuka kifo cha Mtukufu Mtume (saw) na mkuu wake Imam Hassan Mujtaba (as), walifanya mkusanyiko wa...
  9. Maandamano Iran: Vifo vyafikia 41 baada ya kisa mwanamke kufia mikononi mwa polisi kwa 'kutojisitiri'

    Nchi inaendelea kuwaka moto, watu wamechoshwa na uzombi wa kidini, na badala ya serikali kutafuta suluhu imekimbilia kulaumu Marekani na Israel kama ilivyo mazoea yao. ========= The number of people killed in Iranian protests that were sparked by the death of a woman in police custody rose to...
  10. Maandamano Iran: Hadi watu 35 wamekufa baada ya mwanamke kufia mikononi mwa polisi

    Mwanamke kuuawa kisa kijisehemu cha nywele zake kilionekana wazi, imesababisha wa-Iran waseme imetosha, uzombi wa kidini hawautaki tena. Miji 80 ya Iran inatamalaki waandamaji. Nilishangaa sana FaizaFoxy anatetea huu ukatili kwa wanawake wenzake kisa mzuka wa kidini. ===== Large protests...
  11. B

    Iran wanaposimama imara, lakini si Watanzania

    Wa Iran wanawake kwa wanaume wamesimama imara kupigania haki zao. Hijab haziwahusu wanaume ila haki za wanawake ni jukumu la wote. Kwetu haki zina macho. Ubinafsi umetamalaki. "Kwetu polisi na wauwe watakavyo alimradi watasema wameuwa panya road hiyo ni sawa." Mbaya zaidi ubinafsi huo...
  12. J

    Marekani kubadili vikwazo kuwawezesha wananchi wa IRAN kupata taarifa.

    Serikali ya Marekani imepanga kubadili baadhi ya vikwazo iliyoiwekea nchi ya Iran ili kuwawezesha wananchi wa Iran kupata uwezo wa kukwepa mifumo ya kiudukuzi na inayozuia wananchi kuweza kupata taarifa. Hatua hii ya Marekani imekuja kufuatia kifo cha mwanadada wa Kikurdi nchini Iran...
  13. Iran kunazidi kufuka moshi, kamanda adungwa kisu na kufa kwenye maandamano

    Raia wa Iran wamechoka na sheria za kidini za kumzuia mwanamke asionekane nywele, hii ni baada ya mdada mmoja kuuawa kisa kaonyesha sehemu ndogo tu ya nywele zake. Japo Waajemi au Persians wana akili, IQ zao huwa zimewazidi Waarabu na ndio maana wamefikia mpaka kwenye hatua za kutaka...
  14. Tovuti za serikali ya Iran zadukuliwa

    kama njia moja ya kupinga tukio la kumuua mwanamke kisa kaonyesha nywele zake, wadukuzi wamepiga chini tovuti za serikali ya Iran. Tehran, Iran – Several Iranian government and state-affiliated media websites are down after a Twitter account linked to the “Anonymous” hacker collective claimed...
  15. Vifo vyazidi kuripotiwa Iran kwenye maandamano ya kupinga mauaji ya mwanamke kisa hakusitiri kichwa

    Maelfu waendelea kuandamana kupinga kisa cha mwanamke kuuawa kwa kutokuficha nywele zake kama dini ya waislamu inavyoagiza. Wanawake wameamua kuonyesha nywele kabisa.. Iran has come under pressure since the 22-year-old woman died in police custody. Iran's President Ebrahim Raisi, meanwhile...
  16. Iran inakosa wataalamu wa nyuklia kwasababu wanafunzi wanaiogopa Israel

    Iran inaelekea kuishiwa kabisa wataalamu wa nyuklia kwasababu wanafunzi katika vyuo wanaogopa kusoma nuclear science. Hii imechangiwa na operesheni za Israel ambapo wataalamu wa mambo hayo wamekuwa wakiuawa.
  17. Iran: Wanawake wavua hijab kulalamika mauaji ya mwenzao kisa sheria ya dini

    Wanawake wanaendelea kujitoa mhanga kama wafe basi wafe wote, mwenzao aliuawa kisa hakua amesitiri kichwa kama inavyotakiwa kwa dini ya waislamu, wameamua kuvua hijab na kuacha vichwa wazi liwalo na liwe. ============ A massive anti-hijab revolution has broken out in Iran after women came out...
  18. Iran: Watu 36 wajeruhiwa katika maandamano kupinga kifo cha mwanamke ambaye alishikiliwa na polisi kwa kutositiri kichwa

    Mataifa yanayoongozwa kidini huwa kama mazombi vile, mwanamke anauawa kisa tu hakufunika kichwa, watu wamejeruhiwa kwenye maandamano ya kupinga mauaji hayo. ====== At least 36 people have been injured in the Kurdistan Region of Iran, in the northwest of the country, during protests sparked by...
  19. Drones za Iran zashindwa kusaidia Urusi, zaanza kupigwa chini na Ukraine

    Urusi ataomba msaada wapi kwingine maana msaada aliopewa na Iran umebuma.... U.S. intelligence publicly warned back in July that Tehran planned to send hundreds of the bomb-carrying drones to Russia to aid its war on Ukraine. While Iran initially denied it, the head of its paramilitary...
  20. Albania: Taasisi za serikali zapigwa na shambulio la mtandao, Iran yatajwa

    Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Ndani imekiri kupata shambulio hilo lililolenga mifumo ya Utumishi wa Umma na Serikali nchini humo ikiwemo mifumo ya kompyuta ya Polisi. Waziri Mkuu Edi Rama ameishutumu Iran kwa kuelekeza mashambulizi hayo dhidi ya taasisi kadhaa yaliyotajwa kufanywa ili kulemaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…