iran

  1. M

    JamiiForums Tanzania Israel yajibu shambulio Lebanon

    Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo linalokaliwa na israel ambapo Hesbollah wamekanusha kufanya shambulio hilo. kupitia ukurasa wao wa X...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Israel yajibu shambulio Iran

    Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo linalokaliwa na israel ambapo Hesbollah wamekanusha kufanya shambulio hilo. kupitia ukurasa wao wa X...
  3. W

    JamiiForums Tanzania inakuaje Nchi zinaungana kuipiga Israel lakini inashindikana, Yemen, Iran, Lebanon, Syria, Palestina hawaoni aibu?

    Na hapo kumbuka Israel inapigana kwa tahadhari ku target zaidi magaidi ili kupunguza casualities za civilians zisizokwepeka, ni tofauti na nchi hizi zingine ambazo hushambulia zaidi raia wa kawaida wa Israel, lengo lao huwa ni kuua raia wa Israel wengi kadri inavyowezekana. Hii sio mara ya...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Taasisi za wanawake Iran washinikiza wanawake wawili wanaharakati wasinyongwe

    Taasisi za utetezi wanawake nchini Iran zinashinikiza utawala wa nchi hiyo kutowanyonga wanawake wawili wafungwa wa kisiasa waliopewa hukumu ya kifo hivi karibuni.
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kabla uchaguzi kufanyika Marekani.Yatajwa kuna njama za kumuua Trump.Aongezewa ulinzi.Naye asema ataifuta Iran kwenye uso wa dunia.

    Dunia itaendelelea kuwa sehemu ambayo si salamu kwa watu kuishi kwa utulivu muda wote ambao Marekani na Israel zitaendelea kuwa washirika wa karibu. Hivi karibuni kulifanyika jaribio la kumuua mgombea uraisi wa Marekani na ambaye amewahi kuwa rais,bwana Donal Trump.Jaribio hilo lilifanywa na...
  6. Ritz

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Netanyahu anaishtaki Iran katika Congress waingie vitani

    Wanakumbi. Kila kitu kiko tayari kwa vita dhidi ya Iran - Benjamin Netanyahu Netanyahu alipokea shangwe (moja ya WENGI) wakati wa hotuba yake kwa Congress: "Dunia yetu iko katika hali ya msukosuko. Katika Mashariki ya Kati, mhimili wa ugaidi wa Iran unaikabili Marekani, Israel na marafiki...
  7. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Komandoo wa Iran wateka meli ya UAE iliyokuwa inapeleka Mafuta Israel

    Komandoo wa Iran wameikamata meli ya Falme za Kiarabu iliyokua inapeleka Mafuta na gas kwenye meli za Kivita za Israel. Wakati huo huo Yemen wamesema watakilipua kisima Cha mafuta Cha Israel kilichopo baharini ⚡️BREAKING Iranian commandos seized a UAE-run vessel carrying marine gas oil for...
  8. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani ichukue hatua Kali kwa viongozi wa Iran kwa kuharibu kuua wanasiasa na viongozi wa Marekani

    Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya Kiislamu ya Irani. Sisi wapenda amani tunaomba serikali ya Marekani ichukue hatua Kali sana dhidi ya...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Iran yakanusha kuhusika na jaribio la Mauaji ya Donald Trump

    Serikali ya Iran imekanusha madai ya Idara za Usalama za Marekani kuwa nchi hiyo ilihusika na jaribio la mauaji dhidi ya Rais wa zamani na Mgombea Urais wa Republican, Donald Trump ambaye alinusurika katika shambulio la risasi iliyomjeruhi Sikio Julai 13, 2024. Inaelezwa kuhusishwa kwa Iran...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran wamewaambia UN iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"

    Wanakumbi. MPYA: 🇮🇷🇮🇱 Iran katika Umoja wa Mataifa: "Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah" Iran imesema katika Umoja wa Mataifa kwamba iwapo Israel itaanzisha vita vikali dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon...
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Hesboullah mbona Israel kama anawaogopa kuliko Iran?

    Siku ninavyoenda naona kama wanazidi kupata nguvu. Nimeona wamepost video ya drone iliyokusanya maeneo yote umya kimkakati ya Israel ikiwemo vyanzo vya maji. Satellite immage ikionyesha mameli katika bandari ya haifa, ambayo hadi sasa live yako vilevile. Nomeona wamepiga picha za kambi za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa urais Iran: Waislamu tuungane kuitetea Gaza

    Mmoja wa wagombea wa urais nchini Iran ametoa mwito kwa Waislamu kuwa na umoja na mshikamano katika kulitetea taifa madhulumu la Palestina, hasa wakazi wa Ukanda wa Gaza wanaokabiliwa na mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel tokea Oktoba mwaka jana 2023. Mostafa...
  13. Christopher Cyrilo

    JamiiForums Tanzania Israel vs Iran - 2

    ISRAEL vs IRAN - 02 Sehemu ya 2 Na Dr. Chris Cyrilo Mapinduzi ya mwaka 1979 yaliyoondoa utawala wa Shah, na kuifanya Iran kuwa chini ya utawala wa kiislamu wa dhehebu la Shia, yalifuta ndoto ya Iran kupata silaha za kinyuklia. Utawala wa kishia, uliokuwa chini ya Ayatolla Khomeini ulijikuta...
  14. Christopher Cyrilo

    JamiiForums Tanzania Israel Vs Iran

    ISRAEL vs IRAN -01 Nimetamanani kuleta makala hii kutoka kwenye kitabu changu cha ISTILAHI ZA UHALIFU NA USALAMA, ili watu wajifunze na kujadili wakiwa na taarifa ambazo naamini awaki hawakuwa nazo. Dr. Chris Cyrilo Sehemu ya I Ndani ya jengo la makao makuu ya shirika la kijasusi la Mossad...
  15. 100 others

    JamiiForums Tanzania Iran imetangaza kulipiza tena Kisasi kwa Israel baada ya shambulizi huko Syria

    Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar. Shambulizi hilo la anga ambalo limetokea Aleppo juzi June 3 limeua watu 17 ambao inaelezwa ni wapiganaji...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Israel yaua Jenerali mwingine wa Iran nchini Syria

    Shambulizi linalodaiwa kufanywa na Israel karibu na mji wa Aleppo nchini Syria mapema jana Jumatatu, lilimuua jenerali wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Saeed Abiyar, chombo cha habari cha Tasnim cha Iran kinaripoti. Tasnim inamuelezea Abiyar kama mshauri, neno ambalo hutumia...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Rais wa Palestina amsuta kiongozi wa dini wa Iran kuhusu vifo vya Wapalestina

    Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa 36,000 na 83,000 kujeruhuwa kwenye vita ambavyo havina umuhimu kwao. ============================...
  18. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania IAEA: Iran atakuwa na Bomu la Nuclear Wiki moja kuanzia leo tarehe 27 May 2024

    Hii ndio habari iliyoletolwa leo na Shirika la atomic duniani AIEA. Nuclear ndio silaha ya maangamizi bora kuliko silaha zote zilizowahi kutokea duniani mpaka sasa. Kwa minajili hiyo kwa sasa eneo la mashariki ya kati kutakua na nchi 2 (japo moja ni nchi fake) zenye silaha za maangamizi za...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Bomu lapiga karibu na ubalozi wa Iran, Syria na kuua mtu wa karibu sana na Iran

    Mtapigwa tu, juzi rais wenu ameliwa milimani, tena kwenye ndege tatu, ya kwake ndio ilichaguliwa, wiki haijaisha bomu limepiga karibu na ubalozi. One dead after explosion reported near Iranian embassy in Damascus - report By JERUSALEM POST STAFF Published: MAY 25, 2024 10:37Updated: MAY 25...
  20. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania kamikaze drones za ukrain ni hatari kuliko zile za iran

    Kuna watu watabisha ila ukweli uwezi semwa kwa kipigo wanachokipata urusi na drone za kamikaze za ukraine. Hii teknolojia inaonenyesha kuwa na makali sana maana si rahisi kuikamata kama lile bajaji drone la iran. https://www.youtube.com/watch?v=IO4_fzKiycA...
Back
Top Bottom