iran

  1. IRAN: Tulikuwa tayari, tupo tayari na tutatoa majibu yatakayokumbukwa na historia!

    Iran: ▪️ Adui ana ndoto ya kwamba ameharibu mitambo yetu ya nyuklia lakini tulikuwa tayari tumeshagundua njama zake tangu mwezi Machi! ▪️ Tulihamisha kwa wakati nyenzo zote muhimu na kuziweka sehemu salama. Urani bado ipo chini ya udhibiti wetu kamili; adui anapiga mahandaki na moshi mtupu...
  2. B

    Je, USA kuivamia Iran ili kumuunga mkono Israel kwenye vita inayoendelea ni mwanzo WW3

    Binafsi ninaona kitendo cha USA kuipiga Iran km sehemu ya kuungana na Israel ni mwanzo wa vita kuu ya 3 ya dunia. Kwanza Washirika wote wa Iran akiwemo Russia ilishaonya mapema mpango wowote wa USA kuingia moja kwa moja ktk hiyo vita. Pili, kwa mjibu wa sera za Iran nchi yoyote ikiivamia...
  3. Mashine hii hapa, Iran nehi nehi, Marekani ina silaha za hatari sana ambazo dunia haijui

    Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi. Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.
  4. Marekani na Marafiki zake wameishaingia kwenye Mtego wa Iran. Hakuna rangi wataacha kuona

    Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni. Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila...
  5. Jemedari wa Iran akionesha namna ya kukwepa Mabomu ya Israel na Marekani

    Huyu ana demonstrate kitaalamu jinsi ya kukwepa wasiuliwe na mabomu ya makafir ya Mayahudi na Mamarekani kwa kupiga msamba aka kusambika. Hii mbinu imeonekana ni nzuri na inafaa. Na ukimwangalia jemedari. Si haba. Mashallah.
  6. D

    Madhara ya shambulio la Iran kwa Israel leo

    Kwa bahati mbaya Iran wao hawaoneshi kinachotokea kwao. Sijui Wana Hali gani Wallah..!
  7. Kuna member aliwahi kusema Iran ikiguswa, ina uwezo wa kutuma maelfu ya makombora kwa mpigo, niliogopa sana

    Mikwara ya makobaz humu kuna wakati hunibabaisha sana, muda wote nilikua na uwoga hawa jamaa labda kuna kitu wanakijua ambacho hatukijui, aidha labda Iran ina uwezo wa kubonyeza na kufyatua makombora 3,000 kuelekea Israel au kuna kitu watafanya na kuishangaza dunia. Kuna kuguswa gani kwingine...
  8. BAKWATA toeni tamko kulaani mauaji Iran

    Tunawasihi Baraza Kuu BAKWATA litoe tamko yanayoendelea Iran na nn kifanyike baada ndugu zetu wanauawa kama kuku.
  9. Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

    Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia. Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo...
  10. Iran aliapa kuwa mfalme wa jihad duniani, sultan wa msimamo wa itikadi kali na mshindi wa chuki dhidi ya mamlaka za kikristu, kihundu na kiyahudi.

    Basi kwa namna hio aliandaa kimya kimya njia za kutetemesha mamlaka ambazo hakuzipenda. Alifadhili machafuko kwa namna ambayo hakuonekana alihusika na walileta maafa makubwa. Kila mkono wa ugaidi duniani haswa wa kutoka mashariki ya kati unashikwa na Irani kwa asilimia zaidi ya 65% Mamlaka ya...
  11. Iran inatumia akili gani kujisifia kwamba ilishaficha madude ya nyuklia na kwamba Marekani hakupiga kitu

    Yaani mtu uko mnyonge, halafu mbabe wako amekuja akakupiga akiamini una kitu fulani, ukapigika haswa, mbabe akaondoka akiamini amekupiga, baadaye unajisifia unasema ooohhh hicho kilisababisha unipige hukukiona, nimeshakificha sehemu......Ina maana mbabe anapata sababu tena za kugeuza aendelee...
  12. Rais Trump anampenda sana Mungu: Sikiliza alivyohitimisha hotuba yake baada ya kuvisambaratisha vinu vya nyuklia – Iran

    Katika hotuba yake aliyoitoa Ikulu - White House, mara baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya vinu vya nyuklia vya Iran, Rais Donald Trump amehitimisha hotuba hiyo kwa maneno ya kugusa sana moyo, yanayoonesha wazi kuwa anamcha Mungu kwa dhati na kutambua uongozi wake mkuu. Namnukuu...
  13. U

    Trump: Ama kutakuwa na amani au msiba kwa Iran; tumebakiwa na malengo mengi

    Trump: Ama kutakuwa na amani au msiba kwa Iran; tumebakiwa na malengo mengi Na Jacob Magid Fuata Leo, 5:18 asubuhi "Hili haliwezi kuendelea. Kutakuwa na amani au kutakuwa na janga kwa Iran kuliko tulivyoshuhudia katika siku nane zilizopita," Rais wa Marekani Donald Trump anasema katika hotuba...
  14. U

    US kashambulia hewa Iran ilihamisha Kila kitu kwenye vinu vya nuclear vilivyopigwa

    1 hour ago Iran says the three nuclear sites attacked by US had been evacuated "The Islamic Republic had evacuated the three nuclear sites some time ago," Iran's state TV reported after the US announced airstrikes on the Fordow, Natanz, and Isfahan nuclear facilities.
  15. Trump: Marekani imevishambulia vinu vya nyuklia vya Iran

    Rais Trump wa Marekani amesema kuwa Marekani imeshambulia site tatu za mitambo ya nyuklia ya Iran vilivyoko Fordow, Natanz na Isfahan huku akiwaonya Iran kutolipiza kisasi Pia Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amepongeza hatua ya Rais Trump akiiita “uamuzi wa kishujaa” na kusema kuwa...
  16. Vichekesho vya Afrika: Waislamu wote wanadai Iran itashinda, Wakristo wanadai Israel itashinda.

    Wa Afrika mmerogwa na nani? Mmeshindwa kubaini wasio julikana wanaowateka na kuwaangamiza ndugu zenu mnakaa kusimuliana hekaya ambazo hata haziwahusu. Kama haitoshi miaka nenda rudi ndugu zenu wa Congo wanaishi kama digidigi lakini hakuna anayejali. Natamani kuwaita kenge weusi nyie sema JF...
  17. Israel yaanza kuwinda meli za kijeshi za Iran

    Ndege zinaruka na kujipigia chochote, hamna Kinga wala namna ya kuzuia, zinapiga popote na chochote, kwa utashi wa rubani, yeye ndiye anaamua apige nini akiwa huko angani.... Israel's military is striking drone storage facilities located at an Iranian naval base in Bandar Abbas, a strategic...
  18. Ndege za Iran aina ya F-14 zalipuliwa, hamna kinachosazwa

    Mambo yamekua mengi sijui tufuatilie ipi, Iran anachofanyiwa.... The IDF struck three Iranian F-14 fighter jets in central Iran, the Israeli military said on Saturday evening. The military also said the IDF was striking military infrastructure across central Iran, in addition to strikes on...
  19. Kitu gani unaweza kukisema kibaya au kizuri Kwa Israel au Iran bila kuweka mapenzi yako ya kidini?

    Kuna jambo gani unadhani Iran au Israel wanafanya ambalo ni zuri au baya bila wewe kuweka propaganda za mitizamo yako kutokana na dini uliyomo? Kwa mfano mambo haya yafuatayo unayaonaje kuhusu nchi hizo mbili hasimu? 1. Maendeleo ya sayansi na teknolojia. 2. Mifumo ya kidemokrasia 3. Uhuru...
  20. Muda wowote Israeli wanamuua Kiongozi wa Iran hivyo nae kaamua Kuteua Mrithi wake na Wengineo katika Jeshi la Iran

    Kifupi Waisraeli huwa hatunaga Kazi Mdogo. Ukiona hadi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE tokea ajiunge na JamiiForums avatar yake imekuwa ni ile ile ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin BIBI Netanyahu jua nimeshajiridhisha nayo kuwa ni Mtu sahihi halafu tunafanana kwa Characters za AKILI KUBWA, MAONO...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…