iran

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wakiristo watapata shida kwa waislamu

    Muislam kupigania nchi yake hilo haweki silaha chini wala hanyanyanyui mikono juu ya kuomba poo. Anaamini akifa anaenda kustarehe peponi tofauti na wakiristo wao kufa kwao wanaona kama balsa flani
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa jeshi la Iran, Ali Mohammad Naini aliyekuwa anabeza sana naye auawa

    Ukiwa kwenye jeshi au uongozi Iran, usiongee sana, fanya kazi zako kimya kimya maana ukiwa mropokaji unasakwa na kushushiwa kitu, haya huyu hatunaye tena. ------- The IDF confirms killing the spokesman for Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps, Ali Mohammad Naini, in an airstrike in Iran...
  3. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania The financial times: Iran inapata faida kubwa kwenye vita, Urusi yaondolewa vikwazo

    AKILI NI NYWELE, KILA MTU ANA ZAKE! Mbali na kushambuliwa kijeshi, Iran inaingiaza zaidi ya Dola za Kimarekani Milioni 140 kwa siku kutokana na kuuza mafuta yalipanda bei. Hii ni zaidi ya Bilioni 300 za kitanzania kwa siku. Hii inamaanisha kwamba Iran ataendelea kupata mabilioni ya pesa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Mange Kimambi na vita ya Iran na Trump

    Kwa wale ma low IQ ambao bado hawaelewi why niko nyuma ya Rais wangu POTUS on this Iran war mtanielewa in due time……. Kwenye hii vita ya Iran kila mtu anaangalia manufaa ya nchi yake. 1. Wa-Iran wanaotaka nchi yao ipigwe mabomu ili Islam Republic itoke madarakani bila kujali damage...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Iran imetekeleza hukumu ya kifo kwa watu watatu waliokamatwa kufuatia maandamano ya Januari akiwemo Mwanamieleka wa miaka 19

    Utawala wa Kiislamu nchini Iran leo umemnyonga Mwanamieleka (wrestler) wa miaka 19 aitwaye Saleh Mohammadi ambaye alikua mpingaji wa wazi wa utawala huo, pia alikua akihamasisha maandamano kupinga utawala huo. Iran imetekeleza hukumu ya kifo kwa wanaume watatu siku ya Alhamisi baada ya kutiwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hivi USA anataka nini hasa kutoka Iran. Kwani akikifanya Iran vita inaisha

    Mwenye ufahamu anisaidie Hivi USA anataka nini hasa kutoka Iran. Kuwa akikifanya Iran vita inaisha
  7. A

    JamiiForums Tanzania Saud Arabia ameamua kuingia vita na Iran

    https://youtu.be/aVbfiVTauiM?si=abCE4bBfVPTI561e Ujumbe ndio huo swali hapa Atafanya kitu gani akingia vita hahaha ikiwa USA na Israel wamemshindwa Iran iwe Saud Arabia. Walicho kipika USA na Israel ni hicho akingia Saud Arabia na nchi za Gulf states zitaingia halafu USA na Israel wanakimbia...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Je, baadhi ya Viongozi Iran watakuwa wameshtukia huu Mchezo?

    Inaonekana kama mtu anakuchukia, hakupendi Irani kwa sasa au anakuona we ni tishio kwake anapendekeza upewe/uteuliwe cheo flani. Akipendekeza ukiteuliwa au chaguliwa anaanza kukuhesabia siku. Huo ndo uhuni unaofanyika Irani. Mtu hakupendi anakupendekeza upate cheo. Basi baada ya hapo anatulia...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Raia wa Iran asababisha polisi watoke nduki baada ya kuchezesha sauti ya drone

    Wananchi wa Iran wanapata burudani kwa namna mapolisi yao yanababaika kila yakisikia sauti ya drone.... Imekua mazoea kuchezesha hizo sauti za drone karibu na mapolisi ya doria halafu wanachekelea namna inavyokua tafrani. https://www.facebook.com/reel/1451297260343677
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu na Mwigulu Nchemba ni Viongozi wazuri sana. Nashauri wapewe nafasi za juu kuongoza Iran

    Nimewaza tu. Hawa wanafaa sana kuongoza nchi kama Iran. Je kwa nini Iran isije kuazima wakawapa nafasi za juu kule nchini kwao? Na je hawawezi pia kumchukua na IGP wetu naye akaenda kuwa Mkuu wa kikosi cha Bajis? Nadhani katika kipindi hiki Iran ingepata viongozi wa karba hii tulio nao...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Gaidi Ali larijan na mwenzake yamefanyika huko Tehran Iran

    Uwanja wa Mapinduzi mjini Tehran: Mazishi ya Ali Larijani, mwanawe, washirika wake, na kamanda wa Basij waliouawa na Israeli. Adiosamigo gallow bird 100 others gTurn mdogoee lini mnaanua Matanga?
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Israel wanasema sasa Wataanza kuua Viongozi na maafisa wote wa Iran. Wamepitisha hilo Azimio. Ina maana walikuwa bado hawaja anza???

    Nachoka kabisa Mume wenu, Kaka yenu,Ndugu yenu, Rafiki yenu Chizi Maarifa. Nachoka sana. Hawa jamaa wanasema sasa ndo wataanza kuua yaani ile mwanzo ilikuwa ni trailer sasa ndo picha litaanza rasmi. Na wamefanya onesho la mfano kwa kupiga kuangusha jengo ambalo walikuwa wamekutana viongozi wa Iran.
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mpya wa Iran Mojtaba Khamenei yuko wapi?

    Wakati dunia inashuhudia kuuwawa kwa viongozi madhalimu wa huko Iran watu wengi wanajiuliza Kiongozi mpya wa Kidini Ayatollah Mojtaba Khamenei yuko wapi? Kuna watu wengi wanadai jamaa hao hawaogopi kufa sasa huyu Majitaka Khamenei anatafutwa sana kwa nini hajitokezi ili afe shahidi? Adiosamigo...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu awahutubia wananchi wa Iran!!

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu atoa ujumbe kwa watu wa Iran wakati Wafuga Midevu na Majini wanadai amekufa!! "Niko hapa na Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Mkuu wetu wa Majeshi, mkuu wa Mossad, Mkuu wa Jeshi la Anga, makamanda wetu wakuu. Katika saa 24 zilizopita, tuliwaangamiza wakuu...
  15. hamis77

    JamiiForums Tanzania Israel yasema imemuua Waziri wa ujasusi wa Iran, Esmail Khatib

    Iran’s intelligence minister Esmail Khatib Israeli Defense Minister Israel Katz says Iran’s intelligence minister Esmaeil Khatib was eliminated in an overnight strike in Tehran. Katz warns of “significant surprises” expected today across multiple arenas, signaling further escalation against...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Viwanda vya gesi vya Iran vyalipuliwa

    Jameni Myahudi amechafukwa, ukizingatia mindege yake inaruka na kupiga popote... Hakuna aliyejaribu kufuta jamii ya Wayahudi akafanikiwa, hata miungu yote ya awali wakiwemo akina Baal wote walishindwa, maana Jehovah muumba wa vyote ndiye yuko nao....hata mubuni dini yenu leo na kuchukia Israel...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Iran yataka kucheza mechi za Kombe la Dunia nje ya Marekani

    Iran's embassy in Mexico on Tuesday said the country is negotiating with FIFA to move Iran's World Cup matches from the U.S. to Mexico after President Donald Trump discouraged the team from attending the tournament, citing safety concerns. It was already unclear whether such talks were even...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran: Rais Masoud Pezeshkian anakusudia kujiuzulu.!!!!!!

    Rais wa Iran anatarajiwa kubwaga manyanga hivi karibu baada ya yeye kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu. Haya yanajiri kutokana na viongozi wengi wa Iran kuwindwa kama Sungura na Majeshi ya Israel!!
  19. J

    JamiiForums Tanzania Je Unajua ni kwanini Israel Hawasumbuki Kumuwinda na Kumuua Masoud Pezeshkian, Rais wa Iran?

    Masoud Pezeshkian ni Rais wa Iran aliyechaguliwa kwa kura nyingi za Wairani wakitarajia labda kutokana na misimamo yake ambayo haichagizwi na allah na pia mafundisho (hadith) ya Muhammad anaweza leta unafuu ktk kujiamulia maisha yao kwa Uhuru. Pezeshkian aliongezewa ktk orodha ya wagombea urais...
  20. The Dictator

    JamiiForums Tanzania UAE yafikiria kujiunga na Marekani kulinda mlango wa Hormuz / Diplomasia na Iran, tia maji-tia maji

    Dkt. Anwar Gargash, ambaye ni mshauri wa kidiplomasia wa Rais wa UAE, amethibitisha leo (Jumanne, Machi 17, 2026) kuwa UAE inaweza kujiunga na juhudi za kimataifa zinazoongozwa na Marekani ili kulinda usalama wa njia ya maji ya Strait of Hormuz. Gargash alitoa kauli hiyo wakati akizungumza...
Back
Top Bottom