iran

  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu awahutubia wananchi wa Iran!!

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu atoa ujumbe kwa watu wa Iran wakati Wafuga Midevu na Majini wanadai amekufa!! "Niko hapa na Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Mkuu wetu wa Majeshi, mkuu wa Mossad, Mkuu wa Jeshi la Anga, makamanda wetu wakuu. Katika saa 24 zilizopita, tuliwaangamiza wakuu...
  2. hamis77

    JamiiForums Tanzania Israel yasema imemuua Waziri wa ujasusi wa Iran, Esmail Khatib

    Iran’s intelligence minister Esmail Khatib Israeli Defense Minister Israel Katz says Iran’s intelligence minister Esmaeil Khatib was eliminated in an overnight strike in Tehran. Katz warns of “significant surprises” expected today across multiple arenas, signaling further escalation against...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Viwanda vya gesi vya Iran vyalipuliwa

    Jameni Myahudi amechafukwa, ukizingatia mindege yake inaruka na kupiga popote... Hakuna aliyejaribu kufuta jamii ya Wayahudi akafanikiwa, hata miungu yote ya awali wakiwemo akina Baal wote walishindwa, maana Jehovah muumba wa vyote ndiye yuko nao....hata mubuni dini yenu leo na kuchukia Israel...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Iran yataka kucheza mechi za Kombe la Dunia nje ya Marekani

    Iran's embassy in Mexico on Tuesday said the country is negotiating with FIFA to move Iran's World Cup matches from the U.S. to Mexico after President Donald Trump discouraged the team from attending the tournament, citing safety concerns. It was already unclear whether such talks were even...
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran: Rais Masoud Pezeshkian anakusudia kujiuzulu.!!!!!!

    Rais wa Iran anatarajiwa kubwaga manyanga hivi karibu baada ya yeye kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu. Haya yanajiri kutokana na viongozi wengi wa Iran kuwindwa kama Sungura na Majeshi ya Israel!!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Je Unajua ni kwanini Israel Hawasumbuki Kumuwinda na Kumuua Masoud Pezeshkian, Rais wa Iran?

    Masoud Pezeshkian ni Rais wa Iran aliyechaguliwa kwa kura nyingi za Wairani wakitarajia labda kutokana na misimamo yake ambayo haichagizwi na allah na pia mafundisho (hadith) ya Muhammad anaweza leta unafuu ktk kujiamulia maisha yao kwa Uhuru. Pezeshkian aliongezewa ktk orodha ya wagombea urais...
  7. The Dictator

    JamiiForums Tanzania UAE yafikiria kujiunga na Marekani kulinda mlango wa Hormuz / Diplomasia na Iran, tia maji-tia maji

    Dkt. Anwar Gargash, ambaye ni mshauri wa kidiplomasia wa Rais wa UAE, amethibitisha leo (Jumanne, Machi 17, 2026) kuwa UAE inaweza kujiunga na juhudi za kimataifa zinazoongozwa na Marekani ili kulinda usalama wa njia ya maji ya Strait of Hormuz. Gargash alitoa kauli hiyo wakati akizungumza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Michezo ya akili: Wakati uvumi wa kifo cha Netanyahu ukienea, Israel imefanikiwa kuwaua Katibu wa Baraza la Usalama la Taifa la Iran na mkuu wa Basij

    Uvumi wa kifo cha Netanyahu ulipoanza, Israel waliona taarifa hizo zinaweza kutumika kwenye vita. hawakupoteza muda, waligeuza uvumi huo kuwa silaha, kama msemo wa Wazungu unavyosema “ukipewa malimao, tengeneza juice ya lemonade.” Kwa ustadi wa hali ya juu, walitumia taarifa hizo kama chambo na...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

    Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema leo Machi 17, 2026 kuwa mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, ameuawa katika shambulio la Israel. Ali Larijani amekuwa akijulikana kwa miongo kadhaa kama kiongozi mwenye msimamo wa wastani na mtazamo wa kimkakati ndani ya uongozi wa Iran...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Memorial actions for the 168 schoolgirls killed by an American missile in Iran

    Memorial actions for the 168 schoolgirls – the “Angels of Minab” killed by an American missile in Iran – are taking place around the world Activists, civil society groups and children are placing pink backpacks in front of Iranian embassies in several countries. The world is still reeling from...
  11. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Trump akiri kuwa suala la Iran limeshakuwa 'Pasua Kichwa'

    Hii ni kwenye mahojiano na Waandishi siku ya jana ambapo Rais Donald Trump alikiri kuwa changamoto ya kuishughulikia Iran sio rahisi kama wengi wanavyodhani kwani yupo kwenye hali inayomfanya ashindane na watu anaodai; Trump analejerea ugumu wa vita ya Iran kwa hapo ilipofikia. Ni wazi Rais...
  12. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Trump asifungue mwenyewe mlango wa bahari wa Hormuz mpaka anaomba Msaada wakati USA ni Superpower na Iran ishamalizwa kijeshi ?

    Moja kwa moja . Babu Trump ameyatimba inaonekana hii vita aliingia kichwa kichwa bila kupiga hesabu kisawasawa ya all possible scenarios , njia za kuOvercome , pamoja na mbinu za kushinda na kimaliza vita kwa ufanisi . Sasa ameanza kufoka , kuleta bitishonna kutia huruma kuwa mataifa mengine...
  13. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Suala la Iran limeshakuwa gumu? Trump anadai kuna nchi hazina shauku ya kuisadia Marekani

    Suala Iran linaonekana limeanza kuwa gumu kwa Marekani, Trump leo ametema Nyongo na kuzishutumu baadhi ya nchi kutokuwa na shauku za kuisaidia Marekani kutatua changamoto ya mfereji wa Hormuz, licha ya kuwa nchi hizo zilikuwa zinaitegemea Marekani kiulinzi kwa zaidi ya miaka 40. Trump anadai...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kuna Habari za kusikitisha kuhusu Mojtaba Khamenei kiongozi mpya wa Iran!!!

    Baada ya kuponea kwenye tundu la sindano kuuwawa hapo Feb 28,2026 Gaidi Ayatollah Majitaka Khamenei alijeruhiwa vibaya na Hali yake huko alikojificha Inasemekana ni mbaya sana. Taarifa kutoka vyombo mbalimbali huko Israel na Russia zinathibitisha kuwa Hali yake ya ki afya si rafiki kutokana na...
  15. The Dictator

    JamiiForums Tanzania US: Tumeiruhusu meli za mafuta ya Iran kupita katika mlango wa Hormuz

    Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, ameviambia vyombo vya habari kuwa; Marekani imekubali kwa makusudi kuruhusu meli za mafuta za Iran kupita katika Mlango wa Hormuz bila kuzuiliwa kijeshi kwa sasa. Hatua hii imechukuliwa ili kudhibiti bei ya mafuta duniani isipae zaidi (baada ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) inaona mpango wa nyuklia wa Iran kama jambo la binafsi sana?

    Kwa sababu shambulio moja tu la droni kwenye kitu muhimu kama kituo cha kuondoa chumvi kwenye maji ya bahari (desalination plant) au bandari ya biashara linaweza kuleta madhara makubwa kuliko maelfu ya hotuba za kisiasa. Nchi za Ghuba kama UAE zinategemea sana vituo vya desalination kwa maji ya...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Iran kuanza kutumia Nyuklia na Mabomu ya Masafa Marefu kupiga New York

    Kutokana na hali inayoendelea ya hawa Makafir kujipigia kila sehemu watakayo ndani ya Iran na ndege zao kuranda randa nchini. Je mheshimiwa Spika. Huu si wakati mzuri sasa wa kuanza kutumia mabomu ya Nyuklia ambayo tumekuwa nayo mengi sana yanayoweza teketeza dunia nzima na akhera? Lakini je...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mkuu mpya wa Iran Mojtaba Khamenei inasemekana yuko kwenye hali mbaya kiafya

    Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei huenda yuko katika hali ya kukosa fahamu, Marekani yasema ameharibika maumbile. Kiongozi mpya wa Irani aliyeteuliwa, Mojtaba Khamenei, yuko katika hali ya kukosa fahamu na amepoteza angalau mguu mmoja baada ya kujeruhiwa vibaya wakati wa shambulio la anga...
  19. Ritz

    JamiiForums Tanzania Trump aomba msaada kwa mataifa waungane kupigana na Iran kupita Homuz, mataifa nengi yamekataa

    Wanaukumbi. Trump anataka mataifa yaungane washirikiane na Marekani kupeleka majeshi Iran wakapigane kupita mlango wa Homuz Japan imekuwa ya kwanza kukutaaa. Trump alianzisha vita ambavyo sehemu kubwa ya dunia ilikuwa dhidi yake, na sasa anaomba China, Uingereza, Ufaransa, Japan na Korea...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Kwa Iran kurusha makombora Uarabuni yatakua yanajirudia yale ya Gidioni kwenye Bilblia

    Ukisoma Waamuzi 7 kuanzia 22, Wamidiani walidhamiria kuifuta Israel, wakaja wengi mno yaani kwa silaha na kwa walivyokua wamejiandaa, wangeifuta Israel isahaulike, ila Gidioni kwa idadi ya wapiganaji 300 walishtukiza na kupiga tarumbeta usiku, hao Wamidiani wakachanganyikiwa na kuanza kuchinjana...
Back
Top Bottom