iran

  1. JamiiForums Tanzania Iran war, the most powerful business empire in the world was built under sanctions

    IRAN WAR - THE MOST POWERFUL BUSINESS EMPIRE IN THE WORLD WAS BUILT UNDER SANCTIONS (You'll love reading this, don't miss it.) In 1979, a revolution happened in Iran. The new government needed a military force it could trust completely. Not the existing army, those soldiers had sworn loyalty...
  2. JamiiForums Tanzania Trump: Iran Imevunja masharti ya Vita kwa Shambulio Hormuz, Yaonya Kuhusu Kuongezeka kwa Mapigano

    Rais Donald Trump amesema hatua za Iran katika Mlango-Bahari wa Hormuz ni 'ukiukaji kamili' wa usitishaji vita, akiongeza kuwa wajumbe wa Marekani wanaelekea Pakistan kwa mazungumzo na kuonya kwamba ikiwa Iran itakataa makubaliano, Marekani itaongeza mashambulizi kwenye miundombinu muhimu."...
  3. JamiiForums Tanzania Vita Vipya Mbele? Ishara Zaonyesha Kuongezeka Kwa Mapigano, IRAN WALALAMIKA

    Ndege ya Wing of Zion iliondoka Nevatim, na kuzua uvumi wa mapigano mapya. Ripoti za Iran zinadai Tehran imepokea taarifa za kijasusi kuhusu shambulio la kushtukiza la Marekani na Israel baada ya Siku ya Uhuru. Rais wa Iran asema nchi hiyo haitaachana na haki zake za nyuklia licha ya shinikizo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania NIULIZE SWALI: Hii vita ya USA, Israel vs Iran, nani mshindi?

    Mbabe ni nani? Naona kama vile Iran anawapelekesha puta hawa magwiji wa kila kitu duniani! WHO IS THE WINNER Echolima1
  5. JamiiForums Tanzania Iran kuanza ishambulia Marekani hasa katika majiji yake ya New York na Las Vegas?

    Naona haijaanza kutumia yale makombora yake ya masafa marefu mpaka sasa. Inasubiri nini? Marekani imeharibu sana Iran. Iran ya sasa inatembea kwa magongo, inachechemea. Siyo Iran ya miezi 10 iliyopita. Mambo yameharibika sana kijeshi. Sasa nawaza je huu si wakati muafaka wa kuishambulia...
  6. JamiiForums Tanzania Iran wanaweza juta kwa hili maana mapato yao yanategemea meli kutoka na kuingia kupitia hormuz, Marekani wataufunga tena

    kuna ripoti mpya leo kuhusu matukio ya risasi katika Mlango-Bahari wa Hormuz yakihusisha meli za kibiashara. kinachoripotiwa – Aprili 18, 2026: 1. Risasi zilizopigwa kwenye meli ya mafuta karibu na Oman Shirika la UK Maritime Trade Operations (UKMTO) lilisema meli ya mafuta ilikaribiwa maili...
  7. 5

    JamiiForums Tanzania BBC: Meli zashambuliwa Hormuz, nyengine zageuza baada ya onyo la Iran

    Inaonekana US hawako tayari kwa maridhiano, mlango ulifunguliwa rasmi lakin US wakaendelea kupaki meli zao huko bahari kuu sasa umefungwa tena rasmi.
  8. JamiiForums Tanzania Iran Yamkemea Trump Vikali

    Wanaukumbi. 🇮🇷 IRAN IMEMKEMEA TRUMP KWA UKALI "Tangu vita hivi vianze, dunia imezama katika uvumi na kauli za kipuuzi. Viongozi huzungumza kwa uhuru, wengine kwa ukweli, wengine bila. Tuweke sawa hili, uranium ya Iran ni mali ya Iran. Ni jukumu letu, nishati yetu, haki yetu ya uhuru. Sababu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran atoa statement nzito kwa dunia

    Wanatuita magaidi, lakini wao ndio magaidi halisi. Wanachinja mtu yeyote, popote, wakati wowote wanapotaka, na kisha wanazungumzia haki za binadamu. Aibu kwao." Rais wa Iran
  10. M

    JamiiForums Tanzania Iran imetufunza jambo kama taifa

    Kwamba umoja, mshikamano na kujipanga kiteknojia na kijeshi ni jambo muhimu sana. Wananchi kukataa Propaganda za wanaharakati na nchi za magharibi ndio msingi wa uzalendo. Tujifunze kwamba sote ni binaadam, hakuna mwenye nguvu wala mdogo, umoja na mshikamano hakuna lisilowezekana
  11. JamiiForums Tanzania Hakuna jipya chini ya jua: Kinachomkuta Marekani nchini Iran kiliwahi wakuta watangulizi wake

    Huwa nalipenda sana somo la historia. 1. Ukisoma historia kwa kina utafahamu ukweli kwamba hakuna jipya chini ya jua. 2. Yote unayoyafanya yalishafanywa na wenzako huko nyuma. 3. Wewe unachofanya ni kujenga juu ya msingi wa mwingine tu. 4. Wanaoamini kwamba historia ina vitu vipya ni...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Requests World Bank Funds To Cushion Iran War Shock

    Kenya has requested rapid financial support from the World Bank to help it manage the shocks from the war in Iran, its central bank governor ‌told Reuters on Thursday. Like other nations that are heavily reliant on energy imports, the East African country is scrambling to stave off shortages of...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu atoa neno kuhusu Iran na Lebanon

    Kauli ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuhusu Lebanon na Iran. "Tuna fursa ya kuunda makubaliano ya kihistoria ya amani na Lebanon. Rais Trump anakusudia kunialika mimi na Rais wa Lebanon ili kujaribu kuendeleza makubaliano haya. Fursa hii ipo kwa sababu, tangu 'Vita vya Ukombozi,'...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Netanyahu anaendelea kutambea mitaani lakini viongozi wa Iran wanajificha sana tofauti na wanavyoongea mbele ya maiki hawaogopi kufa ?

    Hadi sasa kumuona kiongozi wa Iran, Mojtaba Khamenei, Imekuwa ni ngumu sana, yupo mafichoni. Baada ya baba yake kuuawa kwenye mashambulizi ya Marekani na Israel, Amekuwa kama ninja wa gizani, hajaonekana hadharani tangu achukue madaraka, Mahali alipo hata haijulikani wazi Netanyahu anaendelea...
  15. JamiiForums Tanzania FALSE Viral video claiming missile strike on Iranian leader’s residence

  16. M

    JamiiForums Tanzania Baadaya Trump kuwasaidia Iran kufunga njia, Marekani ndie msambazaji mkubwa wa mafuta duniani, Hakuna tozo ya kuingia wala hofu ya kulipuliwa na Iran

    https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116384077225474834 Trump ameichapisha mwenyewe. Ramani inaonyesha wazi. Meli kubwa za mafuta Supertanker tupu (VLCC), kila moja ikiwa na uwezo wa kubeba mapipa milioni 2 ya mafuta, sasa hivi zinakimbilia Pwani ya Ghuba ya Marekani. Hormuz...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Trump alazimisha mazungumzo na Iran

    Kwa mara ya kwanza tangu ktk historia Rais wa Marekani amekuwa akiongea kila dakika. Leo anazungumza hivi kesho hivi. Leo ameomba mazungumzo tena na Iran
  18. JamiiForums Tanzania POTOSHI Bunge la Iran limetangaza kuongeza mishahara April 2026, kwa wafanyakazi baada ya vita

    kumekuwepo na chapisho ambalo limechapishwa na baadhi ya watumiaji wa mitandao ya facebookk wakiwa na ujumbe unao nukuu kuwa bunge la iran limetangaza kuongeza mishahara baada ya vita katika chapisho hilo ambalo lina nukuu inayosomeka "Baada ya Bunge kuidhinisha sheria mpya ya Malipo kada ya...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kwenu wachambuzi wa Mashariki ya Kati ( Iran, Israel na Marekani)

    Nimefuatilia Chambuzi nyingi hapa Tanzania, zinaegemea Iran na kuilaumu marekani kwa kitendo chake cha kuivamia Iran kuwa ni uchokozi pamoja na ubabe! Swali lenu wachambuzi 1: Mbona hamuongelei mauaji yanayofanywa na magaidi duniani wenye msimamo mkali wa kidini huko nigeria, Lebanon, huthi...
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa Iran aziomba Ufaransa na Uingereza kuishawishi Marekani irudi kwenye meza ya mazungumzo kumaliza vita

    Iran’s President Masoud Pezeshkian urged Europe to play a more active role in pushing the United States toward an agreement, saying diplomacy remains the best way to resolve disputes, according to state media. In a call with France’s President Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran was ready to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…