Ukifuatilia vizuri Iran ameshika adabu kuigusa Israel, na Netanyahu anatamani sana kuguswa akinukishe.
Iran kashambulia Waarabu wote tangu mwezi wa 6 ila hajaigusa Israel, sasa hivi Wahouthi wanaishambulia Saudia kila Siku, ila wamesema hawagusi meli za Israel.