iran

  1. Fundi mahiri wa Ujenzi

    Kumbe ile zawadi ambayo Trump aliisema amepewa na Iran ni huyo kamanda wa jeshi la majini

    Dunia ina mambo. RIP kamanda
  2. Archival Sense

    “There is No Reason to Increase Fuel Prices” – Minister Nankabirwa (VIDEO)

    Uganda’s Minister of Energy and Mineral Development, Ruth Nankabirwa, has issued an update on the country’s fuel prices and supply, discouraging oil marketing companies from making unjustified price increases. In a statement, Hon. Nankabirwa said Oil Marketing Companies (OMCs) have no reason to...
  3. L

    USA na mkakati kuidhoofisha nchi za Gulf kupitia Iran

    USA hashindwi kumaliza vita na Iran kwa siku tano tu. Kama ameua so call Ayatollah kwa sekunde arobaini kuwapigq iran just a 5 days. But kwa nini ana delay, lengo ana mprovoke iran ili aendelee kuwashanbulia jirani zake. Unajua why.... Uchumi wa nchi za gulf umekuwa mkubwa sana hilo siyo...
  4. Webabu

    Iraq imeamua kuungana na Iran kupigana na Marekani

    Moja ya nchi ambazo zimewahi kuonja madhara ya kupigwa na Marekani ni Iraq ambayo kwa sasa imeonesha kuchoka na ujanja wa taifa hilo. Hapo juzi makao ya vikosi vya PMF ambavyo ni sehemu ya jeshi la Iraq lenye misimamo ya kimapinduzi ya Ian yalishambuliwa na kuuawa kwa wanamgambo...
  5. M

    Inakuaje viongozi wa Iran wanauawa sana, ni kwamba hawawezi kujilinda au wanafeli wapi ?

    Imeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana. Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ? Ali Khamenei — Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Shamkhani — Mshauri Mkuu wa Kiongozi Mkuu Ali Larijani — Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa...
  6. Echolima1

    Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr aliyeshika nafasi ya larjan aangamizwa

    .Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr, aliyechukua nafasi ya Larijani, kuna uwezekano mkubwa aliangamizwa jana usiku baada ya maficho yake kusambaratishwa!!
  7. Webabu

    Kumbe Marekani inajisemesha mwenyewe. Haizungumzi na Iran

    Vyombo vya ulinzi vya Iran na viongozi wao baada ya kuulizana wote wamesema hakuna mwenye taarifa ya kuwepo kwa mazungumzo na Marekani kama alivyosema raisi Trump ili kumalizia vita kati yao. Kama madai hayo ni kweli basi Marekani tayari imepata ule ugonjwa tunaouona barabarani kwa watu...
  8. R

    Marekani kuwasilisha mpango wa Vipengele 15 Kumaliza vita, Iran yadai hakutakuwa na Makubaliano kamwe

    Jeshi la Iran limekanusha taarifa za kuwepo kwa mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran, na kuibua mashaka kuhusu mpango wa amani wenye vipengele 15 unaodaiwa kuwasilishwa na Ikulu ya Marekani. Ebrahim Zolfaghari, msemaji mkuu wa jeshi la Iran Makao Makuu Khatam Al-Anbiya, ametoa hotuba...
  9. Wakusoma 12

    Trump amedai Iran imetoa “zawadi kubwa” kwa Marekani

    Rais Trump amedai kuwa Iran imeipa Marekani kile alichokiita “zawadi kubwa sana” kupitia wajadiliana wake, akihusisha suala hilo na mafuta na gesi. Kwa mujibu wa Trump, makubaliano hayo yanahusiana na eneo nyeti la mlango wa bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani. Hata...
  10. Mohamed Said

    Vita Vya Iran: Kujikwaa Kwa Marekani na Israel

    https://youtu.be/PdXjNx7rleo?si=9vAls46PFIyAfj_Y
  11. MALCOM LUMUMBA

    Mkurugenzi mstaafu wa ujasusi Uingereza: Iran amemzidi Marekani kwenye hii vita

    Mwaka 1907 Balozi wa Uingereza nchini Ujerumani Eyre Crowe aliaandaa andiko zito "The Crowe Memorandum" na kulituma London. Mle ndani alisema kwamba Ujerumani inakusanya chuma na mainjiania kwa siri, jambo ambalo linaashilia kwamba wanategengeza silaha na kujiandaa kijeshi. Mwaka 1907...
  12. M

    Ni kwanini wakati huu serikali ya Iran imelazimika kupandisha mishahara ghafla kwa asilimia 60% ?

    Nini kio nyuma ya pazia ? Serikali ya Iran imetangaza hatua kubwa ya kuongeza mishahara. Waziri wa Kazi, Ahmad Midari, amethibitisha kuidhinishwa kwa ongezeko la asilimia 60 ya mshahara wa chini wa kitaifa. Kuanzia sasa, malipo ya mwezi yanapanda kutoka dola 75 (shilingi 190,000) hadi...
  13. JaxenDL

    Watoto 208 wauawa Iran kwa mashambulizi ya Marekani na Israel

    (CHANZO CHA PICHA, REUTERS) Mkuu wa huduma za dharura anasema idadi ya watoto waliouawa nchini Iran tangu vita kuanza Februari 28 imeongezeka hadi 208. Katika taarifa ya video iliyochapishwa na mtangazaji wa kituo kinachomilikiwa na serikali IRIB, Jafar Miadfar alisema kwamba kati ya watoto 208...
  14. O

    Inawezekana Kuna Mgawanyiko wa Madaraka Iran baada ya kufanyika mazungumzo kati ya Marekani na wawakilishi wa siri wa Iran

    Kauli za Donald Trump kuhusu mazungumzo kati ya Marekani na Iran zinaonekana kuwa na ukweli fulani, lakini ndani yake kuna muktadha mpana unaohusisha mgawanyiko wa madaraka ndani ya Iran yenyewe. Nchi hiyo haionekani tena kuwa na msimamo mmoja, hasa kutokana na ushawishi mkubwa wa Islamic...
  15. Mohamed Said

    Vita Vya Iran na Vitisho Vya Donald Trump Vya Saa 48

    https://youtu.be/FoGNAGeY-uM?si=pdhjydsSkPd8r8fq
  16. M

    Iran: Hakuna mazungumzo yoyote kati ya Tehran na Washington

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Hakuna mazungumzo yoyote kati ya Tehran na Washington. Kauli za Rais wa Marekani ziko katika muktadha wa juhudi za kupunguza bei za nishati na kupata muda wa kutekeleza mipango yake ya kijeshi. Ndiyo, kuna hatua zinazochukuliwa na baadhi ya nchi za kikanda...
  17. R

    Iran yasema hakuna mazungumzo kati yake na Marekani, yadai ni njama za Trump

    Muda mfupi baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutangaza kusitisha kushambulia vinu vya nishati vya Iran kwa siku tano, Wizara ya mambo ya nje ya Iran imesema hakuna mazungumzo kati yao. Imedai kauli ya Trump iko katika muktadha wa juhudi za kupunguza bei za nishati na kama njia ya kupata...
  18. JaxenDL

    Trump asema mazungumzo yalifanyika kuhusu 'suluhisho kamili la uhasama' na Iran

    CHANZO CHA PICHA, EPA Maelezo ya picha, Trump Donald Trump anasema kumekuwa na "mazungumzo yenye tija" kuhusu "suluhisho kamili " kwa mzozo wa Mashariki ya Kati. Anasema "ataahirisha mashambulizi yoyote dhidi ya mitambo ya nishati ya Iran na miundombinu ya nishati" kwa muda wa siku tano...
  19. Waufukweni

    Trump asitisha mashambulizi Iran kwa siku 5 "Tumezungumza"

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kusitisha kwa muda wa siku tano mipango yote ya kijeshi ya kushambulia miundombinu ya nishati ya Iran, kufuatia kile alichokielezea kama mazungumzo "mazuri sana na yenye tija" yaliyofanyika ndani ya siku mbili zilizopita kati ya mataifa hayo mawili...
Back
Top Bottom