iramba

Iramba is one of the six districts of the Singida Region of central Tanzania. It is bordered to the Northwest by the Shinyanga Region, to the North by Simiyu Region, to the east by the Mkalama District, to the South by Ikungi District and to the West by the Tabora Region. Its administrative seat is the town of Kiomboi].
According to the 2012 Tanzania National Census, the population of the new Iramba District was 236,282.According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Iramba District was 368,131.[1]

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa 2020 ulivyoweka vibaraka wa Mwigulu Jimbo la Iramba

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Innocent Msengi ni ndugu na rafiki wa karibu wa Dr. Mwigulu. Huyu bwana hujinasibu alimaliza kidato cha nne. Lakini ukweli ukweli hatakiwi kujisema hivyo kwa kuwa alikuwa darasani na kakangu mimi na aliambulia Daraja la Sifuri - kitu ambacho huwa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Tsh milioni 400 katika ujenzi wa vituo vya Afya Ndago na Kinampanda wilayani Iramba, nini hatma ya DC na DED?

    Mtakumbuka mwaka 2019 waziri Mkuu Kasim Majaliwa aliibua wizi mkubwa wilayani Iramba mkoani Singida. Waziri Mkuu katika ziara yake aliwaambia wanainchi kuwa serikali ilitenga mabilioni ya fedha kwa ujenz wa vituo vya Afya kote nchini. Alisema ktk wilaya ya Iramba zaidi ya Tsh million 400...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Iramba yetu tumekuwa na Mbunge wa Kitaifa zaidi ya Kijimbo

    Iramba imebahatika sana baada ya Uchaguzi wa Mwaka jana 2020. Katika mkoa wa Singida kama sikosei ni Iramba pekee iliyotoa mawaziri. Tuna Waziri Dr. Mwigulu Nchemba, Prof. Kitila Mkumbo (ingawa wa Ubungo wana haki naye pia) na Dr. Dorothy Gwajima. Mwenyezi Mungu abarikiwe sana sana! Tuna...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Mabomu ya machozi yarindima Iramba Magharibi

    Mabomu ya machozi yanarindima wakati huu jimbo La Iramba Magharibi mkoani Singida ambapo Mgombea ubunge jimbo hilo kupitia CHADEMA Bi Jesca Kishoa inasemekana amekamatwa na kufungiwa ofisi za msimamizi wa uchaguzi. Chanzo cha mabomu hayo kinadaiwa kuwa ni vurugu zilizotokea baada ya kutokea...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Malalamiko ya kura za maoni za uteuzi jimbo la Iramba umesababishwa na Dkt. Mwigulu

    Kuna baadhi ya kata zilitakiwa kurudia kura za maoni za uteuzi wa madiwani. Mojawapo ya Kata ni ile ya Ulemo ambayo Dkt. Mwigulu Nchemba alihakikisha iwe isiwe Diwani aliyekuwepo asiongoze tena. Mengi yalifanyika kuhakikisha hilo linafanikiwa. Binafsi niliandika barua kwa uongozi wa Wilaya na...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Singida, Iramba: Mamia ya wananchi wa Shelui, wamemzuia barabarani Mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu ili awasalimie

    Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia mamia ya wananchi katika Mji wa Shelui, Jimbo la Iramba, leo Jumanne Agosti 11, 2020 waliosimama barabarani na kumzuia kwa muda wakimtaka asimame na kuwahutubia kwanza kabla hajaendelea na safari.
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtangazaji wa Clouds, Harrison Kapiga achukua fomu ya Ubunge Iramba Mashariki kupitia CCM

    Haya kumekucha Mtangazaji wa kudumu wa taarifa ya habari pale Clouds TV Harrison Kapiga amechukua fomu kugombea Ubunge jimbo la Iramba Mashariki.
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Iramba hakika ni kumi yatosha!

    Kutokana na CCM kuweka mazingira mazuri ya kuzuia watia nia kujipitisha pitisha kwa ajili ya kugombea katika Uchaguzi huu na msisitizo wa kutotumika kwa rushwa, imejulikana kuwa kigezo kikubwa kinachoenda kumtoa Dkt Mwigulu Nchema kwenye kinyanganyiro ni vitendo vyake vya kifisadi amabavyo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jesca Kishoa Kafulila kuchukua fomu kugombea Ubunge CHADEMA Iramba ni kejeli na dharau kama si matusi kwa vijana wenzako

    Awali NI kupongeze Sana,kwa kitendo chako Cha kijasiri kuwa licha ya changamoto na matatizo lukuki iliyopitia CHADEMA umebaki imara! Ni lazima nikusifu kwa kuwa hats ndani ya familia yako changamoto hizi zilitamalaki. Hongera Sana! Ni bahati mbaya sana huku ndani JF tunatumia majina bandia...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Jesca Kishoa achukua fomu ya kuomba Ubunge jimbo la Iramba Magharibi - CHADEMA

    Wasifu Jesca David Kishoa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. Elimu Ruaha IringaDegree20102013Bachelor Degree Dr. Salmin Secondary SchoolCSEE20042007Secondary School Hijra...
  11. JamiiForums Tanzania UVCCM Wilaya ya Iramba wamvaaa Membe, wampa onyo kali

    Jumuiya ya umoja wa vijana WA CCM Wilaya ya Iramba mkoani singida Imemtumia salamu aliyekuwa mwanachama wa CCM Bernard Membe na baadae kufukukuzwa uanachama na Kamati Kuu. Jumuiya hii kupitia kwa mwenyekiti wake comrade Joseph Mnemba imesema kuwa haitamvumilia mtu yeyote anaepingana na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania "Kimbunga" cha Membe na Hoja za Lissu zitamng'oa Dkt. Mwigulu Nchemba Iramba!

    Mkakati mkali sana unapangwa wa kutengeneza Upinzani mkali na wa kueleweka. Zitto Kabwe, Benard Membe na Tundu Lissu ni wazi watakuwa pamoja. Ni suala la muda tu - kule Zanzibar kuna Fatuma Karume pia. Uchaguzi huu ni uchaguzi wa kiharakati na Tume ya Uchaguzi Huru ni lazima itazaliwa katika...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni inayosambaa Iramba ni "Kumi ya Dkt. Mwigulu Yatosha"

    Watu wanaombea Dkt na Waziri wa Sheria na Katiba Lameck Madelu Mwigulu Nchemba akatwe na Halmashauri Kuu ili asigombee Ubunge ili apate nafasi ya kujijenga akisubiri mpaka 2025 aje kugombea Urais ili kutimiza ndoto yake. Watu wanatarajia watu wapya kujitokeza kuchukua Fomu na kumpa changamoto...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuna kila sababu jimbo la Iramba kugawanywa

    Sio kwa sababu ya Prof. Kitila na Dk. Mwigulu kutenganishwa, hapana. Kuna sababu ya Jimbo hili kugawanywa kwani hata baada ya Iramba Mashariki kufanywa Mkalama bado Jimbo la Iramba ni kuwa kuliko majimbo yote ya Mkoa wa Singida kufanywa Jimbo moja tu. Wanaouhusika tafadhali hebu angalieni namna...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof Kitila Mkumbo, high IQ, Iramba must grow from 2020...

    Iwe mvua Au jua watu wa Iramba tunamhitaji Prof. KITILA MKUMBO 2020 awe mwakilishi wetu Bungeni, Haya ni matamanio yetu kutoka nyoyoni mwetu wanaIramba, CCM na wanaccm tupo tayari kumsapoti. Iramba haikupaswa kuwa hivi
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwigulu Nchemba Iramba kwanuka, Asutwa

    *MWIGULU UMEJIMALIZA MWENYEWE , USITAFUTE MCHAWI GIZANI* Nimefuatilia sana mijadala hapa jukwaani kuhusu Mwigulu Nchemba kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020 Mwigulu akitamba kwa kujiita Mamba . Kwa tafsiri ya haraka Mamba ni mnyama anayeua binadamu na wanyama wengine bila huruma , kwa msiomjua...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwigulu Nchemba Vs Kiltila Mkumbo jimbo la Iramba Magharibi

    Jimbo la Iramba limekuwa na vita vikali kati ya Mwigulu Nchemba (Mbunge wa sasa aliyewahi kuwa Waziri pia) na Katibu Mkuu wa sasa Wizara ya Maji Prof. Kitila Mkumbo. Wasomi hawa wamekuwa na msigishano wa hapa na pale na kufanya Jimbo sasa kuangalia zadi watu waofaa badala ya kuangalia nini...
  18. F

    JamiiForums Tanzania SLO Iramba na walimu wakuu kadhaa watiwa mbaroni kwa matumizi mabaya ya Tsh milion 170

    Habari wadau wa JF. Habari kutoka wilayani Iramba ni kuwa Afisa takwimu wa idara ya elimu msingi, na walimu wakuu kadhaa wanashikiliwa kwa maelekezo ya TAKUKURU wilaya. Chanzo cha kushikiliwa kwa SLO huyo Bwana Mgimba ni matumimizi mabaya ya hela za ujenzi wa vyoo saba ktk shule saba wilayani...
  19. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Anguko la Mwigulu Nchemba Iramba Magharibi/ the fall of Mwigulu Nchemba

    ANGUKO LA MWIGULU NCHEMBA Mwigulu ni sikio la kufa, amekuwa akiporomoka kuanzia ngazi ya familia, sasahivi amekuwa mzee wa vimada tu, baada ya kulipuliwa na wadau mbalimbali kuhusu Tabia ya kuwazini watoto wa kike anaowaahidi kuwasaidia halafu anawaongopea akishawatumia anawatelekeza. Vijana...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Siasa safi imekosekana Jimbo langu la Iramba!

    Mwaka huu ni wa Uchaguzi Mkuu ambao kwa jimbo letu la Iramba tunategemea kumpata Mbunge na Madiwani ambao wataifanya Iramba yetu ijipambanue na kuanza kurudi katika enzi za kuwa Wilaya bora Mkoa wa Singida. Kwa sasa Iramba sio bora tena. Inazidiwa na watani zetu na inavyoelekea hata Manyoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…