Kuna kila sababu jimbo la Iramba kugawanywa

Mnambua

JF-Expert Member
Jan 6, 2020
246
233
Sio kwa sababu ya Prof. Kitila na Dk. Mwigulu kutenganishwa, hapana. Kuna sababu ya Jimbo hili kugawanywa kwani hata baada ya Iramba Mashariki kufanywa Mkalama bado Jimbo la Iramba ni kuwa kuliko majimbo yote ya Mkoa wa Singida kufanywa Jimbo moja tu.

Wanaouhusika tafadhali hebu angalieni namna ya kuligawa hili kwani ni kubwa sana!
 
Wewe Kitila acha porojo. Nenda kwenye kina kirefu mfuate mamba akumeze.
 
Makao makuu yawe Kyalosangi!

Iramba ni kubwa kwa ardhi ila population ni ndogo ukilinganisha na majimbo mengine.. kuongeza wabunge sio sahihi.. sababu wabunge wanawakilisha wananchi.. sasa idadi ndogo ya wananchi iwakilishwe na wabunge wawili sio sahihi.. mwambie professa aende kina kirefu akapambane na mamba mwigulu
 
Back
Top Bottom