iphone

  1. JamiiForums Tanzania *HII ISSUE YA GOOGLE PIXEL NA IPHONE IMEKAAJE?*

    Wadau, hivi hii IMEKAAJE ...Nina google pixel, nikiweka status video mtu mwenye iphone kwake haifunguki,na hata ukimtumia video haifunguki kwake. Tupeane ujuzi
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mnaoichukia Israel msitumie Iphone, Google, Window, n.k. makapuni makubwa ya kompyuta na mawasiliano hutegemea zaidi Israel kuwabunia bidhaa na huduma

    Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel. China ndipo vilipo...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Apple wanadanganya kuwa stolen iPhone haiwezi kutumika tena?

    Mimi shabiki sana wa bidhaa za Apple hasa iMac,simu yao ya Kwanza kumiliki ni iPhone 3Gs mwaka 2010,tulikua tunapata changamoto ya kudownload apps ambazo hazipo Appstore kutokana na utundu nikajua ku jailbreak iPhone na ku install Cydia (3rd part store). Ilipotoka iPhone 5s ulinzi wa Apple...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Offer offer phone accessories

    Duka ni jipya lipo mbagala phone accessories kwa BEI ya kitonga jumla na rejareja EARPODS 3 kwa 7,000/= tu Viioo vya SIMU Charge aina zote Smart watch N.k 0748831964 Whatsapp
  5. P

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Simu aina zote

    Je, unataka simu bei chee? Je, una abudget ndogo na unataka simu? Je, unataka kufanya Top up au exchange? Nambie una budget ngapi tukupe simu kali ya budget yako. Exchange na Top up tunafanya! Simu tulizonazo dukani ni; 📱Google pixel 📱aquous arrow 📱samsung 📱Iphone 📱LG 📱Sonny Xperia...
  6. JamiiForums Tanzania Miaka 10 iliyopita iPhone 6 ilitoka na ya bei ya juu kabisa ilikua $499, mwaka huu iPhone 16 imetoka bei ya juu kabisa ni $1,599

    Wazee wa JF. Nakumbuka 2014 September, Tim Cook alipanda stejini na kutangaza simu mpya mbili, iPhone 6 na iPhone 6 Plus. iPhone 6 ilianzia $199 kwa 16 GB na 6 Plus ilianzia $299 kwa 16 GB. Bei ya juu kabisa ya 6 Plus ilikua ni $499 yenye 128 GB. Mwaka huu, September yule yule CEO wa Apple...
  7. JamiiForums Tanzania Wale wa iPhone 16 tupeane Apps mbalimbali zinazopatikana bila kulipia Apple store

    Tupeane app mbali mbali ambazo n ngumu kupata bure apple store 1.Youtube downloader 2.Music 3. nk nb: Sina iphone 16 waungwana msije mkajaa makasiriko
  8. JamiiForums Tanzania Sema maisha yanaenda kasi sana, hivi ni kweli iPhone 16 Promax kwa hapa bongo ni 6,800,000/=

    Salaam wakuu! Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania. NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo" Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote...
  9. JamiiForums Tanzania Eti Xiaomi nae anamvimbia iPhone hizi ni dharau kaonesha utovu wa nidhamu

  10. J

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa iphone utazuia wezi wa simu kuuza vioo, betri na kamera za iphone

    Mwaka huu Apple imebadilisha utaratibu wake wa kurekebisha simu na vifaa vya kutumia simu. Wiki hii katika mfumo mpya wa iOS 18 wakaguzi na mafundi wa simu wamegundua Apple imeweka mfumo mpya wa kuzuia wezi kuuza display, betri na kamera za simu ambazo zimeibiwa. Mfumo mpya wa iOS 18 umeweka...
  11. JamiiForums Tanzania Video ya mkali wa pop the weeknd yarekodiwa na iphone 16 pro

    https://youtu.be/fE6XAeZfAsk?si=UclWa-JqLqNMimLJ https://youtu.be/MLlSSJ0z7xM?si=cmUet6D4DYIAqhvU Je wajua video hii ya wimbo wa dancing in the flames kutoka kwa mkali wa pop kutoka Canada the Weeknd imekuwa shot on the iPhone 16 pro embu zitazame video hizo kalii sana
  12. JamiiForums Tanzania iPhone 16 zimetoka muda wa kuumia tena umefika

    Hahh wale masista duuu Depal na nyie vibiuhandsom boy wa makumbusho mixer virasta na mkorogo muda wa kumkaribisha mgeni nyumani na chooni Msijali mwakani muda kama huu pia mtateseka kwa desing ileile na ai features Karibuni tuchangie mada tusiwasahau walionunua iphone 16 used makumbusho
  13. JamiiForums Tanzania Watumiaji wa iphone: Iphone x yangu imeanza kustack kama techno nifanyaje?? na haina app nyingi wala

    Wakuu, Nipeni msaada
  14. JamiiForums Tanzania Apple kuzindua iPhone 16 series leo Tar 9 September 2024

    Kwenye maisha, tuna uhakika wa vitu vitatu. Kifo, Kodi kupanda na iPhone mpya kila September! Wakali wa hizi mambo, leo uko Marekani watafanya uzinduzi mkubwa wa simu 4 za iPhone 16. Simu zinazotegemea kuzinduliwa ni We iPhone 16, iPhone 16 Plus, iPhone 16 Pro, and iPhone 16 Pro Max, zote...
  15. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Jipatie iPhone 15 Pro max high copy tsh 300000 tu

    Karibuni wateja jipatie iphone 15 pro max high copy kwa tsh 300000 tu Nipo Kariakoo Uhuru Plaza ghorofa ya kwanza mkoani nakutumia watu wadar njoo dukani Simu zimebaki mbili tu
  16. JamiiForums Tanzania Kama iPhone wameruhusu copy za iPhone kutengenezwa wanakosea sana

    Nimeshangaa sana kuna hadi iphone za laki moja na sabini. Bora zingepigwa marufuku Tanzania. Pia soma: Huu utitiri wa iPhone 13 copy zinazouzwa laki 3 Dar zinatoka wapi? Zingetolewa simu za zinazofanana na iphone lakini zipewe jina lingine. Kufanya hivyo kutaongeza utapeli hapa nchini.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa Iphone haijafunguliwa kwenye box lake.

    Wataalamu, hii imekaaje? Jamaa wameniotea simu mpya kabisa, haijafunguliwa kwenye box lake muuzaji aliniandikia risit ya mashine hakuweka imei. Nikirudi wanaweza kunisaidia? Au hapa wataalamu mnashauri nifanyeje? Msaada!
  18. JamiiForums Tanzania Phone4Sale iphone X inauzwa Dar es salaam goba

    habari, nauza simu yangu ,iphone x yenye specs zifuatazo 64gb camera kali sana battery health 77 true tome ipo officiall iphone
  19. JamiiForums Tanzania Iphone latest za mtumba uwezo na bei zake.

    Wakuu natumai nikwema huku tukiendelea na pilika za kujiandaa na msimu mpya wa Ligi yetu pendwa ya Mpira wa miguu. Nende moja kwa moja kwenye mada kuwa wapi naweza pata IPHONE nzuri ya mtumba kuanzia 13 na kuendelea. Ikiwemo gharama zake na hata uwezo wake. N.B hizi simu hata kama watu...
  20. JamiiForums Tanzania Watu wa iPhone hujivunia simu zao kwa kuiponda Samsung

    Watu wa iPhone hujivunia simu zao kwa kuiponda Samsung. Ukweli ni kiwa Samsung ndio huwatengenezea Apple Screen zote za Iphone. Na sasa kwa iPhone 16 Apple watatumia Camera kutoka samsung ili kuboresha ubora wa picha zao. Tunakoelekea kununua iPhone itakuwa sawa na kununua Lamborghini Urus...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…