Utofauti wa iphone na simu za Android

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,905
Wakuu hivi utofauti wa simu ya I Phone za simu za android kama Samsung,Oppo ni upi?

Je, i Phone yenye Storage ya 16GB inaweza ikawa tofauti na Samsung yenye storage ya 16 GB

Hapa nazungumzia utofauti kwenye jinsi inavyofanya kazi na uwezo wa kuhifadhi mafaili

Achana na suala la chaji na ubora wa kamera

Uzi tayari
 
Utofauti wake kama normal user uko kwenye user experience. Yani mfumo wa uendeshaji wa iphone iOS ni tofauti na android kimpangilio na kimwonekano.

Kuhusu storage capacity haijalishi iwe android au iphone ni sawa. Kama mwafrika ana 72kg na mzungu ana 72kg wote wana uzito sawa japo kuwa ni races mbili tofauti
 
MKUU UTOFAUTI MKUBWA UKO KWENYE SECURITY YA IPHONEs.HUKU UNA UHAKIKA WA 100% DATA ZAKO KUWA SALAMA.

PIA IPHONE INA HADHI YAKE MZAZI UKIITOA KWENYE DALADALA KILA MMOJA MACHO KWAKO
Haha itanifaa kwa ajili ya show off
 
Samahani nko nje ya mada je kama nimesahau nywila unafanyaje kureset nywila mpya
 
Ninachoipendea Ios ni kwenye ads yaani haina usumbufu..
Android INA ads mpaka kero,

halafu IOS ni simple Android INA makorokoro mengii hayana hata maana
 
kumbe passcode inaflashika
kiIphone change nimefungia kabatini baada ya kusahau pascode
HAPO UKIENDA KWANZA WAITOA HIYO PASSCODE KISHA WANAKUCHEKIA KAMA INA ICLOUD, KAMA HAINA UNA KUWA UMEKULA BINGO
 
kumbe passcode inaflashika
kiIphone change nimefungia kabatini baada ya kusahau pascode
Simple sana kuitoa as long as unakumbuka icloud, just download itunes iweke kwenye pc tafuta ipsw file husika la simu yako lidownload na lisave mfano kwenye desk top, washa simu yako ikiwa kwenye dfu mode kama ni below iphone X hii hufanyika kwa kuwasha simu ukiwa umehold home button until ukiona alama ya kuiconnect kwenye pc ndo unaachia home button. then iiconnect kwa pc halafu itadetect kwenye itunes fungua itunes ikishafunguka itakutaka urestore simu hold shift key kwenye keyboard ya pc halafu click restore kwenye itunes itakutaka ulocate ipsw file lakolilocate kwenye desktop then chagua restore sit down and relax mpaka simu itakapomaliza kurestore itawaka ikikutaka uiset upya bila password sema kama ilikuwa na icloud itademand icloud
 
Mkuu yangu password ya icloud ninayo ila nimesahau mchanganyiko wake wa herufi nilivyoweka unaweza kunisaidia tafadhali maana sikumbuki herufi ndogo nilisevu vp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom